Search results

  1. N

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Kama walikuwa nafuu kiasi hicho, kwa nini haikwenda Kenya au Uganda au Rwanda hata Burundi basi. Tuna umbumbumbu Watanzania
  2. N

    Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

    Ukialikwa na muumini shida iko wapi? Acha utetezi uchwara. Mbowe ni muumini na ana haki ya kualika watu wake. Siasa tu kila wakati. Kaa kimya sometimes
  3. N

    Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Mbona wengine hatuoni hili? Kuna jibu limetooewa kuhusu mafuta lakini kuna urefu wa viwanja pia kama Mpanda, Tabora,Bukoba na Arusha. Huwezi kujaza. Niliambiwa pia issue ya kukata tiketi kisha husafiri yaani no show naambiwa zaidi ni watu ww serikali, maana hawana hasara na hilo
  4. N

    Tabora: Oparesheni 255 yakumbushia Ripoti ya CAG. Wananchi Wabubujikwa na Machozi

    Hivi hasara ni upotevu wa fedha? Au siasa za majukwaani? Maana inaweza kuwa hasara ya mahesabu bila pesa kupotea na hili Kalisemea kuhusu hasara ya ATCL. Issue ni mkataba wa TGFA
  5. N

    Air Tanzania haihusiki na manunuzi ya ndege

    Lini Precision alifanya faida?
  6. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Hiyo ni market entry strategy au mkakati wa kuingia kwenye soko siyo bei ya kudumu. Mashirika yote hufanya hivyo kama unaingia kwenye route/destination mpya yenye ushindani. Bei itabadilika ila mkakati wa kubaki na abiria lazima wawe nao sio lazima bei. Huu ni mtazamo wangu.
  7. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Lengo la uwekezaji siyo lazima faida ya moja kwa moja bali uwezeshaji wa shughuli nyingine zenye faida na impact kubwa kwa nchi zao (Dubai na UAE) yaani multiplying effect! Mkuu Isanga Family kuna hako ka sentensi ka mwisho "viongozi wanataka kupanda bure na kukatisha safari" ebu kafafanue ili...
  8. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Mhh sio haina faida ila ni vigumu kupata faida ingawa neno linalotumika ni kuwa ina faida kidogo sana yaani very low margin!
  9. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Hilo sina uhakika nalo maana audit principles hazina kificho na wakaguzi hawaendani na hizo siasa. Pia wao kuwa wanachama wa IATA lazima wapeleke vitabu vyao IATA ba kungekuwa na magumashi lazima ungesikia. Labda ile advantage ya umiliki wa serikali na gharama za chini za workforce! Nafikiri...
  10. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Juzi nilionyesha mazingira magumu ya kuendesha airline hapa Afrika na hasa gharama kubwa za uendeshaji. Ni kwa mantiki hiyo kuwa siyo rahisi na almost impossible kwa LCC kuoperate kwenye masoko yetu. Kidogo South Africa maana ukweli ni different market lakini nako imekuwa taabu. Fastjet alikuwa...
  11. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Budget airline au Low Cost Carrier (LCC) zilizoanzishwa Africa ngapi zinaendelea ku operate as LCC,? Yes cost structure ni tofauti kwa kuhakikisha hawatoi hizo inflight services, wanatumia special designed aircraft kupunguza uzito ili kutumia mafuta kidogo , discouraging mizigo mizito ili...
  12. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Gharama kubwa za uendeshaji wa ndege, standard kimataifa, ni mafuta 25 - 40%, matengenezo ,(maintenance) 15 -25%, gharama za watumishi 15-20% na zilizobaki ni gharama ndogondogo. Nakutafutia gharama za Bombardier uone bei itakuaje na kama 120,000 itawawezesha kufanyakazi au ni bei ya kuingia...
  13. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Kwa hiyo wanamfumo tofauti na soko lote la usafiri wa anga. Pili nchi kama hiyo utakuta mambo niliyosema Serikalini inatoa ruzuku na hakuna msululu wa kodi. Mafuta karibu na bure
  14. N

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Acha uongo sio kwa Africa! Nchi gani Africa imefanikiwa kuweka bei ya chini?. Suala liko kwenye mazingira ya biashara hasa kutokuwa na uwezo wa uzalishaji wa vipuri na huduma za ndege na pia kodi zisizo rafiki na udogo wa soko kutokana na umasikini.
  15. N

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Viongozi wa mamlaka ya ndege wa Bukoba hawahusiki na kuanguka kwa ndege ila wanahusika na uzembe katika uokoaji baada ya kuanguka ndege. Sijafanya siasa ila lugha picha kuwakilisha mawazo yangu.
  16. N

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Ulishamsikia Heche kapanda Precision pamoja na kila siku kulalama kuhusu Air Tanzania? Lini ulisikia Zitto kapanda Precision? Kwa nini Mbowe anasafiri na Air Tanzania siku zote? Akili kichwani
Back
Top Bottom