Search results

  1. golwebo_mkuu

    Tetesi: Membe kupokelewa Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo?

    Zitto ni kiongozi mkuu wa chama.
  2. golwebo_mkuu

    KINAPA eti kwenye vituo katika njia za kupitia kupanda mlima wa Kilimanjaro vyoo ni vya shimo

    Huo ni muinuko juu ya usawa wa bahari sio kwenye tambarare
  3. golwebo_mkuu

    Wa Bukoba wataelewa....

    Spice si ilibebwa na maji? Au jamaa kajenga tena?
  4. golwebo_mkuu

    4G ya Airtel

    Ni namba mbili, wamehamisha. Nimezipata GB4 Asante
  5. golwebo_mkuu

    4G ya Airtel

    Asante, nimepewa sasa.
  6. golwebo_mkuu

    4G ya Airtel

    Mi nimeshapata 4G ila hawajanipa hizo GB4. Unafanyaje kuzipata?
  7. golwebo_mkuu

    Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

    Nahisi ni sababu za ulinzi tu, kivipi sijui. Hzo briefcase wakibeba zinakuwa zimemuweka kati Mheshimiwa na kama anahutubia hata masaa mawili mfululizo wabebaji huwa hata hawajikuni, wanasimama attention mwanzo mwisho. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. golwebo_mkuu

    Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

    Hata wa kwetu wanabeba briefcase. Fatilia vizuri utaona. Mmoja huwa kushoto mwingine kulia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. golwebo_mkuu

    Kwanini ITV Msilete Kingamuzi

    Mbona wanacho? Tena ukishanunua hulipii gharama za kila mwezi
  10. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Kajitahidi sanaaa, wangapi wanaweza kuvumilia F5 hata mbili? Ukipigwa ile F5 moja ndio basi ila jamaa kavumilia NNE
  11. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Ingekuwa ni ujinga kuangalia scripted events biashara ya tamthiliya isingekuwepo
  12. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Ila commissioner kampa zigler kipigo cha mbwa koko,
  13. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Highway robbery!!!
  14. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Hawa Shane McMahon na Corby wanaharibu mechi
  15. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Pumbavu kabisa! Braun kajitahidi kuvumilia 4F5s, si mchezo. Japo constable kamharibia
  16. golwebo_mkuu

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Get these hands
  17. golwebo_mkuu

    Hivi ni kwanini Mwalimu Nyerere hakutupenda na alitubagua watu weusi?

    Mbona hujatoa ushahidi wowote wa ubaguzi wa Nyerere?
  18. golwebo_mkuu

    Mama ameamua kunitesa kwenye mahusiano na Baba anaunga mkono

    Kwani wazazi wako ndio watakaoishi na huyo mke wako?
  19. golwebo_mkuu

    Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

    Namba 13 sio namba ya mkosi, ni namba ya ukamilifu kama namba 4.
Back
Top Bottom