Search results

  1. SpiderThy

    Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

    Malila ni mjasiriamali, mkulima, mfugaji, ... Kwenye miti, mbao, nyanya , mbogamboga, uwekezaji mbalimbali,... yumo. Yuko active zaidi kule jukwaa la kilimo na mifugo.
  2. SpiderThy

    Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Mulengera nadhani kastaafu 2014, 2015 au 2016 akarudi kwao Kigoma ambako ana kama ekari elfu moja pamoja na trekta nyingi and fuso kadhaa. Kaenda kujiajiri hasa kwenye kilimo.
  3. SpiderThy

    Bora kufanya biashara kuliko kupoteza ada na muda chuo kikuu

    Mashamba Ruaha Mbuyuni na Dakawa wanauzaje kwa kila ekari? Unaweza kunikodishia Ruaha Mbuyuni ekari moja nilime nyanya?
  4. SpiderThy

    Nimechaguliwa kujiunga chuo kikuu Huria kozi ya Sheria akupuo ya Julai 2019

    Kwa sasa hakun campus ya makao makuu, rather pale pembeni ya OUT Makao makuu ilipokuwa Biafra sec, ndio ilipo Kinondoni Regional Centre. So, kama uko Kinondoni au wilaya ya Ubungo, utashauriwa ukajisajili hapo.
  5. SpiderThy

    Kumbe bado kuna Open Bar zinakesha mpaka Asubuhi

    Last Point na Laachz Sinza zinakesha ajue.
  6. SpiderThy

    Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Hata kinu na mchi vinalika pia. Kubwa na mhm ni kutokutumia chakula cha aina moja na mara kwa mara i.e tuwe na kiasi. Kuna watu mihogo na viazi vitamu vimewapa kisukari maana walikuwa wanavitumia in exces! Digestion system pia hukataa baadhi ya vitu na kuvigeuza refusal na hivyo kupunguza...
  7. SpiderThy

    Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Hata kinu na mchi vinalika pia. Kubwa na mhm ni kutokutumia chakula cha aina moja na mara kwa mara i.e tuwe na kiasi. Kuna watu mihogo na viazi vitamu vimewapa kisukari maana walikuwa wanavitumia in exces! Digestion system pia hukataa baadhi ya vitu na kuvigeuza refusal na hivyo kupunguza...
  8. SpiderThy

    Kwanini Mengi alipata utajiri: Nimebaini sababu

    Unawajua wahindi kwenye CV zao! Kule kuna ushindani sana as waliosoma ni wengi. Hivyo kila mhindi huhakikisha CV yake inanona hasa kuwa marketable. Si ajabu kukuta mhindi mmoja ana digrii mbili, masters tatu,postgraduate diploma kadhaa, short courses nyingi sana na phd mbili! QUOTE="joseph1989...
  9. SpiderThy

    Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

    Halafu tunarushiwa picha wako pamoja very close full matabasamu, kumbe wanalala vyumba tofauti!
  10. SpiderThy

    Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

    Mapenzi ya ujanani na/au uchumbani si sawa na kwenye ndoa mke na mume. Mke na mume huwa hawana papara za kusimamia shoo nyavu sita karibu daily! As ni mali yako, kunakuwa hakuna papara hizo. Tofautisha kulala na mumeo/mkeo, na kulala na mtu mwingine. Lakini pia mnaweza kuwa na vitanda viwili...
  11. SpiderThy

    RC Makonda ammwagia sifa Mkuu wa Wilaya ya Pangani, atoa zawadi ya gari

    8m plus kabla ya marupurupu yoyote na night. Na hawakatwi kodi na kuna mapato ya huruma toka wananchi/wafanyabiashara/matajiri!
  12. SpiderThy

    Ambao tumezunguka Tanzania yote!

    Mwanza, Sengerema, Geita, Katoro, Bmulo, Masumbwe, Ushirombo, Misungwi, Shinyanga, Nzega, Tabora, Kigoma, Singida, Kasulu, Kibondo, Manyoni, Babati, Manyara, Karatu, Ngorongoro, Serengeti, Makuyuni, Arusha, Usariver, Dom city, Gairo, Kilosa. Musowero, Dumila, Dakawa, Turiani/Mtibwa, Madizini...
  13. SpiderThy

    Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

    Last point nadhani kuna mashoga pale. Ni chimbo kali ingawa padogo. Ni mbele ya lachz.
  14. SpiderThy

    Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

    Lachz, last point.
  15. SpiderThy

    Msaada kwa anayefahamu hospital ya kwema iliyopo wilayani kahama!

    Ooh kumbe! Nilikuwa sijui. Hivi kwema english-medium primary ile ya majengo karibu na uwanja wa taifa khm, darasa la 1-7, fees/ada sh ngapi kwa mwaka day school? Kwa anayejua.
Back
Top Bottom