Search results

  1. F

    Mh. Sumaye awatembelea wahanga wa mvua ya mawe na upepo, atoa msaada wa mifuko 100 ya saruji

    Safi sana. Kuonyesha Upendo kwa wananchi waliokumbwa na maafa, umezaliwa kuwa KIONGOZI!
  2. F

    Lowassa: Kuimarika kwa UKAWA kunawatia hofu kubwa CCM

    pamoja KAMANDA WA VITA
  3. F

    Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

    Huyo mkuu wa wilaya, ameamua kujilipua. Kwa kutangaza njaa wakati imekatazwa nadhani atatumbuliwa soon!. Nchi ipo KIJANI yeye anatangaza njaa!
  4. F

    Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Acha anyooshe Nchi kwanza, kwa kuwa ilikuwa imepinda!
  5. F

    Zanzibar: Rais Shein aongeza mshahara kwa asilimia 100

    Wamempata Rais anayejali watumishi. .Huku ni MATAMKO, UTUMBUAJI MAJIPU, VIPELE NA UHAKIKI USIOISHA!
  6. F

    Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

    Joh Makini ni mwanamuziki nguli. Ameanza mziki muda mrefu. Na amekuwa akiachia ngoma nzito. Huyo dogo Young killer afanye kazi.Aache kulalamika
  7. F

    Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

    Kuota ndoto inabidi ukae kimya lakini ukiielezea kwa umma ni UCHOCHEZI
  8. F

    Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

    Hata zama zake zitapita. Hakuna kipya chini ya JUA
  9. F

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Hajapoteza Ubunge wake. Mbunge atapoteza nafasi yake akifungwa zaidi ya miezi sita. Kwa hiyo huyu Mbunge hapotezi Ubunge wake kama kifungo ni cha miezi sita. Pia anatakiwa akate rufaa ndani ya siku 30 kuanzia hukumu ilipotolewa leo hii
  10. F

    Bodi ya mikopo (HESLB) wafungiwa milango na waajiri

    Huyu jamaa aliyepandisha kutoka asilimia nane mpaka kumi na tano percent ana akili ya KIFISADI!
  11. F

    Bodi ya mikopo (HESLB) wafungiwa milango na waajiri

    Madeni hayakusanywi kwa sifa. Waache kutafuta KIKI wakati wa kudai wafaidika. Hata Serekali ina madeni ya kutisha. Madeni ni vitu vya kawaida
  12. F

    Ni ngumu na ni aibu kujipanga foleni mwaka 2020 kuwapigia CHADEMA kura

    Kwani hata usipopiga kura wewe kwani ndio unaweza kuwashawishi wengine kura?. Kwani hata hivi sasa kuna mabadiliko gani ya maana?sanasana MATAMKO YA MWENDOKASI ndio yameongezeka!
  13. F

    Mtazamo wangu kuhusu ushiriki wa Yanga kwenye Mapinduzi mpaka hapo ilipoishia

    Ni kweli kabisa. Kombe la MAPINDUZI ni sehemu ya mazoezi, ni aina fulani ya mashindano ya BONANZA!
  14. F

    Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

    Hiyo picha imekatwa. Aliyeipiga hivyo ameikata makusudi ili ajifurahishe tuu. Na ni aina fulani ya uchovu wa fikra
Back
Top Bottom