Search results

  1. Smart Guy

    Nawezaje kutumia Bluetooth na wired headphone kwa pamoja kupitia simu

    Habari; Tuseme mfano nahitaji kuskiliza mziki. ninachoskiliza kwenye headphone kiskike vile vile kwenye Bluetooth speaker kwa pamoja. kelphin, Extrovert na wadau wengine karibuni.
  2. Smart Guy

    Tatizo la MUCUS kooni

    Wakuu habari ... Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana. Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash. Lakini bado tatizo liko pale pale...
  3. Smart Guy

    Kashfa ya Reagan kuwaita Waafrika "nyani" yaibuka kutoka maktaba ya Nixon.

    "Kanda mpya za sauti zilizopatikana katika maktaba ya kumbukumbu ya rais wa zamani Richard Nixon zimefichua mazungumzo ambapo rais mwingine wa zamani Ronald Reagan aliwaita waafrika “nyani” katika mazungumzo yao ya simu". --Mazungumzo hayo yaliyotokea mwaka 1971 baada ya Umoja wa Mataifa...
  4. Smart Guy

    Tweet ya Balozi wa Marekani Kenya dhidi ya ufisadi zazua gumzo mitandaoni.

    Hivi karibuni Balozi wa Marekani nchini Kenya Kyle McCarter alisababisha mjadala mkubwa kwa wadau wa lugha ya Kiswahili alipotuma ujumbe wake wa Tweet kwa Wakenya katika Kiswahli fasaha na kuzua gumzo mtandaoni. Alituma ujumbe huo kuwaeleza wananchi wa Kenya alivyo na furaha kutumikia nafasi...
  5. Smart Guy

    Njia sahihi ya kufikia mafanikio

    Binadamu tunapenda mambo ya mkato, kiuhalisia njia za mkato si nzuri hata kidogo kwa sababu kila kitu unachokiona kina mwanzo wake na kimefikia hapo kilipo kwa sababu kuna mchakato unatumika kukifikisha hapo kilipo. Mchakato huo unaratibiwa na mfumo maalumu ambao umeundwa ili kusaidia kufikiwa...
  6. Smart Guy

    Tecno y3 haipandishi 3g [h+]

    Habari: Nina simu ya tecno y3 nikiset 3G network inaandika no service na laini inakuwa haisomi kabisa lakini ikiwa kwenye 2G inafanya kazi Kama kawaida, nimejaribu kubadilisha laini tofauti tofauti lakini hakuna mabadiliko yoyote. Msaada tafadhali Smart guy
  7. Smart Guy

    Msaada; Invalid imei number

    Habari za humu: Nina simu ya tecno y4 imepata tatizo la invalid imei number yaani sipigi wala kutuma sms isipokuwa ku surf internet tu. msaada tafadhali. Smart guy
  8. Smart Guy

    Nini kinapelekea baadhi ya data mfano nyimbo kupotea au kufutika moja kwa moja kwenye simu???

    Habari za muda huu wakuu; Kuna tatizo linanitatiza sana yaani kila nikidownload baadhi ya nyimbo kwenye simu yangu baada ya Siku chache baadae nikijakuzitafuta tena nazikosa Yaani najikuta namaliza bando kudownload nyimbo baada ya siku mbili tatu zinapotea. Nini kinasababisha hili tatizo...
  9. Smart Guy

    Ma dj bora kabisa kwa mwaka huu 2018

    Haya haya wakuu mwaka ndo hivyo tena unatokomea; Hivyo basi nimeona siyo kesi kwa sisi wapenzi wa kusikiliza music nije na list ya baadhi ya madj waliofanikiwa kuukonga moyo wangu vilivyo katika suala zima la burudani nao si wengine bali ni; @Dj sinyorita @DJ D ommy DJ zero @Dj Scratch...
  10. Smart Guy

    Tofauti ya nungunungu na karunguyeye

    Wakuu habari za muda huu; hivi kuna tofauti yoyote kati ya wadudu hawa wawili na kama ipo ni ipi hasa???
  11. Smart Guy

    Nashindwa kuchukua screen shot kama ilivyo hapo awali

    Wakuu habari za mda huu, toka Jana nimekumbwa na hili tatizo yaani kila nikijaribu kuchukua screen shots kwenye simu yangu, nashindwa tatizo laweza kuwa nini?.
Back
Top Bottom