Search results

  1. SIMON J MSENGA

    Mtandao wa wanafunzi Tanzania TSNP, umetoa angalizo katika maeneo kadhaa kuelekea kufunguliwa kwa vyuo na kidato cha sita nchini

    Kufuatia tamko la Serikali juu ya kufunguliwa kwa vyuo na vyuo vikuu vyote nchini pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita hapo Tarehe 1 Juni 2020, Mtandao wa Wanafunzi Tanzania – TSNP unapenda kutoa angalizo katika maeneo kadhaa ili kuhakikisha haki na ustawi wa wanafunzi unazingatiwa...
  2. SIMON J MSENGA

    Maoni ya Taasisi ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kuhusu masuala ya wanafunzi kipindi hiki cha dharura ya ugonjwa wa corona (Covid 19)

    Mtandao wa wanafunzi Tanzania – TSNP unapenda kutoa maoni juu ya jitihada mbalimbali zinazofanyika ili kuendeleza masomo katika kipindi hiki cha dharura ya ugonjwa wa CORONA: Kwanza: Kuhusu vipindi vya masomo kwa njia ya Redio na Televisheni vinavyoratibiwa naTaasisi ya Elimu Tanzania (TIE)...
Back
Top Bottom