Search results

  1. Kalamu Yangu

    Simulizi: Harakati za maisha

    Safi
  2. Kalamu Yangu

    Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

    "Uchafu wa Mrisho unafanya aonekane msafi Benja" Ibrahim Mussa |ROMA|
  3. Kalamu Yangu

    Nani aliyevujisha mkataba wa Bandari na DP World?

    Utakuta kucheza na akili zetu anautetea mkataba kama mwehu ili asishtukiwe
  4. Kalamu Yangu

    Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

    Tangazo la Safari Lager mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilitamani sana nifikishe miaka 18 nianze kupiga bia ajabu bia yangu Pendwa ni Kilimanjaro
  5. Kalamu Yangu

    Ushauri wa wazi kwa viongozi wa Simba SC!

    Kijana nenda ukaripoti kituo chochote cha polisi kabla bwana Genta hajaiona post yako
  6. Kalamu Yangu

    Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

    Hii mtatuonea bure Arusha...HATUJAKUUZIA ,utakuwa umeipata Njombe huko
  7. Kalamu Yangu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nafunga mageti wote mlale
  8. Kalamu Yangu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo pamoja
  9. Kalamu Yangu

    TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Poleni sana...nawaombea faraja katika kipindi hiki kigumu.
  10. Kalamu Yangu

    Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Kusini Unguja, Kaskazini Pemba na wilaya zake...
  11. Kalamu Yangu

    Happy birthday to me Mwachiluwi

    Happybirthday to you...kumbe tunashare birthday mkuu...
  12. Kalamu Yangu

    ROMA achana na muziki - Waziri

    Kama taifa tumepitia mengi sana....ila watu walimtemea mbovu Harrison
  13. Kalamu Yangu

    Hadithi: Mpangaji

    Kati ya sehemu zilizonifurahisha sana kwenye hadithi ni hapa....
  14. Kalamu Yangu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Yap yap!
  15. Kalamu Yangu

    JamiiForums Usiku wa manane

    02:40
  16. Kalamu Yangu

    Wanamashairi wenzangu, waandishi na wapenzi wa kusoma mashairi karibuni tuienzi fani yetu pendwa

    LEO UTALALA DAR Jua lilinikimbia, kama linanikomoa, Nikatamani kulia, pale waliponitoa, Nani wamsubilia, ama watoka mkoa, Leo utalala Dar, bwege mmoja abwabwaja. Kweli Migi atakuja, kichwani najiuliza, Leo ntakuwa kiroja, stendi nikijilaza, Hata jamaa akija, atanionaje na giza, Leo utalala...
  17. Kalamu Yangu

    Wanamashairi wenzangu, waandishi na wapenzi wa kusoma mashairi karibuni tuienzi fani yetu pendwa

    SIKU NIMEFIKA DAR Sasa naiona Ubungo, taa na lile daraja, Ninaizungusha shingo, najiona kama soja, Mwizi akaona bingo, kumbe chini aningoja, Siku nimefika Dar, niliona jiji chungu. Huyu anavuta begi, yule kabeba tikiti, Yule ananita bigi, twende Kawe kuna siti, Nawaza Migi hapigi, yule begi...
Back
Top Bottom