Search results

  1. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Mkuu asante kwa kudadavua, mimi naomba kuuliza, 1. Dini ya Judaism enzi hizo kabla kutawanyishwa kwao, Kuhani Mkuu alikuwa akisimamia mambo mbalimbali kwenye dini hiyo kwa mjibu Wa Torati, Je hivi sasa 2024 Kuhani Mkuu wanaye? 2. Miongoni mwa kazi za Kuhani Mkuu ni kufanya upatanisho wa taifa...
  2. Emanueli misalaba

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Kwa Katiba iliyopo Mpinzani anaweza kutangazwa akishindana kiti hicho?
  3. Emanueli misalaba

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Hongera kwa upambanaji. Ulitumia mbinu zipi kupata wateja wa kiwanja?
  4. Emanueli misalaba

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Mjini Magharibi A na B naona hazipo kwenye data na zina bandari, hotel za kitalii na viwanda nk nk.
  5. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Nadhani usifanyike kipindi hiki cha utawala wa Delilah, mhalifu anaweza kujichunguza? Na hata ukifanyika utakuwa ni wa kujisafisha BT na genge lake. Bora kusubiria wakati sahihi
  6. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Ilikuwa mwaka gani hiyo ilitukia? Ni nchi gani hiyo? Nani aliye pelekwa hospitali? Hiyo hospitali aliyopelekwa ilikuwa ya nchi yake au nje ya nchi?
  7. Emanueli misalaba

    Tabia ya kuvuna mawingu huenda ndiyo imesababisha mafuriko ya Dubai

    Kwa maji yale mitaani na kwenye majumba je kwa wenye vifaa vya umeme si ndo wanaanza upya,magenerators, maduka ya simu, majokovu, TV, Laptop nk nk.
  8. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Inaonekana yoga kurudi ni hadi Mwakani 25/12/2025
  9. Emanueli misalaba

    Majiji yafunikwa na maji Urusi na Kazakhstan baada ya mvua na theluji kuyeyuka

    Ni nabii yupi aliyetoa unabii na akawa anawakejeli wanaoomba toba kwa ajili ya ile hukumu iliyo ndani ya unabii? Nabii wa Unyakuo yeye full kejeli kwa watu waliokuwa wakiomba rehema kwa Mungu, hapo mimi nimepishana naye hapo.
  10. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Ulipo sema "The Club of Rome" umenikumbusha mbaaali sana, enzi hizo za Gazeti la Tazama, safu ile mwandishi Gideon akiandika maswala ya Freemasons, Gazeti hili sijui lilikufa au bado lipo?
  11. Emanueli misalaba

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    . Ningekuwa mimi ni Waziri mkuu wa Israel, huu ulikuwa ni wakati sahihi wa kurusha kombora juu ya jengo la Al Aqsa na kusingizia Makombora ya 🇮🇷 🇮🇷 yameliharimbu jengo hilo.
  12. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Kwa mjibu wa nabii wa Unyakuo TV Rufiji hakuitabiria ila ni Dar es Salaam pekee na Sehemu salama alisema ni kuanzia Kibaha.
  13. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    mbenge shukurani kwa jibu. Kwa Mr BTHongera zake au pole yake. Na vipi Degrees za Illuminat na Freemasons ni gapi hasa?
  14. Emanueli misalaba

    Dark days 17/03/20...

    Hivi Tabasamu kwenye vyama vya siri yuko familia ipi? Je ana degrees gapi ndani ya Illuminat?
  15. Emanueli misalaba

    Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

    Hamna kitu pale, tuhuma nyingi anatuhumiwa na watu, Pia hela nyingi anapewa na Bibie, Hivi mnadhani kwa nini bibie anapenda mikopo sana? Bibie tangu aingie madaraka ana miaka mingapi? Alikuta deni la taifa ni kiasi gani? Je na kwa hivi sasa deni la taifa ni kiasi gani?
Back
Top Bottom