Search results

  1. denoo49

    Siku Mh. Lissu atakaporudi Tanzania

    Hakika nawaambieni, siku Mh. Lissu atakayorudi "nyumbani" kuna wananchi machozi yatawatoka kwa maumivu na uchungu. Na pia siku atakayo ingia bungeni kuna wabunge watalia. Ila amini nawaambieni machozi na vilio hivyo kamwe havitoenda na maji. (nukta) CHOZI LA MWENYE HAKI.
  2. denoo49

    Mtego wa Rais kwa CAG

    Leo katika kufatilia taarifa ya habari katika kituo kimoja cha television hapa nyumbani, imeonesha Mkaguzi Mkuu wa hesabu wa Serikali amekabidhi ripoti yake kwa Mh. Rais ikulu. Katika makabidhiano hayo, Rais ameenda mbali zaidi na kumpa kazi nyingingine, "akimtaka" Mkaguzi huyo akakague migodi...
  3. denoo49

    House4Rent Nyumba ya kupanga Arusha

    Wakuu, poleni na majukumu. Kwa anayehitaji nyumba ya kupanga, maeneo ya Ngulelo kituo cha dala dala, nyumba ipo hatua 15 to 20 kutoka kituo cha dala dala Ngulelo, bara bara kuu ya Arusha to Moshi. AINA YA NYUMBA Ni nyumba inayojitegemea, ina vyumba viwili vya kulala, Sebure, Bafu na Choo kwa...
  4. denoo49

    Nyumba ya kupanga Arusha-Ngulelo

    Wakuu, poleni na majukumu. Kwa anayehitaji nyumba ya kupanga, maeneo ya Ngulelo kituo cha dala dala, nyumba ipo hatua 15 to 20 kutoka kituo cha dala dala Ngulelo, bara bara kuu ya Arusha to Moshi. AINA YA NYUMBA Ni nyumba inayojitegemea, ina vyumba viwili vya kulala, Sebure, Bafu na Choo kwa...
  5. denoo49

    Matamanio ya kiongozi wangu

    Wakuu, Hii safari tuendayo nimashaka tupu na taharuki kujua kama tutafika salama. Leo Sisi tukiwa tunahimizwa kuombea viongozi wetu kwa sala, maombi na kufunga ili Mungu ashushe malaika wake kwa viongozi watu wawape Busara na Hekima katika kutuongoza, kumbe upande wa pili viongozi...
  6. denoo49

    Smart phone X405 Xtouch. Sony

    Wakuu heshima yenu popote mlipo. Binasfi nahitaji msaada wenu ni wapi ntaweza kupata simu ya mkoni model X405 xtouch Sonny, kwa wakazi wa Dar au Mwanza. Kwa dar nimejitahidi kuzunguka kwenye yale maduka maharufu ya posta cjafanikiwa.
  7. denoo49

    Msaada tafadhali, kuhusu ubora wa laptop za acer

    Habarini za jioni wakuu.? Tafadhali naomba kwa yeyoye anayejua kuhusu ubora na matatizo ya laptop aina ya acer anijuze, maana nategemea kuimiliki hv karibuni na sina uzoefu nazo. Natanguliza shukrani.
  8. denoo49

    Wanaharakati wa tanzania

    Habarini, za saa hizi wanajamvi wakuu mabibi kwa mabwana. Yapa takribani miezi kaadha sasa nakuwa nafuatilia baadhi ya midahalo na makongamano mbali mbali yanayokuwa yanaendeshwa hapa nchini. Kumekuwa na umbwe kubwa la baadhi ya Watanzania wenzangu kupenda kujiita "WANAHARAKATI" pale...
  9. denoo49

    NGELEJA; "....hakuna Uchumi bila Siasa"

    Ndugu Ngeleja leo katika mkutano wa 11 Bunge la Tz, kikao cha 34 alipokuwa akichangia hoja Wizara ya Nishati na Madini amesema hakuna Uchumi unaoweza kukua bila Siasa. My take: kwa wanauchumi wa Tanzania wakiongozwa na Prof. Lipumba na Mwigulu Nchemba hii ipo sawa? Na kama uchumi unakua...
  10. denoo49

    Idadi kubwa ya members wa JF inaonesha wanapishana sana na moja kati ya hizi KKK.3

    Hili nimepata kuendelea kuliona kupitia ndani ya majukwaa (forums) ya humu JF, na linakua kwa kasi ya ajabu kadiri siku, miezi na miaka inavyojongea. Kuna baadhi ya watu humu utakuta kama anajua Kusoma, basi hajui Kuandika, au kama anajua Kuandika basi hajui Kuhesabu au Kusoma. Mwanzoni...
  11. denoo49

    Tarehe ni 01.04.13

    O..?
  12. denoo49

    Kikwete: MZEE NYERERE

    Mwanzo, nilidhani utakua uzushi, ila leo kupitia maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa CCM, ndio nimeamini kupitia matamshi yake. Hv ni kwanini Ndg. Mrisho Kikwete huwa hataki kutamka Jina "Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere"???? Je na zile picha za kumbukumbu zenye Jina la Baba wa Taifa...
  13. denoo49

    Cinthia Rothrock na Richard Norton

    Wakuu, hasa wale waliokua wapenzi wa movie za action miaka ya 90's, mwanye kumbukumbu walipo hawa mastaa wa movie toka hollywood, atujuze. Walikua maarufu sana miaka ya 90's wakitamba na movies kama "under of ur table", "range of honor" na nyinginezo nyingi.
  14. denoo49

    Urasimu katika ofisi za RITA makao makuu Dsm

    Binafsi nimekerwa sana na utoaji huduma wa hizi ofisi za usajili wa vizazi na vifo. Kuna kila dalili ya harufu ya rushwa ili uweze kupata huduma. Kipindi ofisi hizi zinaanzishwa walikuwa watoa huduma na washauri wazuri kwa mteja ila mpaka kufikia sasa kama huna "kitu" ni utazungushwa mpaka...
  15. denoo49

    Hodi rasmi...!?

    Hodi rasmi, ma bibi na mabwana. Nilichelewa kujitambulisha nilikuwa nakamilisha taratibu za kupata VISA ya kuingia kwenye hii "ndenge" iliyo na kila aina ya "abiria". Hivyo nikuombeni ruhusa ya kukaa rasmi kwenye seat na nipewe fursa ya kufunga "mkanda" tayari kwa safari...!!
Back
Top Bottom