Search results

  1. TangataUnyakeWasu

    Tangazo la ajira bomba la mafuta Tanzania - Uganda

    Project inaanza mwezi wa Tano
  2. TangataUnyakeWasu

    Kuna mpasuko mkubwa kwa wale watu wetu tunaowategemea

    Ujumbe huu umfikie bashite na babake
  3. TangataUnyakeWasu

    Tangazo la ajira bomba la mafuta Tanzania - Uganda

    Lake Hotel mitaa gani hapo Mwanza mkuu
  4. TangataUnyakeWasu

    Tangazo la ajira bomba la mafuta Tanzania - Uganda

    Ndiyo unambie kiasi gani unataka nikulipe
  5. TangataUnyakeWasu

    Tangazo la ajira bomba la mafuta Tanzania - Uganda

    TAARIFA KWA UMMA KUTAMBUA WATANZANIA WENYE TAALUMA NA UJUZI KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI 1. Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi “East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP)” kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga nchini Tanzania ni moja ya miradi mikubwa...
  6. TangataUnyakeWasu

    Picha: Kila la heri Simba SC na Yanga FC wawakilishi wetu wakimataifa

    Hawa wa Kijani wanaenda kupanda pipa na marapa ya chooni
  7. TangataUnyakeWasu

    Flaviana Matata achana na siasa fanya mambo yako ya urembo

    Nikajua kapamba jukwa la policcm She is right [emoji817]
  8. TangataUnyakeWasu

    Mbowe: CCM bila Polisi ni wepesi

    Hilo lipo wazi hata bashite na babake wanalitambua
  9. TangataUnyakeWasu

    Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Uzuri wa watanzania HASIRA zetu dhidi ya watawala zinaishia tu kuandika mitandaoni. Siku tukiwa watu wa vitendo kuliko kuongea na kuandika ndipo tutakuwa tumesaidia dhidi ya huu uonevu
  10. TangataUnyakeWasu

  11. TangataUnyakeWasu

    Waziri mkuu akaribishwa mji mdogo wa Ngudu Wilaya ya Kwimba kwa mabango

    Babake bashite yeye alishakataa mabango anayaogopa vbaya
  12. TangataUnyakeWasu

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    Wewe ndiyo unatafuta kitu kwa kutokwa mapovu na tafiti za watu tena tafiti ambayo ipo sahihi [emoji817]. Tena wewe kama utakuwa wa mkoa wa Mara basi wewe ni wa kuja tu tena MSUKUMA au MJALUO ambao ndio wanaongoza kwa kutotahiri mkoani Mara Mapovu ni Ruksa
  13. TangataUnyakeWasu

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    Endelea kutokwa na mapovu ila UTAFITI UPO SAHIHI [emoji817]. Utaki nenda mahakamani na siyo kulialia mitandaoni. Walaumi wazazi wako waliokataa kukupeleka kwa wataalamu ukatolewe govi
  14. TangataUnyakeWasu

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    Endelea kutukana ila utafiti unapingwa kwa tafiti na siyo Matusi au kushinikiza watu wafute tafiti. Naona unatokwa mapovu sana utakuwa msukuma au mjaluo kwani ndio watu wenye magovi ndani ya mkoa wa Mara. OVER
  15. TangataUnyakeWasu

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    Kwani utafiti ukitaja kuwa tatizo fulani ni sugu katika sehemu fulani wanamaanisha kuwa wote ni wahanga? Mimi nyumbani ni Mara na naunga mkono matokeo ya utafiti huo. Mkoa wa Mara una takribani makabila 21 kati ya hayo makabila ni makabila machache tu ndiyo yapo msitari wa mbele katika kufanya...
Back
Top Bottom