Search results

  1. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mhindi huwa akoseagi [/ATTACH]
  2. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Just imagine kati ya game 13 za jackpot 7 zimetoa draw. Hii kazi ni uchawi, mwaka unaenda kuisha sasa tangu jackpot ya game 13 iwekwe
  3. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Just imagine kati ya game 13 za jackpot 7 zimetoa draw. Hii kazi ni uchawi, mwaka unaenda kuisha sasa tangu jackpot ya game 13 ipate mshindi
  4. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona zote naona ni win tu, au lost anaziondoa kwa channel
  5. B Prosper

    Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Mwezi ujao twende shambani ukanisaidie kuvuna mahindi
  6. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakamalia ule mchele wenye virutubisho uliotoka USA, tupewe sisi.
  7. B Prosper

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Kwani imewahi kutokea mzungu akampenda mtu mweusi??? Tukienda huko kwao wanatuita nyani na kutunyanyapaa kila kona. BTW mzungu anatafuta kila namna kumpoteza mtu mweusi kwenye uso wa dunia. Tunalindwa na Mungu tu
  8. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet haifunguki wakuu
  9. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niliomba corner 7 ft imetoa
  10. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Barcelona hawapigi kona kabisa, nyau nyie
  11. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu tusiache kubet, hela ya mhindi tamu sana
  12. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huwezi kuzikuta, na ukitaka kubet kwenye hayo makampuni ni hadi uwe na mastercard au visa card, majuzi nilifanya mchakato nikapata visa card ya mpesa, then nikiwa kwenye mchakato wa kudeposit kwenye account nikakutana na kimbembe kwenye ku-verify ID card nilisota siku nzima sikufanikiwa hadi...
  13. B Prosper

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi odd ndogondogo zinachana sana mikeka
Back
Top Bottom