Search results

  1. Crumpy Crumper

    Kuna aina za simu ukiwa unatumia unaweza kukosa vitu vingi

    Yaani Tarakimu 10 zinakushindwa kukariri
  2. Crumpy Crumper

    The software does not match the phone (oppo A57)

    Refurb ya 64gb kwa ram 4gb, afu inauzwa 120k .... Hivi hamkushtuka tuu..
  3. Crumpy Crumper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Now days wamepunguza sana GBs, so cheki kama vitakufaa..
  4. Crumpy Crumper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Habari Chief, nina tigo Postpaid ya 30gb per 25k lakini naona bado haitoshi kwa matumizi, nafikiria nihamie Ttcl adsl kwa 25k Je kwenye ADSL naweza shusha 100gb kwa mwezi Au nibaki tuu na hii TG postpaid?
  5. Crumpy Crumper

    Samsung Galaxy S8 vs Iphone 6s nichukue ipi ?

    Edge display inatakiwa uitunze kama Yai.. Na kioo bei yake sio chini ya 200k
  6. Crumpy Crumper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Dah! Epsidode ya dk 50 inapakuliwa kwa 4gb...[emoji3][emoji3] Hongera mzee ,acha sisi wengine tupambane na kina Netnaija
  7. Crumpy Crumper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hiyo line ya mwisho ndo alipofeli, {Tunahack calls na sms }
  8. Crumpy Crumper

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Tangu August, 30gb kwa 25k per month huo mzigo umeingia tar 1
  9. Crumpy Crumper

    Mwenye uzoefu na hii pcmcia kwenye TV atupe muongozo

    Hiyo TV ni ina "built in" king'amuzi, so kama ukienda Azam TV wanakupa Cam card na Dish then mchezo umekwisha
  10. Crumpy Crumper

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kama Mfuko unaruhusu aingie Epic Computer{City Mall} ajipatie 750w
  11. Crumpy Crumper

    Utamu wa postpaid

    Uzuri wa Post Paid mkataba wake ni 2 years kama wachezaji wa Ligi Kuu NBC... Hapo nishafanya Fujo zote za Duniani afu Natakiwa nizimalize hizo 11gb ndani ya siku 3
  12. Crumpy Crumper

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1] I7 3770 PSU 750W Au ndo nianze kutafuta MOBO za gen ya 8 na kuendelea?
  13. Crumpy Crumper

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Habari Chief? Hivi kuna Tofauti gani kati ya i7 3770 {2012} na i3 12100f {2021} maana zote zina cores 4 na thread 8... Huku i7 ikiwa na integrated gpu {HD 4000} na hiyo i3 haina ??
  14. Crumpy Crumper

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    SP walishaacha kutoa Patches za PES, now days wana game lao linaitwa Football Life.. Nipe site nyingine??
Back
Top Bottom