Search results

  1. L

    msaada: Kwenye Interview

    mkuu ukigoogle utapata. wabongo wakiulizwa hilo swali wanaanza i was born in, primary school wapi, i am christian/muslim nimeoa na watoto watatu. they are not interested in that info. waeleze elimu kdg and how your edu, skills and experience you have are suited for the job (hapo uwe umeipitia...
  2. L

    msaada: Kwenye Interview

    Wadau kupitia hapa hapa Jf nilipata Tangazo la kazi nikaaply, Last Month nilifanya Telephone Interview na jana wakanipigia simu kwamba nimefuzu kwa hatua ya kwanza hivyo Jumatatu nitafnya interview nyingine both oral and written, sasa wanabodi kuna swali huwa linanipa shida sana, hata siku ya...
  3. L

    Tundu Lisu ni kisiki cha mpingo wapenda haki tunakukubali endeleza tupo nyuma yako

    GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Tundu Middle Name: Antiphas Mughwai Last Name: Lissu Member Type: Constituency Member Constituent: Singida Mashariki Political Party: CHADEMA Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam Office Phone: +255 22...
  4. L

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    Wadau hiyo Ndiyo cv Ya Lusinde Mbunge wa Mtera GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Livingstone Middle Name: Joseph Last Name: Lusinde Member Type: Constituency Member Constituent: Mtera Political Party: CCM Office Location: Box 50...
  5. L

    Arusha kumekucha

    Wakuu mgomo wa daladala hapa Arusha ni mkubwa sana, nilitoka katikati ya mji kuelekea, njiro hakuna daaladala. nimetumia taxi na nilipotoka sakina kuingia mjini the situation is worse.<BR>Nikasimama sehemu kuwasikiliza machalii wa jiji wanasema wameshazoea mabomu hivyo Zuberi aendelee kumdharau...
  6. L

    Arusha kumekucha

    Wakuu mgomo wa daladala hapa Arusha ni mkubwa sana, nilitoka katikati ya mji kuelekea, njiro hakuna daaladala. nimetumia taxi na nilipotoka sakina kuingia mjini the situation is worse. Nikasimama sehemu kuwasikiliza machalii wa jiji wanasema wameshazoea mabomu hivyo Zuberi aendelee kumdharau Mungu.
  7. L

    Diwani wa kata ya Mwawaza jimbo la Shinyanga mjini (CCM) afariki dunia

    Rest in Peace Mr Gamba, ila wafe wengi.
  8. L

    Tumekubali kuolewa,kwa nn tuvae pensi ya jinzi?.

    yaani wetu wengine wehu kweli, CCM ndo wanaeneza hizo madudu yote unayoyasema, na tena inasema kwa watu wa vijijini ambao hawajui kitu, Jiulize ni kwa nini ccm huwa inashindwa mjini na kupata kura za vijiji?
  9. L

    Elections 2010 Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM, mbona hawako vitani Igunga?

    Hawa jamaa wanasemekano wanayo damu ya kungunni ndani ya ccm
  10. L

    Sababu za Marrian Girls ya Bagamoyo Kung'aa!.

    wakuu hizo spoon feeding zinawamaliza hao watoto maana nakumbuka miaka kadhaa nilikuwa UDSM campus ya UCLAS wengi wa wale watokao hizo ST fulalni fulani ni hoi balaa.
  11. L

    Former Iganga District Boss Bageya Dies

    issue yenyewe ya Uganda mnaleta hapa kuturusha roho tu.
  12. L

    Ole Millya kuvuliwa uanachama CCM

    yaani hiyo safi sana wanatupa nafasi sisi chadema kazi rahisi ya kulichukua jiji letu milele
  13. L

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Hivi CCM inahitaji vyombo gani zaidi za kuzinadi ina maana Gazeti la Uhuru na Mzalendo hazifanyi kazi? Je TBC1 (muda mwingi hutumiwa kuripoti mambo ya CCM) na yenyewe pia haifanyi kazi? Mbona kipindi kile waliambiwa wajitokeze kwenye Mchakato majimboni walikataa, Je leo hii wataweza? Kwa...
  14. L

    Muswada wa Katiba:CHADEMA KUINGIA MTEGO WA CCM?

    wewe kupeng'e acha upuuzi wako nani bongo lala kati ya ccm na Chadema? CCm inayoongozwa na akina Tambwe Hiza kwa kweli wewe ni Dada Poa
  15. L

    LOWASSA ni tishio

    Lowassa hafai kuiga wala kuwa ndugu Sisi tuliopo huku kanda ya kaskazini tunaomba achaguliwe na ssim hata monduli hawamtaki
Back
Top Bottom