Search results

  1. V

    Wali nitapata balo nzuri za canada

    Habari Wana jukwaa wazee wa kutoa password na connection naomba kuuliza Kwa hapa dar es salaam ni sehem Gani wanauza balo za mtumba Canada na Dubai Na Lebo Gani ya balo za china inatoa nguo nzuri Whatapp 0657710078
  2. V

    Naomba kujua ratiba za masoko ya mnada

    Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada kwa hapa Dar na utaratibu wa kuuza biashara mnadani Msaada wenu tafadhali napatikana Mtongani
  3. V

    Ongezeko la utapeli wa kamali Dar es Salaam Kamati ya Ulinzi na Usalama hawalioni?

    Inasikitisha sana Kwa mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya zake kusambaa magenge ya utapeli na wananchi kuibiwa na Hawa matapeli wanaounda vikundi vyao maeneo ya mkusanyiko wa watu wengi kama Kariakoo, Ilala, Mbezi Mwisho na Mbagala kisha kuwahadaa Wananchi Kwa michezo ya kamali na mwisho wao...
  4. V

    Tunauza Balo za mtumba kutokea China

    JE UNAUJUA MTUMBA WA KUTOKA CHINA ?🤷‍♂️ HIVI UNA HABARI YA KWAMBA MIZIGO YA CHINA INAUZIKA SANA KWA SPEED KUBWA KULIKO MINGINE ? 🤦🏻‍♂️ UNAJUA KWA NINI ? 😎UNAJUA BEI ZAKE ? 😋 - ▪️SABABU YA KWANZA NI BEI ✅ BALO KUTOKA CHINA GRADE A NDIO BEI RAHISI ZAIDI KULIKO GRADE A ZA KUTOKA NCHI ZINGINE 😁...
  5. V

    Nauza suruali za watoto mtumba grade 1

    Kàribuni sana suruali za watoto mtumba grade 1 Jumla 3000 Rejareja 4000 Umri miaka 3 mpk 10 Whatapp 0657710078 Tunapatikana Temeke Dar es Salaam Mkoani tunafanya delivery
  6. V

    Gauni za mtumba

    Karibuni sana beichee outfit Tunauza gauni mtumba grade 1 Jumla 6000 Rejareja 8000 Tunapatikana temeke mtongani dar es salaam Whatapp 0657710078 mkoani tunafanya delivery
  7. V

    Nauza nguo za watoto

    Karibuni sana beichee outfit tunauza nguo za watoto wa kike na kiume jipatie gauni za watoto Kwa Bei chee jumla na rejareja Jumla 5000 kuanzia 5 Rejareja 7000 Mawasiliano 0657710078 Tunapatikana temeke dar es salaam Mkoani tunafanya delivery
  8. V

    Nauza balo za mtumba grade 1

    Karibuni sana Bei chee tunauza balo za mtumba grade 1 ukitaka nguo za kupoint zipo Tuna balo za nguo aina zote Gauni za kike Suruali za kike Mabwanga Skin and boyfriend jeans Mashati T-shirt Cargo jeans. Cardet Na nyinginezo nyingi Tunapatikana mtongani temeke dar es salaam Mawasiliano...
  9. V

    Kukithiri Kwa vitendo vya rushwa mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere (Julius Nyerere hydro power project)

    Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
  10. V

    Kibarua sugu natafuta kazi

    Kwema wana JF Naitwa Titus Mkazi wa Dar es Salaam Nimekuja kwenu wanajukwaa shida yangu ni kazi hususani vibarua day work. Nina uzoefu wa kutosha kwenye site za ujenzi nimefanya Kazi ubungo flyover Salenda bridge Kama unakazi yako ya ujenzi wa nyumba au Kazi yoyote usisite kunipa kibarua Au...
  11. V

    Msaada natafuta kazi yoyte halali

    Habari Watanzania wenzangu. Naitwa Titus mkazi wa Tegeta Umri miaka 26 Uzoefu wa kazi miaka4 Nahitaji msaada wa connection ya kazi yoyote halali iwe manual au soft Nina uzoefu katika nyanja zifuatazo: Ujenzi Madukani Store keeper Supervisor Napatikana DSM Mawasiliano: 0657710078
  12. V

    Natafuta kazi za ujenzi

    kwema wana jf Nimekuja kwenu nahitaji kazi za ujenzi Na uzoefu wa miaka 3 katika site za ujenzi miradi mikubwa na ya kati Ujuzi wangu ni fundi chuma steel fixer Fundi au engineer Yeyote mwenye site niko tayari kuwa msaidizi wake Napatikana dar es salaam Contact 0745000157
  13. V

    Natafuta kazi yoyote

    jina titus Umri 27 elim advance secondary level Uzoefu wa kazi miaka uzoefu Katina nyanja Mtunza vifaa Mtunza fedha msimamizi mradi Mtunza kumbukumbu wanajukwaa naombeni Msaada wenu wa kazi nimezunguka sana kutafuta kazi lakini sijafanikiwa na hapa nilipo nimefukuzwa kwenye nyumba sina kodi...
  14. V

    natafuta kazi yoyote iwe manual au skilled

    jina titus Umri 27 elim advance secondary level Uzoefu wa kazi miaka uzoefu Katina nyanja Mtunza vifaa Mtunza fedha msimamizi mradi Mtunza kumbukumbu wanajukwaa naombeni Msaada wenu wa kazi nimezunguka sana kutafuta kazi lakini sijafanikiwa na hapa nilipo nimefukuzwa kwenye nyumba sina kodi...
  15. V

    Tunasafisha matank ya maji safi na salama

    Je unajua tank lako la kuhifadhi maji safi na salama kwa matumizi mbali mbali linabidi kusafishwa kila baada ya mwezi Kwa sababu pindi unapohifadhi maji mda mrefu bila kulisafisha tank huifadhi tope na wakati mengine magugu huota Karibuni Trinity cleaner tunatoa huduma ya kusafisha matank ya...
  16. V

    Nauza nguo kwa bei nafuu

    Karibuni vunja Bei kariakoo online wauzaji wa nguo za kiume pamoja na viatu Utapata jeans kardet vest T-shirt shirt kwa Bei pouwa Njoo WhatsApp 0657710078
  17. V

    Natafuta kazi yoyote niko Dar es Salaam

    Jina: Titus Mkazi: Tegeta DSM Umri: 26 Elimu: kidato cha sita Kwema wana jukwaa nimekuja mbele zenu kijana wenu sina kazi kwa sasa baada na kuathiriwa na zoezi la kuhamisha wamachinga ambapo nilikuwa nauza bidhaa za mtu na kujilipa hapo hapo na uzoefu na kazi zifuatazo: Store keeper Sales...
  18. V

    Natafuta kazi baada ya kubomolewa banda langu

    Wanajukwaa msaada, Nimekuja mbele yenu natafuta kazi Mahala popote nifanye kujikizi na Hali ngumu ya maisha. Baada ya kubomolewa banda langu LA umachinga lililokuwa mwenge nikijihusisha na kuuza mitumba ya kike kwa Sasa niko nyumbani. Na uzoefu na kazi zifuatazo Store keeper Cashier...
  19. V

    Soma vitabu ongeza maarifa

    Nauza vitabu ya course ya udaktari Kwa wale wanafunzi wa medical doctor Vitabu hivi vitawapa sana madini Niko dar es salaam Contact 0657710078 Bei maelewano
  20. V

    Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
Back
Top Bottom