Search results

  1. Quicklime

    Msaada wa fundi: Toyota Runx inabugia mafuta

    Kwa hakika ni oil,haijawekwa recommended!Mafundi wetu Hawa wamekariri kwa kuweka oil nzito ya 20w50 kitu ambacho kinasababisha oil kutoflow vizuri kwenye parts za engine... Jana usiku nimekesha nikireview hizi oil! Yaani nimehamia na Mimi muda Si mrefu naenda kuweka 5w30 .Mi mwenyewe mafundi...
  2. Quicklime

    Ulaji huu wa mafuta ni kawaida?

    Yote kwa yote kesho naenda kuweka 5W30
  3. Quicklime

    Zifahamu Engine oil

    Halafu mafundi wetu ni wabishi sana!!
  4. Quicklime

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Haya kaka?!Tunasubiri urudishe kadi
  5. Quicklime

    Windows 10 updating imekuwa kero!

    Na HDD ni 500 gb
  6. Quicklime

    Windows 10 updating imekuwa kero!

    Nashukuru,pc yangu ina specs zifuatazo....
  7. Quicklime

    Windows 10 updating imekuwa kero!

    Habari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23] Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine… So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi...
  8. Quicklime

    Jinsi ya kutumia bando kidogo la internet kwa siku/wiki/mwezi kwenye simu na kwenye PC ya window 10

    Kwa kweli nikushukuru sana!Bando ya buku tatu haichukui hata dakika 10 kwa wifi kwenye pc
  9. Quicklime

    Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Nimekuwa na jambo la kujifunza! Nashukuru mno
  10. Quicklime

    Vijana Watanzania tafuteni majibu ya maswali magumu

    Unamaanisha nini unaposema sera ibadilishwe na kuwa 30% ya manunuzi ya bidhaa yafanywe na vijana? Ninachojua kazi ya kununua hasa kitaasisi ina idara maalumu ya manunuzi ambayo kazi zake zimeainishwa kwenye sheria ya manunuzi...Sasa hapo vijana wanunue??Aaah sijakuelewa,taasisi zina wafanyakazi...
  11. Quicklime

    Dkt. Samizi achanja mbuga kusikiliza kero za wananchi na kuhamasisha sensa jimboni

    Hongera sana Mama,Dr Florence Samizi!Sisi wananchi wako wa Kibondo(Jimbo la Muhambwe) Tunaelewa sana harakati zako za kutuletea maendeleo...Umekuwa mwenye juhudi sana katika kufikisha azma hiyo!Mwenyezi MUNGU akupe nguvu zaidi usichoke kutupambania mama yetu mh Samizi.
  12. Quicklime

    Dkt. Kimei aishauri Serikali iache kukopa muda huu kwa sababu Riba zinapaa. Dkt. Kigwangalla asema huu ndio muda wa kukopa sana

    Binafsi ushauri wa Dr Kimei una mashiko,ana speculate yajayo na sababu zake.... Sio tukope tu wakati dunia inakumbana na #Covid19 na vita inayoendelea ya Urusi na ukraine!
  13. Quicklime

    Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Kwa kweli hili limekuwa tatizo!?Ni lazima wabadirike....
  14. Quicklime

    Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Kinachonishangaza hawa wanawake hawaamini kama wanaume nao ni binadamu kama wao,Mzunguko wa pesa hauchagui jinsia. Juzi nikakutana na status nyingi za wadada wakidai mwanaume anayeitikia sawa baada ya kuambiwa bando limeisha wanamwita anaitikia kama mbuzi?!😂😂Yaani eti mwanaume asikose pesa...
  15. Quicklime

    Hii issue ni mimi tu kuhusu PESA au na nyie?

    Hahahaaah!Hongera mno,wewe mwenzetu unatembea kinyume nyume...
  16. Quicklime

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Umevamiwa,ukapiga na picha,ukatwit,ukapiga simu kwa ocd!aisee hao wavamizi wa miaka hii ni wa dizaini yake...
  17. Quicklime

    Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

    Umeuliza updates lakini kichwani una za kwako?
Back
Top Bottom