Search results

  1. ngalikikinakiki

    Ukiwa juu, ishi ukijua huwezi kuwa juu milele

    MARA nyingi kibinadamu ukiwa maarufu unajisahau kuwa unaweza kurudi na kuwa mtu wa kawaida. Hakuna garantii na Mungu kuwa utakuwa maarufu mpaka kufa. Ukikumbuka hili, utaanza kutayarisha maisha ya baadae na kuishi vizuri hata pale umaarufu utakapokwisha. Chukua kalamu anza kuulizia waliokuwa...
  2. ngalikikinakiki

    Poleni wasanii mnaoshabikia kulipwa redioni

    Hii inachekesha, kila kitu tunaiga nje, inapokuja swala la kulipa, ghafla linaonekana haliwezekani
  3. ngalikikinakiki

    Burudani kedekede

    BURUDANI KEDEKEDE KATIKA KIJIWE KIPYA HAPA MUZIKI, VICHEKESHO, PICHA:cool2:
  4. ngalikikinakiki

    Wasanii Bongo ni mzigo kwenye social networks

    kama msanii niliwahi kujaribu kupost mambo humu ndani niliambulia matusi, hii ndio post yangu ya kwanza kwa miaka miwili
  5. ngalikikinakiki

    Steven Kajumulo

    huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  6. ngalikikinakiki

    Kanumba: Hollywood Nao Walonga!

    kwa taarifa tu prince richard aliyejiita hollywood executive ni mghana ambaye alikuwa meneja wa kanumba. Kwenye fb anijiita prince akiem, sijajua kwanini aidha alijiita hollywood executive au magazeti yaliamua kumuita hollywood executive
  7. ngalikikinakiki

    Tujikumbuke Bendi zetu za muziki wa dansi enzi hizo.

    Kyauri Voice.....katakata vumbinyuma...mwendo wa jongoo
  8. ngalikikinakiki

    Tujikumbuke Bendi zetu za muziki wa dansi enzi hizo.

    Morogoro kulikuwepo na Morogoro Jazz band, Cuban Marimba,Kilombelo Jazz, Sukari Jazz, Kiosa Jazz, Mahenge Jazz, Butiama Jazz, Kwiro Jazz................
  9. ngalikikinakiki

    Tujikumbuke Bendi zetu za muziki wa dansi enzi hizo.

    Mtindo ulikuwa Sensera si Sensema
  10. ngalikikinakiki

    Tujikumbuke Bendi zetu za muziki wa dansi enzi hizo.

    Polisi mtindo wao ulikuwa Vangavanga, Super Mnyanyuo ulikuwa mtindo wa Magereza jazz Band
  11. ngalikikinakiki

    Wema afanya shopping ya dollar 40,000

    Katika nchi ambayo TRA na Forodha wanafanyakazi vizuri, mtu kama huyu anatakiwa aonyeshe Kodi ya mapato yaliyompatia faida ya fedha yote hiyo kiasi anaifanyia shopping ya starehe, pia wakatia akiingia nchini forodha wangemsubiri alipie ushuru wa forodha wa mizigo hiyo, halafu aendelee na maisha yake
  12. ngalikikinakiki

    Bongo Star Seach Winners Where are they NOW?

    Leah Muddy anendesha bendi inaitwa Q Band, Msechu kazi zake zinaonekana, na hata Baby Madaha keshafanya shughuli nyingi za kisanii. Ukiamua kufanya utafiti badala ya umbeya utakuta asilimia kubwa wako kwenye sanaa kwa namna moja au nyingine.
  13. ngalikikinakiki

    Nyie ITV ZOMBOKO muwongo

    Jamani ITV huyo Zomboko ni muongo sana. Karibu kila kitu anachoongea kwenye hiki kipindi hawavumi lakini wamo anaongea uwongo mtupu. Wimbo Jamaica Farewell ni Tradional song ya Jamaica na Harry Belafonte alikulia huko, hii hadithi kuwa alimkuta mtu anamwimbia mpenzi wake akauomba ni UWONGO. Pia...
  14. ngalikikinakiki

    Kilimusic Awards Joke

    Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha kwamba hatimae muziki unakuja sikika kwa watu si kwa kuwa ndio the best uliorekodiwa bali kwa kuwa...
  15. ngalikikinakiki

    Kilimusic Awards Joke

    Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha kwamba hatimae muziki unakuja sikika kwa watu si kwa kuwa ndio the best uliorekodiwa bali kwa kuwa...
  16. ngalikikinakiki

    Msanii wa bongo flavor timbulo anacopy nyimbo za x-maleya wasanii wa camroon

    Kipaji cha wizi. kuongea kuwa anamawasiliano ndio kutoa ushahidi. Thief kwisha kazi
  17. ngalikikinakiki

    Mary Nagu: The most incompetent cabinet Minister

    HUYU NDIYE ALIYEIUWA COSOTA, KWA KUGOMA KUPITISHA BODI YA COSOTA KUANZAIA 2007 MPAKA 2009(HATA BAADA YA KUKUMBUSHWA KATIKA BUNGE LA BAJETI 2008 NA 2009 NA MHE.MLATA), NA HATA ALIPOPITISHA BODI HIYO ILIKUWA NA WAJUMBE AMBAO HAWAKUCHAGULIWA NA WANACHAMA KWENYE MKUTANO MKUU WA COSOTA 2007, KWA...
  18. ngalikikinakiki

    Franco Luambo Makiadi

    PATA STORI YA MAISHA YA FRANCO HAPA KWENYE KIJIWE CHA KITIME
  19. ngalikikinakiki

    Miziki inayochezwa redioni kwetu tanzania

    Tatizo hapo ni malezi wamelelewa vibaya, wazazi wao hawakuona tabu kutaja sehemu za siri mbele yao, na pengine hata kutembea bila nguo mbele yao kwa hiyo kwao wanaona hilo ni jambo la kawaida tu, tusiwalaumu wao tuwalaumu wazazi wao. Sasa mtu ambae ana ndugu yake shoga au yeye mwenyewe shoga...
Back
Top Bottom