Search results

  1. C

    Yu wapi Lazaro Nyalandu?

    Amejaa tele anakula bata kwa kwenda mbele,ni CEO kwenye Makampuni yake
  2. C

    Zitto: Ziara ya Rais Magufuli bandarini haikuwa na jipya, amefanya kazi iliyotakiwa kufanywa na Afisa wa TRA

    TL alishasema tuna jamaa wa ajabu kwelikweli sasa ndio mjionee
  3. C

    AG anayetuhumiwa na Rais kuchakachua sheria iliyopitishwa na bunge ni nani? Kwanini hajakamatwa?

    Duh hii nji bwana!! Yaani kutwa ni " One Man Show"
  4. C

    Yupo wapi mtangazaji wa ITV, Sam Mahela?

    Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani. Naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha Dk 45 ITV Jumatatu hakiwi kama ilivyo ada.
  5. C

    Wapi Sam Mahela

    Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha dk 45 ITV jumatatu hakiswii kama ilivyo ada
  6. C

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Kwa upuki wako unadhani Prof. Akiondolewa ktk nafasi ya mwenyekiti wa Bodi atapoteza kitu??!
  7. C

    Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Amtoe gerezani kwani yeye mkuu wa Gereza? Wacha upuki wewe
  8. C

    Nani amewahi kula hii kitu?

    Kitu gani
  9. C

    Nahitaji Kununua Mpunga

    Njoo mbarali utakutana na Saro5 gunia 140,000-150,000/=
  10. C

    Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

    Malasusa aondolewe kabisa msaliti mkubwa huyu lakini bado kashfa ya Ugoni haiwezi kumwacha salama
  11. C

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Jamaa Lina sura Mbaya halafu linapenda sana kuongea na vyombo vya habari,eti watapigwa Kama mbwa koko
  12. C

    Je, kuna ulazima Mkuu wa Majeshi kuhudhuria uzinduzi wa tawi la benki?

    Yaani siku Wakuu wa vyombo vya ulinzi wamebadilishiwa job descriptions, wao kutwa kwenye mauzinduzi hata wa vyoo vya stend, mara barabara nk. I wish i could be igp
  13. C

    Ona CV ya huyu mbunge halafu yupo kwenye kamati ya bunge ya viwanda na biashara

    Huyu ni imbhombho nu luhala tu hamna kingine anachojua
  14. C

    Humphrey Polepole ni nani?

    Ni Mbena mmoja wa Kifanya Njombe
  15. C

    Tundu Lissu: Utaratibu wa Matibabu ya Mbunge umewekwa na Sheria ya Bunge

    Cha ajabu sana kila anapoongea (Magu) anasema "tumtangulize Mungu" sijui ni Mungu yupi huyo anayesema tumtangulize ambaye hataki Tundu Lissu apatiwe huduma ya matibabu na, Serikali kama sheria ya Bunge inavyihitaji???
Back
Top Bottom