Search results

  1. Bila bila

    Mgao wa Umeme VS Upungufu wa Umeme.

    Kuishi ni kujifunza na chini ya CCM binafsi najifunza Kwa njia ngumu. Hivi Kwa nini CCM na serikali yenu mnawaona Watanzania wanaowapigia Kura ni mazoba kiasi cha kuwadanganya hata Kwa Mambo yaliyo Wazi? Siku hizi Serikali imewaelekeza TANESCO kukiwa na mgao wa Umeme itoe matangazo...
  2. Bila bila

    Naandika tena kuhusu Clotous Chota Chama "Triple C" Mwamba wa Lusaka

    Braza, Wewe ni mchezaji mkubwa. Wewe ni Maestro. Lakini bàadhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha kiuanamichezo. Kwa makusudi ulihatarisha Afya ya mchezaji mwenzako ukijua soka ndo ajira yake kubwa...
  3. Bila bila

    Polisi mwachieni huru GB 64, Utani wa jadi hauna kanuni maalum ya kuongea

    Huu ni mpira, Hii ni soka, Hii ni Derby. Mbona hamjawahi kuwakamata wanaosema "timu yangu ikifungwa mnikate kichwa? Maneno makali, Maneno ya kukera, Ndio Utamu wa derby. PIA SOMA - Polisi wamkamata GB 64 akidaiwa kuhamasisha Watu kufanya vurugu mechi ya Yanga Vs Simba
  4. Bila bila

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa ana mamlaka ya kumuamuru RPC?

    Kiongozi wa jeshi la Polisi ngazi ya mkoa anaitwa Kamanda wa Polisi mkoa (Regional Police commander). Huyu naambiwa mpaka ana mamlaka ya kufukuza kazi bàadhi ya Askari Mkoani kwake na asihojiwe. Lakini juzi tumesikia Kiongozi wa umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Kagera Bw. Burhan akitoa amri Kwa...
  5. Bila bila

    Nani Sokoine wa kizazi hiki?

    April 12, 1984 Nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 10. Nalikumbuka vizuri tangazo la Mwalimu akitutangazia kifo cha Waziri Mkuu aliyepata kupendwa zaidi na Watanganyika Tangu Uhuru Edward Moringe Sokoine. Kilichosababisha kupendwa kwake ni jinsi alivyowajali watu wa Hali zote na kuhakikisha wote...
  6. Bila bila

    Makonda amekichemsha Chama Sasa Makalla kakipoze

    Kauli ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Mh Samia Suluhu Hassan imesadifu hivyo. Ukiichambua Uhalisia wake neno "kukichemsha" halikumaanisha kuchangamsha bali kutifuana. Makonda alileta mtifuano ndani ya CCM kama Maharage yanayochemka ndani ya chungu kikuukuu. Kauli hii imefafanuliwa vizuri na...
  7. Bila bila

    Simlaumu Makonda, ni vigumu kuieneza CCM kwa Sasa

    Kila kitu kina uwezo wa kutanuka na kuenea àmbao Una kikomo. Kikomo hicho kinaweza kuwa cha asili au cha kusababishwa ndani au nje au kitu chenyewe. Kwa matendo ya ubinafsi ya viongozi wa serikali ya CCM àmbao mara nyingine wanatumika pia kama watendaji wa CCM Wananchi wameshashindwa...
  8. Bila bila

    CCM hii mbinu ya kuchapisha Kura za ziada 2025 tafuteni wizi mwingine

    Nimelisikia hili likilalamikiwa na ACT WAZALENDO maeneo mbali mbali kulikofanyika Uchaguzi mdogo wa udiwani Jana March 20, 2024. Nimesikia Kata ya Kasingirima Kigoma, imesemwa Kwa uwazi Kata ya Chipuputa Mtwara, limejitokeza dhahiri Kata ya Kabwe Nkasi mkoa wa Rukwa ambako DC Peter Lijualikali...
  9. Bila bila

    Hapa serikali imefikiri mpaka mwisho, imekuja na dawa ya kuzivusha Simba na Yanga

    Hii ndo kauli rasmi ya serikali yetu tukufu kuelekea Mechi za robo fainali CAFCL ili kuzivusha Simba na Yanga zitakapokutana na Ahly na Mamelody uwanja wa Mkapa March 29&30, 2024. Hongera serikali Kwa tamko hili lenye suluhu na uzalendo.
  10. Bila bila

    CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zao Oktoba 2024/25

    Niko Rukwa kwa kazi zangu za uandishi wa habari za mazingira siku 5 Sasa. Hapa naongea toka kijiji cha Kabwe wilaya ya Nkasi. Hapa Niko Jimbo la Nkasi kaskazini Kwa Mbunge pekee wa kuchaguliwa wa Chama cha demokrasia na maendeleo mh. AIDA KENANI. Nina Jambo nimelishudia Sumbawanga mjini juzi...
  11. Bila bila

    Ni dhihaka kwa Mungu kualika kwenye futari watu wenye uwezo waliokula milo mitatu

    Tujitahidi kusoma vitabu na kuelewa dhumuni là fungà na futru. Tunaweza kuwadanganyà binadamu lakini kamwe Mungu hadanganyiki. Zaidi tunachofanyà ni dhihàka kwake. Tunaalika watu wa mlengo fulani (ubaguzi) lakini kikubwa zaidi tunaalika watu waliokula Milo 3 mchana na bado wanatutangazia...
  12. Bila bila

    Kitendo cha kuzileta nchini Ahly na Sundowns katika hatua ya robo fainali kinathibitisha ukubwa wa Simba na Yanga Afrika Mashariki

    Ahly hawawezi kuja kucheza hapa hata Mechi ya kirafiki. Mamelody wasingeweza kuja hapa hata kwenye tamasha la Wananchi maana wamejaribu mwaka jana lakini ilishindikana. Lakini uwezo wa Simba na Yanga kuingia Robo fainali umeaalazimisha kuja Tanzania na tutawaona tena. Siwezi kuacha kusifu timu...
  13. Bila bila

    Goli lile pale Tanga angefungwa Manula mitandaoni pangechafuka

    Sinema inaanza Steering akiwa Aish Manula. Tambala linaitwa SimbaVsPrison. Ghafla watazamaji wanaanza kumzomea Steering sababu ya; Hafai[emoji441][emoji441] Mpuuzi[emoji441][emoji441] Kaisha [emoji445][emoji445] Kauza[emoji441][emoji441][emoji441] Fukuza[emoji3548][emoji375][emoji373] Bora...
  14. Bila bila

    Tuiombee Kongo.

    Pray for Congo DR
  15. Bila bila

    Hii sasa umezidi, watu mliopewa hadhi ya kuheshimika hamtakiwi kuwa wa ovyo kiasi hiki

    Wiki hii imeshuhidia watu wawili wanaopaswa kuheshimika kwani ni Wabunge wakitoa maoni yanayopaswa kutolewa na Mjukuu wa mhusika anayesoma chekechea. 1. Wa Kwanza kupiga Boko alikuwa Mbunge wa viti maalum CCM Ng'wasi Kamani. Bila kujali Watanzania wanapitia magumu yapi kimaisha akapendekeza Kwa...
  16. Bila bila

    Waliokushauri uachane na tabia yako ya maridhiano ndio waliokupotezea mvuto

    Ulianza vizuri mbio zako baada ya kupokea kijiti Kwa bahati ya Mungu. Watu wa Pwani tunasema ulianza na mguu mzuri baada ya kuchagua uelekeo tofauti na mtangulizi wako kuhusu demokrasia na mahusiano ya ndani na nje. Uliwafanya wengi wakuamini na kukupenda ghafla Kwa vile siasa za mtangulizi...
  17. Bila bila

    Hivi waamuzi wa Tanzania mnaona jinsi dangerous play na reckless play zinavyoadhibiwa Kwa Kadi nyekundu?

    Naamini waaamuzi na waamuzi wasaidizi wa Tanzania mnaangalia AFCON Kwa lengo la kujifunza. Mechi mbili za Leo yaani Senegal vs Gambia na Cameroon Vs Guinea zimewapa funzo adhabu gani anapaswa kupewa mchezaji anayehatarisha usalama wa mwenzake Kwa kucheza madhambi bila tahadhari.
  18. Bila bila

    Lakred wewe ni yule yule

    Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi.
  19. Bila bila

    Mnasimamisha na kufukuza kazi wadogo kulinda maslahi ya Wakubwa?

    Waziri Mchengerwa na Ummy Mwalimu wamekuwa hodari wa kusimamisha na kufukuza kazi watumishi wadogo hata Kwa makosa ambayo ni dhahiri yamesababishwa na Sera au maagizo ngazi ya wizara. Lakini wao hawataki kuwajibika. Wamemuondoa kwenye nafasi Mganga Mkuu Kagera kwa kile kilichotajwa ni kuzidi...
  20. Bila bila

    Vodacom huduma Kwa wateja mna uhuni mwingi.

    Leo itakuwa mara ya mwisho kutumia mtandao wenu. Najua mna wateja wengi lakini Mimi Acha nipungue. Jana nimetuma 210,000 ili zimsadie mgonjwa kulipa bill lakini hazikufika na kwangu sikupata msg. Nimepiga simu huduma Kwa wateja naambiwa fedha itarudishwa kwangu ndani ya masaa 48. Kuna haja gani...
Back
Top Bottom