Search results

  1. KANA KANSUNGU UMWELU

    Swali korofishi; Kwanini kasi ya kuichukia CCM inaongezeka?

    alihaadi kuondoa kodi alizoita ,kodi za hovyohovyo lakini hizo TRA,LESENI,USHURU,Vimeongezeka zaidi kwenye utawala huu kwa nini? wajasiliamali wasichukie UTAWALA HUU.uongozi wa kukamuana .watumishi walihaadiwa kufutiwa kodi za hivyo za ovyo hadi leo mtumishi mmoja analipia sh 50,000 hadi...
  2. KANA KANSUNGU UMWELU

    Rais Magufuli: Tuliibiwa sana na janja yao naifahamu, acha ninyooshe nchi kwanza

    KUUNYOOSHA NCHI sio kuwaletea maisha magumu wapiga kura wako,hali hii ingewalenga wabaya sio hata wasio na hatia,wafanya biashara hata wadogo leseni ,mapato,pesa mabenki yote umeweka kinyesi,wafanya kazi wasio na marupurupu waliponea huko,wakulima mwaka huu ukame japo hilo si la uongozi ila ni...
  3. KANA KANSUNGU UMWELU

    Watanzania Wanaoishi Kinyume na Sheria wapewa Siku 5 kuondoka Msumbiji

    wengi wa watanzania walioko msumbiji,south,zambia,malawi ni wale wamekwenda kutafuta aendi na kitu chochote na wengi hufika na kuwamachinga,au huishia vibarua wachache watanzania wanaohamisha miradi yao ya mamilioni kama wahindi kwenda nchi nyingine na ndio maana tunadharaulika nje.niliwahi...
  4. KANA KANSUNGU UMWELU

    kumaliza biashara ya unga hukumu ya kifo kwa wauzaji na watumiaji

    hapo kwenye kunyongwa utasikia wamekamatwa wakina lema,wachangiaji wa jf
  5. KANA KANSUNGU UMWELU

    Waraka: Mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, viongozi wa dini mko wapi?

    kwa kushabikia chama utaona anaongea uchafu,ila sisi tunaoishi tanzania ya leo moto unatuwakia
  6. KANA KANSUNGU UMWELU

    Elimu si kitu. Wenye pesa wengi ni std seven au hakuna darasa kabisa

    hata wewe kama unautaka utajiri nenda bariadi ila masharti najua yatakushinda kuna wale watoto wa fisi aliyezaa na msukule wa kike hiyo ni mali ilete ni kupeleke utajirike faster
  7. KANA KANSUNGU UMWELU

    Diwani wa CHADEMA mbaroni kwa kutafuna fedha za Walemavu

    mwandishi habari hizi ameambiwa akakurupuka kuuza gazeti,hata kama diwani alikuwa anawasilisha penye chuki hapana haki.wanaokura pesa za Tasaf ni wengi nenda vijijini pesa ikitoka wazazi wanashinda wamelewa ulanzi,na watoto shule walisha acha
  8. KANA KANSUNGU UMWELU

    Elimu si kitu. Wenye pesa wengi ni std seven au hakuna darasa kabisa

    mada yake ni nzuri ila ni ya kwenye kahawa,usiijadili kisomi hutampa jibu analolitaka.ndugu vijisenti kwa bariadi sio tajiri kwani mali zake bariadi ni kidogo sana anajulikana kwa ubunge.matajiri wa bariadi pesa wameipata migodini na huko ni ya kubahatisha wengi wanarudi mikono mitupu...
  9. KANA KANSUNGU UMWELU

    Wizara inayotakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa ni Afya

    kote matatizo yapo inchi nenda mahakamani hasa za mwanzo ,makarani wanaajiriwa kwa vigezo gani? wengi ni wale jamaa au ndugu wa mahakimu na darasa la saba.karne hii.
  10. KANA KANSUNGU UMWELU

    Hii ndio aibu itakayomfuta rasmi Lowassa kwenye siasa!

    UPINZANI wa siasa tanzania hupo usipime,wizi wa kura,kuchafua majina ya watu na kuweka wafuasi wa vyama sio njia ya kuumaliza upinzani ambao upo kwenye mioyo ya wapiga kura.
  11. KANA KANSUNGU UMWELU

    Mbowe anyemelewa na TRA mkoa wa Kilimanjaro, Apewa siku 14 kulipa kodi Tsh 13.5m

    kosa la nani mbona wahajawajibishwa TRA waliomlea asilipe ,wakina ANNA Tibaijuka waliojimilikisha hekali 200,000 eneo la hifadhi ya taifa kyamiolwa bukoba,mbona wapo.kumaliza upinzani sio kuwafilisi na kuwafunga wapinzani.fanyeni mema kwa wapiga kura.
  12. KANA KANSUNGU UMWELU

    Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    mnaongea ya zamani nendeni mkoa wa simiyu huko bariadi kata ya gambosi wengi huita gambush mpaka sasa uchawi ulioko pale ,ni balaa mchana kijiji usiku bonge ya city.misukule kama kawa.mashamba makubwa ya mipunga mchana uyaoni,
  13. KANA KANSUNGU UMWELU

    Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

    ya walibya waachie wao,ya wamarekani wanaomlilia obama waache, we lia au cheka na magufuli wako
  14. KANA KANSUNGU UMWELU

    Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

    wazawa tunaona mnavyokula mchakamchaka awamu hii,
  15. KANA KANSUNGU UMWELU

    Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

    angalia namba za gari inawezekana sio tz
Back
Top Bottom