Search results

  1. fundinaizer

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Halafu wanajamba jamba uwanjani ..shit
  2. fundinaizer

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Kuna nchi inaitwa Japan .. we kama ni livivu usijaribu enda kuishi
  3. fundinaizer

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Ye is my best Artist ever
  4. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Wakuu nashukuru kwa maoni yenu.. nchi za wenzetu wanakuwa na therapist wanao deal na ishu za kijamii haya na mengineyo ...matukio mengi nchini huwa yanapelekewa na watu kukata tamaa na kuwa tayari kupoteza chochote baada ya kupitia historia fulani. Jf members nyie ni familia nimejifunza mengi...
  5. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Upo sahihi mkuu....! Kumuelewa mwanamke ni kama ku-code C++ bila idea yoyote
  6. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Mkuu wewe ni play boy... mimi sihitaji kuletewa ujuaji ni basi tu inatokea kumkatia waya mazima.
  7. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Shukrani mkuu umeongea point nyingi sana.na umepita mulemule niko najifunza vingi kuondokana na hii hali then kila kitu kitakuwa sawa.
  8. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Asanteni kwa maoni yenu wakuu... naamini nimepata wadau wenye hali kama hii ..sio kama nilianzisha uzi kwa ajili ya mzaha ila hii hali wengi tunayo na inaleta lawama sana... nategemea maoni yaliyotolewa na wadau humu tuendelee kuyafanyia kazi.
  9. fundinaizer

    Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

    Msaliti sio?? Unafikiri Dayneris angemuacha Jon hai ikiwa tayari anajua he is true heir to the throne we hukusikia Dany alivyosema kwa Dothrak na unsullied kuwa ushindi wa kuiangusha Kingslanding haujaishia hapo bali utaendelea Westeros yote mpaka Winterfel jamaa akajua hapo sasa anaendwa...
  10. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Mzee wa kupambania nakuelewa mkuu .. ila mimi single maza nishatemana nae ila kuna kitu nimeanzishia uzi ndio mada iliyopo. Nimechukua busara zako sitagusa Single mom ila nitatafuta tiba ya kupuuzia raia wengine bila sababu ya msingi.
  11. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Daah mkuu wangu we acha tu huyo nimesha sahau ila nahisi hii shida mpya juzi hapa nimemchunia mtu ghafla kalalamika ..nikawa nasema hata nikimjibu nahis haitakuwa katika hali ya kuendelea maana wengine hivyo hivyo imetokea nakatisha uhusiano bil kuwaambia nini sababu. Nikaamua kupata udadisi ila...
  12. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Sijataka kujua kilichojili baina yake na jamaa yake baada ya kujua mawasiliano yao ya kina..ila ninachojua yule Ke aliweza kuwa mwanamke wa tofauti ..ujue mkuu baadhi ya KE kitu kitu anachiweza ofa kwa ME ni sex but yeye alikuwa anakuofa peace of mind .. ucheshi , ukikwama kimawazo atakushauri...
  13. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Hao ndugu nawamudu vizuri mkuu, ukitoa mshua na bimkubwa hao wengine hawawezi niendesha.
  14. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Mkuu sijawekeza akili ..ni baada ya breakup naye ndo hali ambayo ni lengo la uzi ilinitokea.
  15. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Humu kuna watu wanajikaushaga ila wanateswa na Single mother.
  16. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Umejibu kitaalam zaidi mkuu naungana na ww yule mtu imeniwia ugumu kumsahau ( sio kwenye mambo ya bed) bali alikuwa kama soul mate yani kila nachokiwaza alikuwa kama yupo kichwani..smart na zaidi ya rafiki ila duh . Naungana na ww bora nitulie kwanza! Shukrani
  17. fundinaizer

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    Hapo kwenye kutosheka /kushiba hapana mkuu nimerudia mara nyingi kwenye uzi nakua namhitaji kihisia lakini ndo najikuta ghafla naacha kuchekiana naye na asipokuja /kuweka ukaribu kwenye hiyo hali ndo basi tena hivyo.. Nimeupokea ushauri wako mkuu
Back
Top Bottom