Search results

  1. Mndali ndanyelakakomu

    Mgomo wa daladala Mbeya

    Habari Muda huu mbeya mjini hakuna daladala inayo tembea barabarani Route za kuanzia igawilo stand mkuu na mbalizi mwanjelwa Wahusika wafanye haraka kutatua hili maana wananchi wanateseka Nauli imepanda Mara mbili zaidi
  2. Mndali ndanyelakakomu

    Jinsi nilvyoweza anza biashara yangu na kuaacha kazi

    habar Hii ni ya kweli nitaondoa baadhi ya vitu ili iwe fupi kidogo Mwaka 2005 niliajiliwa kampuni X kama kibarua mwaka 2007 niacha kazi kampuni X na kuenda kampuni N Hii yote nikutafuta maslahi bora lakini nilipata matokeo tofauti na matarajio yangu Mwaka 2009 niliamua kutafuta njia ya...
  3. Mndali ndanyelakakomu

    Kwa wale wanao tumia barabara ya tunduma mbeya

    Kuna gari imeziba barabara maeneo ya mpakani mwa mkoa wa songwe na mbeya
Back
Top Bottom