Search results

  1. Betterhalf

    Huu ni wakati wa kumpa timu ya taifa Herve Renard

    Habari za leo wadau, Timu yetu ya Taifa yaani Taifa Stars imeanza harakati zake kwenye mashindano ya AFCON 2024 nchini Ivory Coast. Tumeanza kwa kupoteza mbele ya timu bora Afrika na Wana Nusu Fainali wa Kombe la Dunia mwaka jana. Pamoja na mambo mengine, lakini sehemu ambayo kama taifa...
  2. Betterhalf

    Mtazamo wangu: Simba tusimame haraka

    MTAZAMO WANGU: SIMBA TUSIMAME HARAKA Habari wadau. Poleni sana kwa mwenendo usioridhisha kwenye michezo miwili ya ligi kuu ya NBC. Tumeumia, tumehuzunika sana, lakini nashauri kwamba iwe IMETOSHA. Game za derby hizi, wachezaji/timu zinatumia energy kubwa mno. Kwa hiyo, ni ngumu mno kuwa na...
  3. Betterhalf

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    Hello, habari wana jamvi. Nina ndoto ya kufanya biashara ya kuagiza ama kwenda kununua mzigo China hususan simu na vifaa vya simu. Naomba kujua na kupata ushauri wenu, nahitaji; 1. Mtaji kiasi gani? 2. Gharama za safari (kama itanilazimu kusafiri) 3. Itanichukua muda gani aidha nikisafiri ama...
  4. Betterhalf

    Hongereni wabunge wanawake kwa ujasiri wenu wa kutohama vyama kuunga juhudi

    Habarini wakuu.Poleni kwa majukumu ya mchana kutwa. Naomba nijielekeze kwenye mada moja kwa moja. Tangu awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na wimbi kubwa la wanasiasa hususan Wabunge( nasita kuwaita kwa lile jina lao la utambulisho) kuhama hama vyama wengi wakijiuzulu nyadhifa zao...
  5. Betterhalf

    Hongereni Mtibwa

    Habari za asubuhi wana JF. Nianzie kwa kuwatakia Jumapili njema...na pasaka njema kwa wale ndugu zetu wa imani hiyo. Jana nilifuatilia kwa karibu sana mechi ya Azam na Mtibwa. Mpambano ulikuwa wa haja kiasi cha dakika 90 kuzishuhudia timu hizo zikiwa nguvu sawa kwenye mchezo wa robo fainali ya...
  6. Betterhalf

    Simba msisikilize kelele za majirani zetu

    Habari za jioni wanajamvi. Awali ya yote nimshukuru Muumba kwa kuniwezesha kuiona Jumapili ya leo, na nikaweza kudiriki kuishika kalamu. Ligi kuu ya VPL imeshika kasi sana kipindi hichi ambapo mzunguko wa 20 unaendelea kwenye viwanja mbalimbali. Kama ilivyo ada kwa watani wa jadi, kila mmoja...
  7. Betterhalf

    Hongereni sana Azam Media Ltd

    Habari za leo wana JF. Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima. Leo tunaelekea kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018. Pamoja na majukumu mengine, Azam Media wameandaa kitu muhimu,mahsusi na cha kipekee kwa Watanzania na watazamaji na wafuatiliaji wa vipindi vyao kote ulimwenguni(ambako...
  8. Betterhalf

    NDANDA: Mtwara na Dar-es-Salaam wapi kwenu?

    Jana timu ya Ndanda imefanya maadhimisho ya siku yao "NDANDA Day". Kupitia siku hii shughuli mbalimbali hufanyika kama vile usafi n.k. Hongereni kwa hilo ingawa nina maswali kadhaa ya kujiuliza. 1.Timu imehamisha makazi yake Mtwara? 2.Kwa nini utambulisho usifanyike Mtwara kama ilivyokuwa mwaka...
  9. Betterhalf

    Hongera wanamsimbazi kwa mabadiliko

    Habari za jioni wadau. Naipenda Simba SC na kwa yaliyojiri wiki hii, nitaendelea kuipenda zaidi na zaidi. Kwa wafuatiliaji wa michezo, hususan soka, hakuna asiyejua ukongwe wa klabu ya Simba. Iliasisiwa 1936 wakati huo ikiitwa Sunderland. Hii inaifanya iwe na umri wa miaka 81.Kwa kipindi chote...
  10. Betterhalf

    Sina mashaka na uwezo wa Omog

    Habari za asubuhi wana JF, Mimi ni mdau wa michezo, na ninaipenda sana Simba SC. Katika harakati za kuijenga timu, mwaka jana uongozi wa klabu yetu ulimsainisha Joseph Marius Omog kuwa kocha mkuu akiliongoza benchi la ufundi lililokuwa chini ya Jackson Mayanja. Omog ni Mcameroon aliyezaliwa...
  11. Betterhalf

    Simba malizeni biashara mapema

    Nitangulize pongezi kwa viongozi, benchi la ufundi, wanachama, wachezaji na mashabiki wa Simba SC kwa uvumilivu na mshikamano wao kwenye shida na raha. Kuelekea fainali ya kombe la Mapinduzi, niwaombe kuendelea juhudi zile zile na ikibidi kubwa zaidi ili kuwaonesha AZAM na wengine kuwa Simba SC...
Back
Top Bottom