Search results

  1. msocial

    Msaada credit card ya kianzio kidogo

    [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  2. msocial

    Msaada credit card ya kianzio kidogo

    Habarini wadau, naomba msaada ni benki gani inatoa credit card kwa kianzio kidogo mfano TZS50000-200000. niliuliza DTB nikaambiwa laki tano.
  3. msocial

    Prison break season 5 updates

    eztv.ag search prison break, chukua HDTV 250-300MB ni zaidi ya HD, ukimaliza njoo useme Ahsante kaka
  4. msocial

    Part time Job available

    in which number?
  5. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Acha uswahili...kubali kuwa ulichemsha, brand name ni jina ambalo linajulikana kwa watumiaji, generic name inajulikana kwa wafamasia... Gentamycine na Garamycin yote ni generic na brand names at the same time. Punguza uswahili wewe...tatizo ulifikiri nimechapia kuandika stelles Kumbe nimeandika...
  6. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Wanaojitupa wanapanda Kilimanjaro marine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Nimeandika hata za kulipia.... Usikurupuke na stelles zako
  8. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Gentamycine kwa jina jingine inaitwa Garamycin... Acha kujifanya mjanja kwa vitu usivyovijua mkuu utaaibika! Kama vp twende wote beach maana inaonekana na wewe una stelles
  9. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Ahsante sana Mr Garamycin nitaitafuta
  10. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Ahsante sana.... Bora angalau wewe maana wewe wananiongezea stelles tu
  11. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Stelles siyo stress....anyways sikupangii
  12. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Stelles ni neno jipya huoni nimeliwekea fungua na funga semi...
  13. msocial

    Naomba kuelekezwa beach nzuri za Bagamoyo za bure au za kulipia nikapunguze mawazo

    Kichwa cha habari kinajitosheleza....msaada wako tafadhali
  14. msocial

    Tujikumbushe vitabu vya zamani

    Safari ya Bulicheka na mke wake
  15. msocial

    Natafuta old school mwenye huu wimbo

    Library ya radio one?
  16. msocial

    Natafuta old school mwenye huu wimbo

    Wale waliokua miaka ya mwanzoni ya 2000 (2000-2004) kulikuwa na kundi la music la mwanza walikuwa wanajiita BWV (boys with voices) walitoa nyimbo nyingi ila maarufu zilikuwa ni Barabara za mwanza (sijui nimepatia) na mzee kijana. Kama kuna mtu ana nyimbo zao hasa huo wa mzee kijana naomba...
  17. msocial

    Hamorapa sasa kamaliza kila kitu, ngoma yake hii si ya nchi hii

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Back
Top Bottom