Search results

  1. mtongwe

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Huu uzi nao umezalisha kipanya wake km ule uzi wa ukraine na almighty Rusia
  2. mtongwe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Daah ... umenikumbusha Shule yangu late 70
  3. mtongwe

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Taboa Ni chama.cha wamiliki wa vyombo vya usafiri........sijaona chombo cha kutetea wasafiri
  4. mtongwe

    Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Wakati wenzetu wana chama.cha wamilikI wa mabasi Ila serikali inaona Sawa tuu kwasababu zao za kujilinda kisiasa kwa abiria kukosa chama.cha kuwatetea
  5. mtongwe

    Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Huyo kimahesabu atakuwa hajitambui......kuistall gas gharama yake ni Sawa na kununua mafuta ya Miaka mitatu kwa gari ya ujazo huo wa engine
  6. mtongwe

    Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Ni ndogo Sana Hivyo inaweza kukosa wateja kwa wingi
  7. mtongwe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Atakuwa ameingia kwenye kundi la waliowahi kuchezea Liverpool wakiwa na umri mdogo Zaidi Yeye akiwa na umri wa Miaka 16 ma siku 243 akimzidi umri Elliot wakati akianza kuchezea timu kubwa......... Ni germ nyingine kikosini
  8. mtongwe

    HAMAS wakiri kupoteza magaidi 6,000

    Ni mambo ya kusikitisha.....yaani leo hii wale Idf mpaka wasaidiwe na USA kwenye kupambana na wanamgambo !!!?? Kumbe ni kweli uongo(propaganda)huwa una mwisho wake
  9. mtongwe

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ni fedheha sana na ni vitu tulivyokuwa hatuamini kama vitatokea kutokana na propaganda zao
  10. mtongwe

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kahamia kwenye mgogoro wa mashariki akiwa mnazi wa IDF
  11. mtongwe

    Rest In Peace Frakrudin Amijee

    Inna lillah wainna ilaih rajiuun
  12. mtongwe

    Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

    Unajisahaulisha...........turudi kwenye kawaida au ligi yetu ya kugawana pande Ulikuwa kwa wanyonge wa ukraineSie tukawa kwa Mtemi rusia Ukahamia kwa wababe Israel Sie tukawa kwa wanyonge wa hamas Sasa mzunguko Ni Ule Ule anza kuwatetea wanyonge na Sie tutachagua wa kuwatetea Hakuna...
  13. mtongwe

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Hatuna wafadhili ...........tunafanya Vyema na Ndo Maana tunakuwa kiidadi na kiushawishI wa kiimani ndani ya jamii iliyostaarabika hapa ulimwenguni
  14. mtongwe

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Umeandika kutokana na muono hasi na Si kwamba UnaHakika na ulichoandika Kumbe Ni makanisa ya sasa Ndo wanajenga kwa pesa zao!!Ila tambua kuwa toka kale misikiti inajengwa na waumini wenyewe na Ndo Maana huwezi kuta Kuna msikiti wa fulani na fulani Ila huko makanisani Kuna...
  15. mtongwe

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Hakuna asilani muislamu anaelala na kushinda msikitini .....waumini wa namna hiyo wapo kwenye Haya makanisa yenu ya uokovu
Back
Top Bottom