Search results

  1. J

    Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Mbona mnawayawaya. Acha wa so I wa kweli waandike vitabu baada ya kufanya research ya kisomi. mbona kuna kitabu kinachomponda cha “Iam the State” mlikuwa mnakisifiankila kukicha na watu waliwaacha. Vumilieni au mkaandike kitabu kingine.
  2. J

    Dkt. Kimei: Watu Walikuwa Wanaogopa Kupeleka Hela Benki Kuhofia Kuchotwa

    Dk Kimei acha kubabaika, wewe eleza ukweli wa mambo ulivyo na elimu yako uliyofundishwa inakiri hivyo, serikali popote pale duniani ina mandate ya ku access account ya mtu au taasisi yeyote for obvious reasons
  3. J

    Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Hatuna wapinzani ni wahuni tu wasaka tonge. Ndiyo maana mambo ya msingi ya kuleta maendeleo kama alivyosimamia Magu walipiga vita na kudanganya wananchi. Sasa hivi wameonjeshwa asali wamebadili mashahiri!
  4. J

    Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    Kwa tunaoijua CHADEMA hatushangai. Sera yao ya siri ya utekaji, mateso na mauaji imedhihirika kwenye matukio mengi. Baada ya matukio wanakimbilia kupiga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Kesi ya Mbowe ilidhihirisha kwamba walitaka kushika madaraka kwa mbinu chafu za mauaji na kuhamasisha vurugu...
  5. J

    Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

    Bado hamjachoka na propaganda za kumchafua marehemu? Kila mkipima mnaona bado anapendwa hivyo kuongesa kasi ya uongo wenu. Eti Rais wa ovyo na mwovu. Kipindi cha Magu ndiyo sheria ziliheshimiwa kupita vipindi vyote! Siyo sheria za barabarani, sheria za kulipa kodi, sheria za kazi nk. Ndiyo...
  6. J

    Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

    Duh, ni wiki 3 zilizopita fundi wangu alinishauri nisiweke kioo aina hii sababu ndege watasumbua sana. Kiukweli sikumwelewa, ila nimeelewa. Asante fundi
  7. J

    Simtank au Kiboko

    Kwa sasa hivi polytank ndiyo wanaongoza baada ya simtank kupunguza thickness, namba 2 ni Simtank, then wengine wanafuatia. Hii ni uzoefu wa mafundi wengi na wafanyakazi wa kampuni zinazouza hayo matank
  8. J

    Rais Samia anadanganywa sana Mapinduzi ya Kilimo ya Bashe

    Nawashangaa wanaomsifia Bashe! Bongo ukijua kupiga domo unateka watu wengi sana! Tuangalie impact ya utendaji wake na siyo longolongo anazopiga! Makosa makubwa 2 aliyochangia, ambayo kwa nchi nyingine angekuwa ameshawajibishwa muda mrefu tu; 1. Kuruhusu mazao kuuzwa njeya nchi kiholela na hivyo...
  9. J

    Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

    Ukiacha Kigogo ambaye naye kipindi hicho alikuwa anatumiwa na chama hiki, dhana hii imebuniwa na kuwa propagated na chama kinachojiita kikuu cha uponzani Tanzania. Mbinu yao ni ile ile, kutumia vijana ambao wengi wao wanajulikana walau kwa nick names kwa njia ya makala na meseji kwenye social...
  10. J

    Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

    Wengine tulieleza sana kuhusu propaganda. Inasikitisha watz wengi hata wasomi ni mateka wa propaganda. Nafuu hata watu wa kawaida walikuwa na msimamo kuliko sehemu kubwa tu ya wasomi
  11. J

    Uko wapi ushahidi wa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli?

    Hawana ushahidi, ila wanatekeleza sera za; 1. Vyama vya upinzani vjsivyo na hoja. Unategemea baada ya Magufuli kuonyesha kwa vitendo kuwa siasa ni kutumikia walio wengi kwa kuleta maendeleo na kutatua kero, na ikafanya wananchi wamchague kwa kishindo kwenye uchaguzi wa awamu ya pili upinzani...
  12. J

    Kwanini Diamond Platnumz️ anatengwa na wadau kwenye ulimwengu wa muziki?

    Wivu tu kwa sababu hawawezi mfikia. Na hili ni tatizo la watanzania wengi; Lakini uzuri kwa baraka za Mungu kawazidi akili na vipaji wengi
  13. J

    Je, kashfa ya mwanasiasa St Peters Oysterbay ndio ilimfanya apotee mazima kuonesha kuna nguvu zaidi ya kibinadamu?

    Project “chafua legacy”, Endeleeni kula ujira japo kiduchu
  14. J

    Majibu ya Dkt. William baada ya Azam kukanusha juisi zao za Azam Embe hazina sumu

    Ebu funguka zaidi utuokoe. Mimi ni mnywaji Heanken, lakini mara nyingi napata wasiwasi kutokana na tofauti ya radha mara mwa mara!
  15. J

    Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

    Kwa wanaoijua CHADEMA inawezekana kabisa ni inside job! CHADEMA mabingwa wa mapichapicha, walijitahidi kuhakikisha picha za tukio hilonhazisambai kinyume na utamaduni wao! Risasi kutoboa upande moja wa gari na yeye kuumizwa upande mwingine. Risasi zitoboe kushoto na muathirika aumie mguu wa...
  16. J

    Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Aaah, unanikumbusha jamaa yangu alikuwa na Guest, baada ya kuibiwa sana akabuni mbinu ya kuwa na mpambe wa siri. Alichofanya alikuwa anatembea na moja wa wahudumu na hivyo kupata info zote. Meneja akabaki na mshahara wake mkubwa lakini akakosa uhuru wa kuiba.
  17. J

    Mwanza: Hotuba ya Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho

    Ukitaka kujua JF ni pro CHADEMA, angalia walivyoruhusu threads nyingi zinazozungumzia kitu kilekile, mkutano wa CHADEMA mwanza!
Back
Top Bottom