Search results

  1. B Prosper

    Mabati ya dragon

    Habari wakuu, aliyewahi kununua mabati ya dragon vipi yapo vizuri? Nataka niende huko
  2. B Prosper

    Naomba kujuzwa bei ya bati za ALAF

    Wakuu nipo hatua ya kupaua, katika kuzunguka huko na huko kujua bati bora watu wengi wanasema ALAF, ALAF, ALAF yaani ni ALAF tu, wachache wamesema DRAGON, Dragoni baada ya kuwauliza bei yao ni 12000/ kwa mita migongo mipana 30g. Sasa nimeshindwa kuwapata watoa huduma wa huko ALAF ili nijue bei...
  3. B Prosper

    Tolori yenye kichwa kigumu

    Wanajukwaa heshima kwenu. Katika pilikapilika za kujiajiri kuna kipengele nimekwama, nahitaji tolori bora kwa ajiri ya kubebea zege, je ni wapi naweza kupata tolori imara? Maana kuna moja nilinunuaga lakini nilitumia muda mfupi na taili likamung'unyuka kama ugali wa muhogo. Msaada wenu wakuu
  4. B Prosper

    Je bidhaa hizi zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wakuu nawasalimu nyote. Ninahitaji kuvunja mawe ni (makubwa kiasi) sasa kutokana na uwepo wa nyumba karibu na hayo mawe sitaki kutumia vilipuzi ili kuepusha madhara. Basi katikati pitapita za huko mitandaoni nimeona kuwa kuna chemicals ambazo zinauwezo wa kuvunja miamba pasipo na makelele wala...
  5. B Prosper

    Je huu ni ugonjwa gani tena?

    Wiki kadhaa zilizopita baadhi ya washkaji zangu niliweza kuwasikia wakisema wamepoteza sana uwezo wa kunusa pamoja na kukosa ladha ya chakula, japo wachache wao walikuwa na mafua siku za nyuma lakini walishapona but still tatizo lipo palepale Kimbembe kikaanza kwangu, siku tano hivi zimepita...
  6. B Prosper

    #COVID19 Mbona sioni watu wakipimwa kwanza ili kubaini kama wameathirika au la kabla ya kupewa chanjo ya Covid-19?

    JF Doctors, heshima kwenu. Katika pitapita zangu niliweza kujifunza kuwa chanjo/ vaccine hutolewa kwa mtu ambaye ni negative yaan mtu ambaye bado hajaathiriwa na ugonjwa husika. Nikiwa na maana kwamba kama mtu ni mgonjwa basi chanjo siyo muhimu kwake badala yake atapewa dawa za kuutibu ugonjwa...
  7. B Prosper

    Usimkopeshe hela mtu

    Naandika haya nikiwa na machungu sana, Siku hizi uaminifu umepotea sana tena ni adimu kama cent 5 hasa kwenye suala la pesa. Mwaka jana nilikopesha sana watu na asilimia kubwa ni hawa "marafiki na workmates" siyo kwamba ninafedha hapana, hapa nilipo hata uwanja tu sina. Mtu anakuja anakueleza...
  8. B Prosper

    Wimbo wa Rose mahenge - aniongoza popote, nauhitaji

    Bwana Yesu asifiwe sana wapendwa, Heri ya mwaka mpyaaaaa. Kabla ya yote napenda nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima. Mada tajwa yahusika, naombeni sana ndugu zangu mwenye huo wimbo anisaidie nimejaribu kugoogle siupati. Mungu akubariki sana kwa mchango wako. ==>Anza mwaka na Bwana<==
  9. B Prosper

    Msaada: Nitaombaje ajira kada ya afya ikiwa vyeti havijatolewa na NACTE toka 2015?

    Natumaini kuwa wote ni wazima wa afya njema, Jina la BWANA lizidi kuhimidiwa daima. Mimi ni mhitimu wa kada ya afya mwaka 2015 katika chuo fulani, jana nimeona MOH wametoa nafasi za ajira, ili watu waweze kufanya maombi. Kitu ambacho kimenifanya leo nisipate kabisa usingizi ni kwamba, hadi leo...
  10. B Prosper

    Vyeti vya Mafundi sanifu wa maabara NTA level 5 & 6

    Habari wanajukwaa!! Hope nyote mko poa, ujio wangu ndani ya jukwaa usiku huu ni kuuliza kama kuna mwenye ufahamu kuhusu vyeti vya certificate na diploma kwa kada tajwa hapo juu kwa mwaka 2015/2016, je kuna tatizo gani mbona hadi leo hii vyeti havijatolewa??? Mwenye ufahamu anaweza kunijuza...
  11. B Prosper

    Mwenye hili beat anisaidie tafadhali

    Habari zenu waungwana! Mada tajwa hapo juu yahusika. Ni kitambo sana natafuta hii Instrumental ya my heart will go on, wimbo ambao umeimbwa na cecil dion. Ni beat ambayo inasikika sana kwenye kipindi cha USHAURI WAKO kutoka RFA. Kwahiyo mwenye nayo anisaidie tafadhali waungwana.
  12. B Prosper

    Ajira za walimu wa arts zilizositishwa ni kwa secondary tu au hadi primary??

    Heshima kwenu wadau! Naomba mnijuze hivi hizo ajira za walimu wa arts ambazo zimesitishwa ni kwa walimu tu wa sekondari? Au na primary nako kumejaa?? Nitashukuru kwa mchango wa mawazo
Back
Top Bottom