Search results

  1. Zabron Hamis

    Mbunge Mwita Waitara, acha kutumia ulaghai kwaajili ya kujitengenezea njia kueleka uchaguzi Mkuu

    Kwanza kabisa nitangulize samahani kwa wale nitakowakwaza kwa uandishi mbovu. Mimi sio mwandishi na leo ni mara ya kwanza kabisa kuandika katika jukwaa hili la siasa. Mwita Waitara ni mbunge wa jimbo la Tarime vijijini na hii ni baada ya kuunga juhudi kutoka CDM (Ukonga) na mwaka 2020 aligombea...
  2. Zabron Hamis

    Je, TCRA na Wizara ya Mawasiliano wameshindwa kudhibiti matangazo holela?

    Leo nikiwa nimetulia, ghafla nikasikia mlio wa ujumbe kuingia kwenye simu yangu. Nikidhani ni ujumbe wa maana, nikakutana na ujumbe ufuatao; "Ni upumbavu kutokucheza Aviator kwenye gobet.co.tz/everymatrixCasino, na Tsh. 500 ya FREEBET na bonasi ya amana ya Tsh. 150,000 kwenye michezo yote."...
  3. Zabron Hamis

    Siku hizi gospel songs hazina tofauti na bongo flavor

    Nimetulia mbele ya kioo cha TV nikasema leo nisikilize nyimbo za injili ili kuiandaa ibada ya jumapili. Kama mnavyojua walevi na wapenda starehe huanza kujiandaa siku ya ijumaa hivyo nami nikasema sio vibaya nikafanya kwa upande wangu. Sina tatizo na ulevi ama starehe ya mtu, ni mfano tu...
  4. Zabron Hamis

    Tunakuletea huduma za matengenezo kwa printer zinazotengenezwa na kampuni ya Epson

    Habarini za muda huu wadau. Watu wengi wamekuwa wakihangaika kupata msaada hasa wa printer za epson na nyinginezo huku wakikutana na mafundi vishoka ambao mwisho wa siku hujikuta wameharibiwa vifaa vyao ama kuingia gharama kubwa zaidi ya gharama ya tatizo la mwanzo. Kwakuliona hili...
  5. Zabron Hamis

    Mfumo wa Hazina umepata hitilafu, hamjalipiwa mikopo

    [emoji419]Mfumo wa hazina ume misbehave (despite the GIGOs) baadhi ya wenye mikopo wamekatwa mara moja (1 instalment) ila balance ya mkopo imepungua mara mbili (2 instalments). Kama hazina wataweza ku fix hilo tatizo mapema mshahara wa Feb, 22 unaweza kuwa sawa. Puuzia taarifa zinazoenezwa...
  6. Zabron Hamis

    Naomba kwa yeyote anayefahamu kuhusu biashara ya matunda anisaidie

    Naomba kwa yeyote anayefahamu kuhusu biashara ya matunda katika nyanja zifuatazo anisaidie. Mtaji wa chini kabisa kupata mzigo Aina za matunda yanayopendwa zaidi Maeneo ambayo nikifungua ninaweza kutengeneza faida angalau 10 kwa siku (pwani/dar) Kiwango cha chini cha posho kwa msimamizi...
  7. Zabron Hamis

    Kilele cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa wa Africa, yapi maoni yako?

    Habarini za leo ndugu zanguni. Natumai hamjambo na mapambano ya kila siku yanaendelea, kila mmoja anapambana kuhakikisha anapata riziki yake. Kama tujuavyo kuwa kila ifikapo 16/06 ya kila mwaka huwa kuna maadhimisho ya siku inayofahamika kama siku ya mtoto wa Afrika ili kuenzi mauaji ya watoto...
  8. Zabron Hamis

    Ulishawahi kuoa kisha wajanja wakamuoa mkeo kwa mara ya pili? Tueleze ilikuwaje

    Katika maisha kuna mambo watu hupitia na kwaakili ya kawaida ukahisi ni stori tu. Binafsi haijawahi kunikuta lakini kuna watu imewatokea. Kama ilivyo kwa wanaume kutelekeza familia na kwenda kuoa na kuanzisha maisha na watu wengine, wanawake nao hurubuniwa na kuachika kwa waume zao na kwenda...
  9. Zabron Hamis

    Je, amfanyiaye mwenzie 'kiini macho' naye anaona kilichokusudiwa?

    Mara nyingi katika mada zenu zilee, huwa mnazungumzia mambo mbalimbali kuhusu uchawi. Nina swali moja ambalo huwa linanitatiza. Tunajua pia kwenye uchawi kiini macho huhusika, je iwapo mganga/mchawi anataka kumtisha mtu kwa kiini macho, MACHO YAKE YANAONA KILE ANACHOKIONA MLENGWA? kama sivyo...
  10. Zabron Hamis

    Ningependa kufahamu, hivi damu ambayo watu huchangia inatumiwaje?

    Habari wana JF, Heri ya Chritmas&Mwaka mpya. Mwenyezi Mungu atupe ruksa ya kuuona mwaka ujao 2017 ambao utatujia hivi punde. Najitokeza ikiwa ni mara yangu ya kwanza kuandika thread hapa katika jukwaa la wanajamii wenzangu. Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hatua ya kila unapouguliwa na ndg...
  11. Zabron Hamis

    AIR COMPRESSOR INAUZWA

    Sold
Back
Top Bottom