Search results

  1. Tiger B

    Msaada: Mtoto wa miezi 9 kushindwa kusimamia miguu anaposimamishwa

    Ni nini inaweza kuwa sababu ya mtoto wa miezi 9 kuwa na miguu dhaifu? Yaani hataki kabisa kukanyagia miguu. Ukimsimamisha anajikunja, ukiforce anakaa. Jinsia ni Me. Natanguliza shukurani
  2. Tiger B

    Wale mliofanya harusi ya gharama ndogo ninawaita hapa.

    Huwa ninashangaa tu, watu wanavyoteseka kuchangisha michango ya harusi. Nowdays ukisema unaoa ni full stress. Bwana harusi stress, wazazi stress, marafiki stress, nk. Hii inatokana na mentality waliyo nayo watu wengi kwamba, harusi inahitaji mamilioni ili ifanikiwe. Yaani ukisema harusi watu...
  3. Tiger B

    Nasema hiviiiii....

    Kuabstain ndo njia pekee salama ya kujiepusha na UKIMWI na virusi vyake, pamoja na magonjwa mengine. Ewe kijana wa kike na wa kiume ambaye hujaoa au kuolewa; majuto ni mjukuu. Usicheze na maisha, jitahidi kuwa na subra. Na ninyi mlio ndoani hebu tulizaneni huko! Muogopeni Mungu. Pasaka Njema.
  4. Tiger B

    Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

    Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but nilichoambulia ni block za social media, dharau, kejeli, eti kwamba mimi siyo wa hadhi yake...
  5. Tiger B

    Ni Tanzania pekee.

    Yeah, Ni Tanzania pekee vijana lukuki wenye sifa hawana ajira lakini bado serikali inasita kuwatimua wageni ambao hawana vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini. Just imagine number ya walimu ambao hawana ajira, then angalia namba ya Walimu wageni. Hapo hujagusa sekta ya utalii na kwingineko...
  6. Tiger B

    Atlas Schools: Ni kweli Mkurugenzi wake ameiweka Serikali mfukoni?

    (TPTU) YAWAFUTA MACHOZI WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI ATLAS: (Na Ngeni Mashamba). Ule usemi usemao kuwa "uchungu wa mwana aujuae mzazi" ulithibitika tarehe 26 Septemba mwaka huu baada ya chama cha walimu wafundishao shule za watu binafsi Tanzania(TPTU) kulazimika kufanya juhudi za makusudi na...
  7. Tiger B

    Je, kuna athari yoyote mwanaume asiposhiriki ngono?

    Wakuu habari, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26 sasa. Sijashiriki ngono tangu nijitambue (nikue). Ninakumbuka mara ya mwisho kufanya hivyo nilikuwa na umri wa miaka 14. Je, jambo hili linaweza kuathiri uwezo wangu wa kumridhisha mwenzangu hapo baadaye? Coz ninaamini katika kusubiri...
Back
Top Bottom