Search results

  1. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Wakuu mpaka muda naandika thread hii nimejikuta najiuliza kinachonisibu kwa sasa. Kwanza kabisa neno Ghosting :Ni ile hali ya kukatiza ghafla mawasiliano na mtu bila taarifa wala kumuandaa huyo mtu kisaikolojia. Tuendele... Mimi nimekuwa na mahusiano na wanawake ila najikuta nawa-ghost kiasi...
  2. fundinaizer

    Je, Panama ni nchi ya kificho kwa mafia na makundi hatari duniani?

    Niweke wazi mimi si mwandishi mzuri wa mada lakini napenda kujifunza pia. Kuna mambo mengi yanahusisha hii nchi ikiwemo: 1.Meli nyingi zenye mizigo haramu husafiri bila document na zinakuwa salama endapo zitapeperusha bendera ya nchi hiyo. 2.Kuna issue hii ya nyaraka za siri za kifisadi...
  3. fundinaizer

    Anayejua chimbo la hizi bidhaa kwa Dodoma

    Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
  4. fundinaizer

    Utaratibu ukoje kuhusu hili la kufanya mtihani wa QT?

    Habari wakuu, Napenda kuuliza wadau wa elimu humu kwamba inawezekana mtu kurudia upya kufanya mtihani wa QT? Kwa maana kwamba tayari alishafanya QT mwaka 2015 na akafaulu target yake ilikua afanye mtihani wa kidato cha nne. Sasa ikatokea hakufanya huo mtihani wa kidato cha nne ndani ya...
  5. fundinaizer

    Walioshuhudia ziara ya Rais Obama Tanzania 2013

    Wadau wa Dar es Salaam mtakuwa mnakumbuka purukushani na shughuli mbalimbali katika maandalizi ya ujio rasmi wa aliyekua Rais wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle. Unakumbuka matukio gani yalifanywa na serikali yetu pendwa ya Tanzania ukiwa ndani ya Dar na viunga vyake? Inasemekana DSM...
  6. fundinaizer

    Msaada: Wapi naweza pata hizi cable kwa Dodoma?

    Habari wakuu! naomba mwenye kujua hizi cable zinauzwa wapi mji wa Dodoma pia duka lipi kama ataweza nipa uelekeo . Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa unajua) ili nijipange. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. fundinaizer

    Je, hao watu watakupenda?

    Siku ya jana Baba yetu wa kambo kaamua kufuta safari zetu za kuwasalimu watu wenye shida, uhitaji na hata wasio na sehemu ya kusemea, kamtuma mjomba ahakikishe ninaondolewa katika ratiba hiyo muhimu ya na kuwafanya watu watesekao waendelee kuumia kisa yeye ni baba yangu wa kambo. Amesahau kuwa...
  8. fundinaizer

    Jason Bourne

    Katika filamu chache za kijasusi nilizotazama nimeona mfululizo wa filamu ya Jason Bourne ni bora zaidi, wadau wa movie za kijasusi kuna movie kali yenye mfanano na huu mfululizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. fundinaizer

    Anguko la watetezi laja

    Tumeshuhudia baadhi ya wadau kutoka mitandao ya kijamii mfano Jamii forums waliokuwa wakipigana kufa na kupona kuitetea serikali ya awamu ya tano wakianza kutundika daluga. Watetezi hao waliojinasibu kuwa ni Kijani lialia huwaambii kitu kuhusu bwana yule na serikali yake sasa akili zimeanza...
  10. fundinaizer

    Mwenye kufahamu hizi packages

    Wakuu habari, ningependa kufahamishwa sehemu ambapo hizi packages (cups) za juice na hiyo ya hot chocolate zinapatikana ikiwezekana na bei zake N.B: (zilizo tupu kwa ajili ya biashara /brand yangu). Naombeni ushirikiano tafadhali.!.
  11. fundinaizer

    Ijue gari yenye cc kubwa iliyozinduliwa juzi Dubai

    Gari hii ina Horse power (hp) 5000 ambayo ni sawa na CC 162500, Maximum speed 300kmph Video-->
  12. fundinaizer

    Clouds Media ni kiboko ya jiji, pita uone hapa

    Hizi kauli/matendo siku za usoni zinamaanisha nini? ,Hatuwahi zisikia miaka ya nyuma..au ndo maboresho na ubunifu wa utangazaji na vipindi? 1.kuanzia jana tarehe 14 mpaka siku ya Maadhimisho ya Fiesta ni kwaya na nyimbo za nyumbani (wazawa) 2.Saa moja kamili asubuhi- Wimbo wa taifa 3.Kataa kua...
  13. fundinaizer

    Hatma ya maisha baada ya tukio hili

    Wahenga walisema mficha uchi hazai. Mie ni kijana wa mwaka wa kwanza niliepata nafasi ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika chuo flani kikubwa hapa jijini DSM, Sina muda mrefu tangu nikamilishe usajili/bado mgeni. Kutokana na ukarimu na kupenda kucheka na watu nilifanikiwa kufahamika na...
  14. fundinaizer

    Mhe Temba alikuwa JWTZ au JKT?

    Wakuu jana ilikua ni siku ya kizaliwa ya msanii kutoka kundi lililofahamika kama TMK 'Amani Temba' maarufu kama Mh Temba,katika kuufahamisha umma kuhusu siku yake hiyo pendwa alisikika kwenye redio kubwa hapa nchini akisema kwamba "hata nikiwa jeshini nilipenda muziki". Ningependa kufahamu je...
  15. fundinaizer

    Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

    Habari zenu wakuu, Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu bahati yangu
  16. fundinaizer

    Kama unavipaji hivi pita hapa

    Je unakipaji?, Wewe ni dancer, Comedian, Mwanamziki chipukizi au mpenda burudani lakini huna mashabiki yaani fan base itakayokufanya uoneshe kipaji na kuwa maarufu.! Basi ndo muda muafaka umefika,karibu katika kampeni ya kukuza na kuthamini kipaji chako kupitia Bongo Pixels Youtube channel...
  17. fundinaizer

    Msaada: shambulio la malware.

    Habari zenu wakuu,muda si mrefu nilikua mtandaoni natafuta video editing software (Hitfilm) kwa kutumia laptop,kwa kua nilitype tu google kupata version ya software hiyo nimejikuta nafungua link ambayo nimedownload zip, katika installation Nimeona pc imeleta notification kuwa malware...
  18. fundinaizer

    Nafasi za kazi

    Habari wana jamvi, kama una taaluma ya IT au fani inayolingana na kazi za computer, basi kuna nafasi za ajira zimetangazwa na unaweza zicheki hapa. PROGRAM OFFICER-RESOURCE MOBILIZATION 1.The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC) is an umbrella body of press clubs, which are journalists...
  19. fundinaizer

    msaada:je ni tool/app gani imetumika hapa

    Habari wana-Jf? naomba msaada wa kufahamishwa juu ya picha hii kuwa ime_dizainiwa kwa tool Ipi (kama inaweza kuwa katika PC)? au application Ipi (katika smartphone)?
Back
Top Bottom