Search results

  1. teresa emanuel

    Habari wanajamii

    Naomba kujizwa kuhusu biashara ya barber shop faida na hasara zake uendeshaji wake uko vipi na changamoto zake natanguliza shukrani za dhati. Mimi niko mkoani mbeya
  2. teresa emanuel

    Dada Atupakisye baada ya kutoka Japan

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  3. teresa emanuel

    Jamani twendeni Burundi

    Sijawai kuona wanaume wa humu jamii wanasifia wanawake wa kitanzani
  4. teresa emanuel

    Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu

    Ubaguzi tu india wabaguzi sana ndio shida yunayoipata uku ila izo ni changamoto ndogo ndogo tu ambazo zinaepikika na maisha india kawaida tu kama bongooo ni rahisi kukabiliana na mazingira
  5. teresa emanuel

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    Samsung kampuni nzuri Sana ila huu ndio ubaya wake ndio maana awawezi kuwa Kama wenzao iPhone mfano Samsung iliyotoka mwaka jana mwanzoni saivi iko cheap Sana ila iPhone ya mwaka jana unaweza kuitumia mpk mwakani kwasababu wanatoa cm mbili tatu mwa mwaka mfano iPhone 6 na 6s and 6plus wamemaliza
  6. teresa emanuel

    Neno moja nililopewa na Mkongo baada ya kunipa vumbi Kasongo aka vumbi

    I think hii aizidi hata 2000. Kwa uko just go phamacy waonyeshe picha watakupa
  7. teresa emanuel

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    Natoa ofa kwa watu wawili tu mimi naishi india ninandugu yako anakuja bongo tarehe ishirini kwaiyo wanaotaka iyo oppo waagize kama ni online mimi nampa ndugu yangu awabebe bureee tu asa kuna wengine watakuja humu wataanza kusema utapeli ndio maana tunaogopa kutoa misaada humu Mda mwingine yani...
  8. teresa emanuel

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    Natoa ofa kwa watu wawili tu mimi naishi india ninandugu yako anakuja bongo tarehe ishirini kwaiyo wanaotaka iyo oppo waagize kama ni online mimi nampa ndugu yangu awabebe bureee tu asa kuna wengine watakuja humu wataanza kusema utapeli ndio maana tunaogopa kutoa misaada humu Mda mwingine yani...
  9. teresa emanuel

    Kwa nini Benk zinakuwa na Rate mbaya kuliko Bureau de change

    Kaka hii folex account inakuwaje kuwaje mkuu naweza kunufaika
  10. teresa emanuel

    Benki gani naweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi

    Habari wanajamii, Mimi ningependwa kujuzwa sijui ni bank gani ambayo ninaweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi zikaingia moja kwa moja kwenye account yangu Tanzania mwenye ujuzi wapendwa naomba tushee ujuzi. Wakuu asanteni
  11. teresa emanuel

    Neno moja nililopewa na Mkongo baada ya kunipa vumbi Kasongo aka vumbi

    Mie nimeona kwa uku niliko { sikutaji) wanaume wanakunywa cough syrup yani unaweza tu ukaiweka kwenye soda au beer au juice yani vyovyote tu yani hii mwanaume bao moja masaa 6 aisee wanawake wakiona mwanaume anakunywa hii huwa wanakimbia maana wanajua mziki wake lazima utoke na chupi mkonon
  12. teresa emanuel

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    Uku india hizi simu ni bei poa sana ndio simu zinazotumiwa na waindi wengi sana wa hali ya chini Kama vile huawei zilivyo na bei za chini uko bongo
  13. teresa emanuel

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    Kampuni za india hizo mimi naishi nina uhakika na hili
  14. teresa emanuel

    Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

    Iyo 2 or 3 million iwe ya mzigo tu au mzigo nauli kulala ushuru na kila kitu ?
  15. teresa emanuel

    Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

    Aisee mkuu twende wote na mie wa kwetu uku mbeya
  16. teresa emanuel

    Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

    In short hata mwanamme mweusi anamvuto isee yani mwanaume mweusi ndio ugonjwa wa wanawake wengi kitu black acha tu
  17. teresa emanuel

    Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    So nikinunua oppo india bongo inafanya kazi kama kawaida tu
Back
Top Bottom