Search results

  1. J

    Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

    Inawezekana awali aliridhia mkopo uchukuliwe ili kuimarisha ndoa shida imekuja kwenye majeresho.
  2. J

    Kuna pombe nyingine ukishika mkononi mbele ya watu zinaeleza ulivyo

    Je kama anaishi kwa shemeji yake kuna free WiFi
  3. J

    Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) yatahadharisha ujio wa mvua kubwa kwa siku tano kwa mikoa ya pwani

    Kuna mtu aliwahi kufanya utafiti na akaja na majawabu ya maswali y majibu yake kwamba wanawake wapo katika uwezo mkubwa wa kupata mimba kuliko wanaume endapo watajihusisha na masuala ya ngono
  4. J

    Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

    Kwani yeye January Makamba anasemaje kuhusu hizo pongezi za Spika?
  5. J

    DC Gondwe aagiza Wanafunzi watatu wafukuzwe Shule kwa kujihusisha na vitendo viovu

    Gondwe naona anapotea njia, sheria to a elimu inaeleza vizuri tu makosa yatakayosababisha moto kufukuza shule na taratibu gani zifuatwe.
  6. J

    Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Mkuu umenikumbusha juzi kuna dogo kaja kwenye duka langu la dawa akaniambia yeye ni famasisti anatafuta kazi ila mshahara lazima uwe 1m na atakuwa anakaaa mara mbili tu kwa wiki. Nikamuuliza mbona gharama iko juu akasema ndio walivyokubaliana chuoni kwamba mtu asikubali chini ya hapo. Nikambia...
  7. J

    Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

    Mtumie huu ujumbe atakuelewa vizuri mkuu
  8. J

    Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Kwanza ni sehemu salama, hakuna CCTV camera, gharama ni nafuu kwani hulipii chumba cha hotel( sio guest house ieleweke) hutapigwa mzinga wa pombe kwenye gari hakuna pombe wala chips au nyama choma. Utapiga bao moja tu then mnasepa hivyo hutachoka sana na uwezekano wa kupata michubuko ni kidogo(...
  9. J

    Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

    Passport hii mbona haitumiki tena, alikuwa anaitumia kivipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Nilikupenda sana lakini tabia zako hizi, Mmh!

    Mbona tunajua yeye ndio kakupiga chini baada ya kumpata yule pedeshee wa Noah? Unazuga hapa kwamba weee ndio ulimtema tufunguke zaidi mkuu?
  11. J

    Aliyeshinda huu uraibu anijuze...

    Watu wanakula mama mkwe unashangaa shemeji??? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Kama huyu jamaa namfahamu alikuwa mkurigenzi kwenye taasisi fulani hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Utafiti: Karibia kila mwanaume ana kovu kidole cha shahada cha mkono wa kushoto

    Inategemea kwa watoto wa kishua hawana, ila kama ulikulia maisha haya ya kawaida ya Kitanzania kuwa na hilo kovu inawezekana sana( Fretel, 2020) Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

    Atakuwa analengo wa kujifunza mieleka huyo itabidi mzee baba uwe makini akikua tu wee ndio utakuwa uwanja wa.mazoezi yaaani huyo ni John Sinna wa bongo kabisa[emoji33][emoji33][emoji33] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    Kumfikisha mwanamke kileleni si mchezo

    Hayo yote ni mbwembwe tu mwanamke ukitaka afike kileleni mpe hela hakikisha unampa hela yaani hela hapo atafika kileleni hadi kutukana jamaa alimpiga mashine jana kabla wewe hujaja kutumbukiza kibamia chako yaani mpe hela mkuu sio vijihela ni mahela makamanda utaona jinsi atakavyokuwa anafika...
Back
Top Bottom