Search results

  1. Katabalo

    Usijaribu kuchaji Simu yako kwenye bus za Ally's Star

    Socket kama ina shot, inunguza Charger pekee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Katabalo

    Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Kwan ile waliofungiwa speed nn cjui akfka speed ya 85 linapga kelele haifuatwi? Au hzo gar hazjafungiwahzo?
  3. Katabalo

    Samahani hivi ukitoka diploma unaenda degree wanaconsider na form four results pamoja na GPA za diploma

    Sawa sawa, na ndo guidebook zote NACTE na TCU znaelekeza hvyo, na mm huwa nazsoma sana hz guidebook kla mwaka zktoka, sasa ambapo cjui n je kuna watu wanasajiliwa hata kama hawana sifa zilzotajwa kwenye guidebook? Maana mm nlshamalza chuo ktambo sema mm huwa nasoma hzo guidebook kujua mwaka huu...
  4. Katabalo

    Tatizo la mtandao kwenye simu yangu, wataalamu nawaomba hapa.

    Mi nilishagaacha kutumia app ya fb ya kawaida, Natumia fb lite
  5. Katabalo

    Je, Rais ana washauri wa Sheria? Hïi ndio sheria ya bendera ya Taifa!

    Kwa kiingereza rangi kuu ni 3 yaan RGB Red, Green, Blue Rangi zngne zote znatokea hapa km upnde wa mvua ulvyo na rangi nyingi, lakin pale pia hakuna rangi ya Gold(dhahabu), Pale kuna 1.White (nyeupe) japo haionekan 2.Black (nyeusi) huwezi iona 3.Blue/Cyan (rangi ya anga/bahari) 4.Green(kijani)...
  6. Katabalo

    Serikali inahujumu Mawasiliano waziwazi. Huwezi kulazimisha mtu atumie Laini moja wakati Telecom Companies are not stable.

    Line 1 icyo ya campuni yoyote? Hyo lain nan ataitoa? Atakusajil nan? Utaweka vocha ya mtandao up? Labda itolewe na serikal km vitambulisho vya kupgia kura, na vocha je? Utaweka ip? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Katabalo

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Mmmmh, Kipi ktaanza? Uchue dushe kwa ktunguu, Uchue dushe kwa asali mbichi, na ulambe Uchue dushe kwa maj ya uvuguvugu, Mda ule ule, Sasa next c ktaondoa previous? Maji sawa na tkt kpande, ndz moja sawa, chungwa inaweza pata, maharage sawa n mboga ya kla cku, km cyo bas hazpt cku 2, maziwa km...
  8. Katabalo

    Kidato cha nne nikiwa na pass tatu naweza kusomea shahada?

    Unajua, watu tunadharau au hatujui, au tunajsahau, au n mfumo mbaya au n mabadliko ktk Teknolojia mpya na elimu. Sheria tu za mahal flan, znabadrka kla mara, uongoz nao unabadrka, so kla sheria na lengo au target yake, vivyo hvyo na uongoz nao unakuwa na malengo na target zake il kufkia jambo...
  9. Katabalo

    Kidato cha nne nikiwa na pass tatu naweza kusomea shahada?

    Ndyo, akshakuwa na B3 anaenda advance, na hata C3 akbance comb. Ila itategemea na ufaulu wa mwaka huo kwa comb husika, Bas ikshakuwa hvyo advance afaulu aende chuo kutokea advance, hyo haina longo longo, Ila akianza kuzunguka zunguka mara wap mara kule, hapo ndo matatzo yanaaanza
  10. Katabalo

    Kidato cha nne nikiwa na pass tatu naweza kusomea shahada?

    Sawa sawa kabisa, Hv vyuo vyetu vya Cert na Dip vlpopewa ruhisa kuasajil bla kuptia NACTE weng wanafata hela tu, Walai wasipolegeza mmmmh, Degree ztakuwa za Wachachel Hata form 6 nao wamebanwa
  11. Katabalo

    Kidato cha nne nikiwa na pass tatu naweza kusomea shahada?

    Angalia image hyo, nlpozungushia mstar mwenkundu, Hapa wamaanisha uwe na Dip, +4m4 icyopungua D4 au VETA level III yenye D chache kwenye form 4 yako
  12. Katabalo

    Kidato cha nne nikiwa na pass tatu naweza kusomea shahada?

    Miss Kimaro, heb tafuta Guidebook ya NACTE ya Mwaka huu 2018/19 ya kujiunga na Bachelor ukitokea Diploma, ntakuwekea Screenshot ya Kigezo/vgezo vya mwka huu. Kama hawatabadlisha wameandka hiv: "Ili ujiunge Degraa ukitokea Diploma, lazma uwe na GPA ya 3.0 na kuendelea + na ktk matokeo yako ya...
  13. Katabalo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl. Njoo Kilimanjaro, Wilaya ya Rombo, kata/kijij Marangu/Kitowo, Barabara iendayo Tarakea, Idara ya Secondary. Science, Nije Mtwara manispaa mikindan na around Mtwara Jlan 0715 185258
  14. Katabalo

    Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

    Hapa tu ndo huwa naipenda JF, "mnanitoaga ma stress" [emoji3][emoji3][emoji3]
  15. Katabalo

    Mtazamo: Madada hasa wasomi wanaongoza kwa kutojua mapenzi

    Mmmh, cjafanya utafit, ila nlchokishudia ndoa nying za mabint wasomi, zna migogoro na hazdum sana, cjajua n kwa nn, ila shemej zangu wawil wasomi kwa level ya degree1, wananiambia wadada wasomi wanajiona, wana mshahara, zle heshma kwa waume zao znapungua, yaan "ucnzngue nna mshahara wangu" dasa...
  16. Katabalo

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Jaman kuna anaejua nn kmetokea? Mbeya nzma haikuwa na umeme, na vtuo vya redio havkuwa hewan icpokuwa kmoja tu, toka asubuh had sasa hv ndo wamerudisha umeme, vp huko napp palkuwa hv? Uchaguz ufanyka Zenj cc huku tukatiwe umeme na vtuo vya redio, kulkon?
  17. Katabalo

    Hii ndio simu ghali zaidi duniani

    link hyo hapo wajamen, dah, n nouma The World's Top 10 Most Expensive Cell Phones
  18. Katabalo

    Rais John P.J. Magufuli, wanafunzi wa vyuo vikuu wanakusubiri uwasaidie

    Cyo Kwel, N Kubajet Vzur, Wanafunz N Weng Ndyo Lkn Pesa Wanayotaka Kw Ujumla Wao Cyo Nyng Ya Kutsha, Mbona Bunge Maalum La Katiba Pesa Ilpatkana Tena Nyng Kulko Za Wanafunz Wote Tz, Tena Lilkuw La Mda Mfup Na Watu Wachache, Lkn Wanafunz Walsubrishwa, Wakapewa Wao
  19. Katabalo

    Upinzani hauna tija kwa watanzania

    hata angekuja nan wa upinzan, kwa hali tulioiona mwaka huu, yale yote yaliyotokea, upinzan hauwez kushnda milele,
Back
Top Bottom