Search results

  1. Toosie Slide

    Msaada: Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali

    Kukaa bila kazi Ni changamoto kubwa sana, mwili unahitaji mavazi, tumbo linahitaji chakula, simu iwekwe Salio. Yote haya na mengineyo hayawezi kuja bila pesa, pesa haipatikani bila kufanya kazi. Kwa yeyote yule anayehitaji mtu wa kazi nipo hapa natafuta kazi. Najua kutumia computer, afya yangu...
  2. Toosie Slide

    Hatimae Kitendawili Kimetatuliwa

    Salaam Ni kitendawili Cha picha ambacho wengi walikua wakijiuliza watachomokaje?. Upo juu ya mti umening'inia kwenye tawi, kwenye huo mti Kuna nyoka mwenye sumu Kali anakufata. Chini Kuna mto wenye maji ambapo Kuna mamba. Nchi kavu Kuna Simba. Je, utahishikilia tawi kwa mda gani? Tuangalialie...
  3. Toosie Slide

    Computer4Sale Lenovo X130e inauzwa Kibaha

    Lenovo X130e Bei ni 230,000, (Maongezi yapo, kubadilishana na smartphone accepted) Mawasiliano unaweza kuni DM Location Kibaha
  4. Toosie Slide

    Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

    Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation. Nyingine kali nilizozicheki ni: Sing Frozen 1&2 Tangled ever after...
  5. Toosie Slide

    Kunyanyaswa kisaikolojia

    Salaam, Naomba tuzungumzie hili suala mana inawezekana wengi wanateseka lakini hawajui. Kwa watu wenye uelewa juu ya hili ni vizuri kutueleza. Karibuni.
  6. Toosie Slide

    Haya mapenzi jamani haya

    Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa! Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa Mapenzi ni maumivu makali Mapenzi ni furaha...
  7. Toosie Slide

    Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

    Manipulated Man by Esther Vilar Polygamous by Esther Vilar The Dating Wizard Secrets to Success with Women. Kwa walio oa ni vizuri mkajua kwa nini wanawake wanachepuka kwa kusoma The Dating Wizard Nitagusia baadhi ya maeneo ya ivyo vitabu alafu tutaangalia kama yanayosemwa yana ukweli ndani...
  8. Toosie Slide

    Kikao cha mabachela

    Nawasilisha kama tulivyokubaliana kwenye azimio la hivi karibuni kwamba uvunguni mwa kitanda ndo stoo. Pia sheria za kufanya usafi ni mpaka pawe na appointment, kuosha vyombo siku ya kupika n.k hizo sheria zimebaki vilevile. ..........
  9. Toosie Slide

    ApexTv na Noah

    Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
  10. Toosie Slide

    Je, mwanaume huwa anakosea?

    Habari za wakati huu. Kutokana na kichwa cha habari kinavyojieleza, na haya ni maoni yangu... Kikawaida imezoeleka kwamba katika jamii tumejengewa dhana potofu kuwa kila binadamu anakosea. Hii inafanya wakati mwingine mtu aogope kufanya jambo akihofia kukosea, maana anafikiria kama akikosea...
Back
Top Bottom