Search results

  1. Bensoy

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low or loss of sexual libido)

    Matatizo ya kukosa au kupungua hamu ya kujamiana yanatambulika kama tatizo linalojirudia kwa muda mrefu ambapo huathiri mzunguko wa tendo la kujamiana (kusisimka, kufikia kilele, kurudia) na hivyo kusababisha msongo wa mawazo au kuharibu uhusiano kati ya mtu na mwenza wake. Katika makala hii...
  2. Bensoy

    Swali kwa waliohitimu elimu ya sekondari Shule za Kenya

    Tunajua kule kenya ukihitimu form 4 unaenda moja kwa moja chuo kikuu. Je, kwa mwanafunzi aliyesomea kenya form four na anataka aje asome hapa tz anaweza kwenda vyuo vikuu vya hapa? Kwa wazoefu naomba kujua huo utaratibu ukoje.
  3. Bensoy

    Magonjwa sugu na adimu ni yapi?

    Yapo maradhi ambayo hayatibiki kwa tiba za kikemia na tiba mbadala tunazojua lakini ikija swala la stemcels therapy ni habari nyingine. Swali ni kwa nini? Kwani stemcell ni kitu gani haswa? Fuatana na Dk Ben Soy ktkt nakala hii halafu mtafuye kwa maulizo zaid. Utagundua kwa nini wagonjwa...
  4. Bensoy

    Nyumba inauzwa

    Ipo pugu kona Ina mzunguko wa mita za mraba 25/20. Ina vyumba vya kulala 5 ikiwemo master 1. Mabafu na vyoo 4 . Sitting room, Dinning, jiko na store. Iko fully furnished nusu tiles na sakafu ya kawaida, gimpsum na ina eneo la ua mkubwa kiasi. Imeunganishwa na maji ya dawasa na umeme wa kudumu...
  5. Bensoy

    Kufungua clinic ya meno

    Wadau salam, Ninatamani kufungua clinic ya meno. Kama kuna mtaalamu wa meno huku anayejua ABC's ya kuniwezesha kufungua natanguliza shukrani. Nataka kujua muundo, vifaa na gharama zake na process zote za kusajili hadi ianze. Napatikana Dar es salaam kwa namba 0719794789
  6. Bensoy

    TV4Sale TV kichogo na redio inauzwa

    T.v ni ya nchi 24, na redio kubwa na spika zake pamoja na deki bei ninelf 70 tu. Unapeleka kwa fundi inasafishwa tu unstumia Ipo pugu kona 0719794789
  7. Bensoy

    Naomba msaada wa kisheria

    Kama shauri la kesi A limetolewa katika mahama ya mwanzo iliyoko wilaya A, Je kama kuna shida ya utekelezaji wa kesi imetokea na wahusika wamehama hio wilaya waliyohukumiwa. Je, kuna uwezekano wa kwenda mahakama nyingine ya mwanzo iliyoko wilaya nyingine kwa ishu zinazo husiana na utekelezwaji...
  8. Bensoy

    Natafuta Business partiner

    Biashara ya shule za watoto zinaingiza kipato kikubwa sana. Inategemea na centre ukiyopo. Karibu tuwekeze kwa wenye mtaji. Nyumba ipo tena mazingiza yanayovutia sana na ni eneo ambalo watoto wanapata tabu sana kwenda mbali Njoo tuongee 0719794789
  9. Bensoy

    Alopecia

    Alopecia.Tatizo la kunyonyola nywele Na Dkt Ben Soy M.D/ Nutritionists Treatment and management. Tatizo la kunyonyoka nywele hujulikana kitaalamu kama alopecia Hali hii ya kunyonyoka nywele husabababishwa na mfumo wa kinga ya mwili kushambulia mwili wa mtu husika (autoimmune disorder)...
  10. Bensoy

    Natafuta Business Partiner

    Nina jengo linalofaa kwa kuanzisha shule ya nursery na learning centre. Nina hitaji partner mzoefu katika hii biashara na pia aqw tayari ku contribute mtaji na kuusimamia. Jengo lipo kajiungeni kona eneo ambalo hakuna nursery za kutosha na watoto wanaenda mbali sana kutafuta huduma hio...
  11. Bensoy

    Plant stemcells therapy

    Plant dtemcell therapy 0719794789
  12. Bensoy

    Natafuta mshirika kuanzisha learning center eneo la Pugu, Dar es salaam

    Salamu wapendwa. Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam. Jengo ninalo na liko centre nzuri Pia nina waalimu wa somo la kiingereza kifaransa. Waalimu wa nursery na baby care sio shida kuwapata. Nimeshaanza...
  13. Bensoy

    Plot4Sale Nauza kiwanja hapa Mbezi Goba

    Kipo mbezi njia ya goba. Kituo kinaitwa kontena karibu na kanisa katoliki. Ni mbezi ya juu mtaa wa kunguru yalipo makazi ya mbunge Ester Bulaya ambayo ni opp na secondary ya sant Joseph. Fika au piga namba 0719794789 Ukubwa ni mita za mraba 20/20.
  14. Bensoy

    Kwanini Kenya hatuna msimamo kama wenzetu wa Bongo?

    Nafanya utafiti hapa. Tz walishawahi kuamua kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Japo Wakenya walipiga kelele lakin haikusaidia. Pia ishu ya ngo'mbe ilikua the same. Kuna maziwa na juzi juz ishu ya kuzuia shirika lao la ndege. Japo sirikali ya kenya ilipiga kelele lakini bado msimamo wa bongo ulikua...
  15. Bensoy

    Trip to Bagamoyo

    BAGAMOYO TOURS TAA TANZANIA ni taasisi isiyo ya kiserekali lilosajiliwa mwaka 2008 kwa no. 15995. Inakutangazia kuwa. Kutakuwa na trip ya kwenda bagamoyo siku ya jumamosi sikukuu ya 8*8 tarehe 8/8/2020 kutalii maeneo mbali mbali ya makumbusho ya Taifa na kutazama burudani ya ngoma asilia katika...
  16. Bensoy

    My trip to Tanzania

    MUST READ Misbehaving in Dar es Salaam: A Kenyan journalist’s experience in Tanzania Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania. A close friend has been working as an expatriate in Dar es Salaam for a couple of months and we decided to surprise him...
  17. Bensoy

    Nahitaji kiwanja

    Eneo liwe linafikika kwa gari. Kama ni daladala iwe moja au mbili hadi mjini kati. Napendelea morogoro road au maeneo ya bagamoyo road. ( sio bagamoyo) kiwanja kiwe kimepimwa ni vizur zaidi. Bei ya kiwanja isizidi Tsh mil. 10. Unahakika unafikia sifa hizo nipigie 0714456020
  18. Bensoy

    Mwenye laptop anayetaka kuuza

    Ninashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7 Sent using...
Back
Top Bottom