Search results

  1. geosally

    Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

    Hapana bado, nimeamua kukomaa kuchapa tu
  2. geosally

    Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

    Mimi nahitaji ya history f5 hist2
  3. geosally

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Vip hp laser jet pro130nw au 8710 na bei zake
  4. geosally

    Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

    Spring file zile za plastic mnauzaje kwa dozen, nataka na bei ya counter book bei ya jumla
  5. geosally

    Tunauza vifaa vya stationaries kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana Tegeta skansika

    Mmepotea leten matangazo wadugu tujue mzigo mpya na unique
  6. geosally

    Aina gani ya photocopy machine ni nzuri kwa stationery ndogo

    Wadau mimi nahitaji photocopy machine yenye uwezo wa kutoa A3 dau langu ni less dhan 1m.
  7. geosally

    Mzigo mpya bei poa..!!!!

    Mkuu kumbuka kuweka akiba na lako usiuze yote. Mazuri aise Sent using Jamii Forums mobile app
  8. geosally

    Naomba kufahamishwa bei ya mbegu ya alizeti kwa debe moja au gunia

    Debe moja kwetu imefika elfu 8, kama uko serious nicheki tufanye biashara, nipo iringa isiman Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  9. geosally

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Uthubutu wako tu ndugu yangu, kidogo ulichonacho, kikitosha kulipa pango miez 5kuendelea na pesa ya mzigo hata robo ya malengo, mbona unaliamsha dude mambo yatasonga tu ukitanguliza nidhamu ya biashara plus pesa. Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  10. geosally

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Yah very true, Ku proof hill kila kukicha it, kibao zinapelekwa huko Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  11. geosally

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Angalizo kuna baridi ya kutosha Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  12. geosally

    Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Aise Tunduma kupo Poa sana, nimeenda kutembea ijumaa na jumamosi, kwanza kuna biashara ya nguo, bei chee,na bidhaa nyingine kwa bei rahisi nadhan ni kwa sababu ya mwingiliano wa watz, wazanbiano, na wakongoman, Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
  13. geosally

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco natangulisha pongezi kwenu kwa kutufikia, Mimi nipo Iringa DC, naomba makadilio ya kuwekewa umeme. Umbali wa nguzo ya mwisho mpaka kwangu ni metre 250. Je makisio itakuwa nguzo ngapi na ni bei gan.
  14. geosally

    Kwanini Wanawake wenye majina haya yafuatayo huwa ni wazuri / watamu Kitandani?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  15. geosally

    Tujifunze photography na retouching

    Adobeshop inauwezo wa kuedit picture kama kutoa chunusi na kadhalika hebu mkuu tuma hats picture ya tool kwenye menu nione demo, napenda sana hii kitu na ni ndoto yangu kuwa na office ya hii. Safi mleta Uzi nakupa five star
  16. geosally

    Bajeti 2017/2018: Ukweli kuhusu kiasi kilichoongezwa kwa lita baada ya road licence kuondolewa

    Someni hotuba hiyo kupunguza maswali yasiyo ya lazima, ina kurasa 69 tu.
  17. geosally

    Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  18. geosally

    Viatu vya kimasai bidhaa bora ya asili

    Bei toa, vya kike, kiume na vya watoto, naweza shawishika tukafanya biashara nipo iringa
Back
Top Bottom