Search results

  1. D

    Tanzania driving license

    Nimekusoma, asante sana
  2. D

    Tanzania driving license

    Hivi leseni zetu za kuendeshea gari tunaweza kuzitumia nchi yoyote??
  3. D

    Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Pole sana ndugu... binafsi nilishawahi kupatwa na hili tatizo, nilikuwa na umri wa miaka 21, na nilikuwa bording school advance, ilinipa shida sana maana nilikuwa siwezi kuvaa viatu wala soksi. Na nikikanyaga chini kwa mda bado nahisi moto. Nilipata shida kwa mda ila nakumbuka nilirudi...
  4. D

    Japan Car Radio FM Band Frequency Expander Converter to FM 88 - 108 Mhz

    asante Anofaby. watakuwepo mida gani pale temeke?na inafanya kazi vizuri?
  5. D

    Japan Car Radio FM Band Frequency Expander Converter to FM 88 - 108 Mhz

    Natafuta wapi (dar es salaam) wanauza na kuweka kifaa cha kuwezesha radio ya gari kupokea frequency band za hapa nchini yaani FM 88 - 108 Mhz maana radio nyingi za magari ya japan frequency range zake ni 76-90MHz
  6. D

    wanaomjua john Cena anajiandaa kukutana na the rock. cena amekwisha

    mbona the rock keshandundwa na sina na mkanda umechuliwa!sina bado ni yule yule wa siku zote sema kukaa mda mrefu bila mkanda kulimfanya apunguze mazoez,ila the rock kadundwa na kakubali.
  7. D

    Machinjio kufungwa mashine maalum

    hicho tayari itakuwa kibudu na sio nyama fresh
  8. D

    iphone

    That phone is using cdma technology. Jarib kuchunguza cm kabla ya kununua. For sure u wont be able to use dat phone
  9. D

    Familia ya Nd.Ally aliye uwawa na polisi kwa kupigwa risasi yaingia kwenye mvutano na Chadema

    we nahis hujitambui!nahs ukiulizwa nani rais wa sasa utasema ni Mwalim nyerere.
  10. D

    Computer inazimika ninapokuwa naingiza window!

    hiyo iwe laptop,au desktop,tatizo ni feni.chec fen itakuwa haizunguki au kama inazunguka haizunguki vizuri
  11. D

    Kunywa dawa huku umesimama ni moja ya masharti ya babu?

    mi nadhani uelewa mdogo na fikra mbovu mlizonazo ndo zinawaponza.we unadhani folen inayokuweepo kwa babu kila mtu angekuwa angekuwa anashuka na kukalia bench unazosema ni wangapi wangepata huduma? na mi nadhani we sio mfatiliaji maana kwa babu watu waokuwa kqwenye magar wanapewa dawa wakiwa...
  12. D

    kikombe atumiacho babu Alikiokota nyumbani kwake!!!!!!!

    wat kind of mashart ar uu talking abt.kikombe cha babu hakina mashart bwana labd kama unajaribu kuyacreate mwenyewe
Back
Top Bottom