Search results

  1. ABiClever Junior

    Uchaguzi 2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

    Kinacho niuma mm simu yangu mwenyewe nashindwa ingia instagram😅😆 tutaisoma namba
  2. ABiClever Junior

    JINSI YA KUSOMA HADITHI KWA HARAKA

    Si Tembelea blog yetu CLEVER WEB TZ sikatai kuweka hapa ila je tuta faidika na nini na muda tunao tumia kuandika? ndio maana sikutaka kutoza mtu hela bali tumeamua kutengeneza blog ili watu wasome bure lakin nasisi tufaidike kupitia ads Asante endelea kutembelea blog yetu siku zote tuna kuahid...
  3. ABiClever Junior

    JINSI YA KUSOMA HADITHI KWA HARAKA

    Kwa hadithi nzuri na za kuelimisha tembelea CLEVER WEB TZ au DOWNLOAD APP Cleverwebtz
  4. ABiClever Junior

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    DEVICE NAME: E303 HARDWARE VERSION: CH1E3531SM FIRMWARE VERSION: 21.318.25.00.787 SOFTWARE VERSION: 23.015.02.01.787 EMEI: 862565029588745
  5. ABiClever Junior

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    huawei E303 mkuu na nimejaribu kudownload firmware tofauti niki run naambiwa dashboard or update wizard running, quit it and try again
  6. ABiClever Junior

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    muda huu nimejaribu ku update firmware ya airtel ila inaniambia dashboard or update wizard is running, quit it and try again.
  7. ABiClever Junior

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Nimehangaika vya kutosha nina kazi ya kudownload kila aina ya firmware na ku update bila ya mafanikio naomba msaada jaman nipeni njia ya usahihi....nimepitia post mbali mbali lakin haikusaidia ...
  8. ABiClever Junior

    Milele na milele sitokaa tena nije kucheza draft wala kuliangalia

    Kumbe Rufiji mm nimepewa mke kwa wadigo ambao wanalijua draft
  9. ABiClever Junior

    Mimi huwa nahisi kifo ni kama usingizi tu ila hapo hauamki

    Huwezi Amin Siri ya maiti pia aijuae maiti hivyo hujui kuwa maiti anajua Siri ya kufa au hajui
  10. ABiClever Junior

    Mimi huwa nahisi kifo ni kama usingizi tu ila hapo hauamki

    inabidi niwaze tena nitarud na mrejesho
  11. ABiClever Junior

    Mimi huwa nahisi kifo ni kama usingizi tu ila hapo hauamki

    Umeona ni pumba na Hapo hujaziacha Bali umezidokoa hivyo wew ni kuku
  12. ABiClever Junior

    Best of the best

    Nimeisahau ile ya Arnold Commando tulikuwa tunaita arnold kigogo au Arnold ya jenii alaf pia Kuna deadly prey ambayo iliitwa komando kipensi
Back
Top Bottom