Search results

  1. asuuu

    Dah ni hatariiii

    Nimempigia simu demu wangu akapokea bwana ake mwingine na kuanza kunihoji"wewe ni nani wampigia mpenzi wangu simu??? Nikamjibu"Sorry mimi ni doctor mpenzi wako alinambiaga niwe namkumbusha kumeza dozi zake za ARV kila muda ukifika" Yule mwanaume leo tumemzika...
  2. asuuu

    Utafiti nilioufanya 2016 nimegundua hili

    Baadhi ya Wazazi huwa wanaandika Mageti ya nyumba yao. HAPA KUNA MBWA MKALI pindi binti yao anapofikisha Miaka 18. Lakini anapofikisha Miaka 30 bila kuolewa wanaandika Getini. TUNAUZA ICE CREAM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. asuuu

    Wazee wa zamani bhana ni shidaaa.

    Wazee wa zamani bhana.. kwakweli walikosa kazi, yaani wanakaa wananusa mavi halafu wanatunga methali eti "MAVI YA KALE HAYANUKI"[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. asuuu

    2020 msiache kupiga kura

    *Ivi kama juzi ilikua 2016* *jana* ni 2017* *Ivi leo si itakua 2018* * kesho itakua 2019* *Halafu keshokutwa itakua 2020... *tutaenda kupiga kura tena etieeee*[emoji134]‍♂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji51]
  5. asuuu

    Wanaume hua hawapendi ujinga

    Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wake unaongeza nguvu za kiume.*[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] hutakaa uwaone...
  6. asuuu

    Hii tabia si nzuri

    Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??[emoji16] Mnaboa sana...
  7. asuuu

    HADI 2020 TUTAISOMA NAMBA KWAKWELI

    JAMAA AMESHTUKA "USINGIZINI" HUKU AKIPIGA KELELE """MUNGU WANGU""" """MUNGU WANGU""". NIKAMUULIZA VIPI ULIKUA UNAKIMBIZWA NA SIMBA?? AKAJIBU...BORA INGE KUA HIVYO """NILIKUA NAOTA NAMPIGIA KURA RAIS WETU TENA KATIKA NDOTO""" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
  8. asuuu

    Ujumbe wa leo

    Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo. Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi. Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango. Mke akaenda kufungua mlango. Bahati mbaya kumbe ni mpango Wake wa Kando. MKE: Unataka nini we Mpumbavu? MUME: Nani huyo una Mtukana? MKE:Kuna Mtu hapa...
Back
Top Bottom