Search results

  1. G M S

    Majina yamepotea ghafla katika gmail

    Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
  2. G M S

    Je, kuna Android App ya kuweza kuboost calling voice?

    wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna utofaut before na afta installing,,
  3. G M S

    Kwa wale scientists au environmentalists

    Swali: kwanini wakati wa usiku vumbi hubaki/huganda sana ktk anga hii yaweza onekana barabarani kiurahisi,,,,, Na pia wakat wa usiku pia moshi huganda pia hewani badala ya kusambaratika???
  4. G M S

    Naomba msaada wa mawazo kuhusu mkopo kutoka Bayport

    Wana uchumi wenye uzoefu naomba ushauri nina deni Bayport wa sh milioni 9.9 lililotokana na mkopo wa sh, milioni 5.2 kiukweli riba zao ni kali,,,, nimekopa kwa miezi 36,,,,,,, bado miezi 3 niwe na miezi 24,, nimewaza kwenda kupunguza ikiwezekana kufuta deni kabisa,,, muhudumu kaniambia Sina...
  5. G M S

    Wakuu naomba kujuzwa shule za watoto watukutu shule ya msingi

    Jamani nna mtoto nataka mpeleka huko ila sijajua ziko ngapi na taratibu zake nimeskia moja ipo mbeya je ni kila Mkoa??? Mi nipo morogoro naomba kujuzwa please
  6. G M S

    Nifanyaje huu uso niwe kama wengine

    Madaktari humu ndani naomba ushauri maana nishaangaika nimefeli,, ngozi ya uso haijawahi kurelax huwa inakuwa kavu na rangi yenye mabaka nimeapply mafuta ya kila aina na ya bei tofauti kulingana na ushauri wa watu wa cosmetics sijawahi ona mafanikio zaidi ngozi yakumbwa na vipele kuonyesha...
  7. G M S

    Vp khs reality ya tecno phone's

    Jamani hivi kwa wale waliofuatilia uzimwaji wa simu kwa kurejea mfano wa nchi jirani ya Kenya je tecno zimesalimika???????
  8. G M S

    Je Kuna njia ya kudownload online videos???

    Wadau je Kuna njia yoyote kwa android kudownload online videos kwamfano zile fb's feeds??
  9. G M S

    Nifanyaje katika a/c yangu ya fb

    Jamani nina shida katika a/c yangu ya fb kila nikifungua videos zinajiplay na kunimalizia mbs natumia Sim aina ya ZTE kiss 3 max,,,,
  10. G M S

    Zte Android haina Restart

    Sim yangu aina ya zte Kiss iii Max pindi nnapo press power button haina part ya restart. Je kuna lolote naweza fanya ili iwepo hyo part?
  11. G M S

    sim inachemka na ku alet iko over heating

    Nifanyaje jmn sim hii ni zte kiss iii max inakuwa over heating nifanyaje jamn
  12. G M S

    Msaada wenu: Nasumbuliwa na jointi za kiuno

    Wiki tatu sasa ghafla tu joints za kiuno hasa upande wa kushoto zinanisumbua mashindwa hata pandisha ngazi vyema najivuta tu na pia nashindwa hata fanya. Movement za miguu vyema. Nilienda hospital moja ya mission yaitwa IKONDA nikaambiwa huenda ni maumivu ya joints inayoitwa Tambazi...
  13. G M S

    Msaada joint zinasugua

    Wakuu msaada wenu please nina matatizo ya joint za kiuno zinasumbua sana kunakuwa na kama msuguano hasa upande wa kulia na hii imenianza baada ya kumaliza dozi ya sindano za kwinini. Sijui itakuwa zile dawa zimenyonya majimaji msaada pls kwasabu kupanda ngazi na kunyanyua miguu sana napata maumivu.
  14. G M S

    msaada khs online videos!!

    kila kunapokuwa na video ya kuplay katika blogs simu yangu inaweka blank yaani inaweka gap la weupe nimejaribu kugoogle naona inahitajika flash player au flv nimejaribu kutafuta ktk play store sijafanikiwa msaada pls simu yangu ni T-Mobile my touch 3g android os.
  15. G M S

    Nokia e72 brand inahitajika kwa bei ya sasa

    kwa yeyote mwenye kuhusika tupeane hizo info! kwa bei inayoeleweka$
  16. G M S

    nifanyaje hii simu?

    ni simu aina ya T-Mobile my touch 3g android version 2.2.3 tatizo lake kwa sasa Mara kwa mara inastack na ilipofikia sasa ni kujizima na kujiwasha mara kwa Mara Je inatokana na nini na suluhisho ni nini msaada tafadhari?
  17. G M S

    natafuta Nokia e55

    je ntapata wapi hyo Nokia e55 mpya na bei gani? colour (black)
  18. G M S

    msaada kidogo khs kaspersky lite mobile!

    niliwah kuset kuwa kila saa sita iwe inaskan applications zote ila kwa sasa nimechemka jinsi ya kuset msaada plz! natumia htc-android!
  19. G M S

    jama msaada hii TBC kwangu bado!

    ilipokata kuna ndugu alisema tubadili na kuweka frequencies hizi 3892 v 3072 lakini kwangu had l eo inaandika signal is weak msaada jamani!
  20. G M S

    Ile divert ya voda ya who call inasumbua msaada!

    Nilikuwa naactivete kwa kupress *21#0754125125# na kukancell ##002# lakin kwa sasa hafanyi kazi ilikuwa inanisaidia kujua nani anapiga pind nipo hewan bt kwa flight mode au nani alipiga pind sipo hewan. Msaada plz
Back
Top Bottom