Naona YANGA imewashika pabaya sa mnaanza kutafuta visingizio vya kujisafisha kwa wanachama na mashabiki wenu ili kufunika madudu na mauvundo yenu mnayoyafanya...eniew kila lakheri myama uelekeako kwenye hiyo ligi unayoijua...kuna timu nyingi sana mfano pamba zinataman japo nafasi ya kucheza ligi...
mkuu acha kuweweseka swala mlikuwa mnanyukwa tatu tatu tena na vitimu dhaifu kweli cjui maharage alikuwa anawadanganyilishia toto kuwaletea vitimu vibonde kwenye ligi ya kenya ili mkivifunga mapovu yawatoke kwa wingi na vichwa viwajae badala yake mambo yanageuka matokeo yake mnaaibishwa nyumbani...
next kuwafukuza ni keita na ochieng mmm! Lakin ninashaka tukiwafukuza hawa nani ataziba mapengo yao maana yondan na keita bado hakijaeleweka halafuu! Kitukingine ndo hivyo dilisha la usajiri linafungwa cjui tufanyeje sasa hii nayo ni pasua kichwa!!! Labda na sie tumwige jirani tumtimue huyu...
Anselm labda cha kuwasaidia hawa jamaa inabidi watu kama nyie mjitolee kugombea uenyekiti pale msimbazi uchukue nafasi ya "msema hovyo hovyo aka Maharage" maana inaonekana jahazi linamshinda na linaelekea kuzama na jamaa anavyojua kuutumia mdomo wake atawapoza mashabiki wake kwa kuwaambia...
Anselm labda cha kuwasaidia hawa jamaa inabidi watu kama nyie mjitolee kugombea uenyekiti pale msimbazi uchukue nafasi ya "msema hovyo hovyo aka Maharage" maana inaonekana jahazi linamshinda na linaelekea kuzama na jamaa anavyojua kuutumia mdomo wake atawapoza mashabiki wake kwa kuwaambia...
Te! Teh! Teh!... Uwiiiiii mbavu zangu mie dah! Anselm acha hizo bwana some tyme uwe unatumia na tafsida sa mambo gan bwana unawapa jamaa za 'uso' kihivyo aka kavukavu? Kwan ulikua hujui jamaa walikuwa wanatafuta gate collection money ya kuwalipa azam pesa yao iliobaki kwa cjui redondo but in the...
masuke hebu njoo na hoja ya kutetea na sio kutukanatukana tu au na we ndo walewale majuha{viongozi wa simba} hapa sio swala la kuona makosa ya simba tu anachojaribu ku address bwana Anselm ni kweli tupu kama na wewe unaona kunamakosa upande wa pili anzisha topic taja makosa watu wachangie kwa...
Inategemea na msichana mwenyewe kama anaonesha direction and if she's serious with me but sitamwambia live kwamba ntampigania but she would see in my actions to her, but if its just a friend with benefit hata sithubutu incase mambo yakiharibika.., that are mine
sio amchune, bal wachunane waziri gan atakayekubal kuhonga gar then aingizwe mitin kwan amekua bint yake ampe gari la burebure kama zawadi ya birthday, its means atoe gari then achakachue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.