Search results

  1. DINHO

    UTABIRI: Simba SC 1 -3 Yanga SC Kariakoo Derby, Novemba 5, 2023

    Mkuu vipi matokeo yalikuwaje?
  2. DINHO

    Msaada wa hotel nzuri Dar es Salaam isiyozidi 50,000

    Umewahi kulala hotel yoyote Dar? Hiyo bei anapata hotel kibao, hata akisoge UBUNGO atakutana na hotel kibao za bei hiyo. GUEST na LODGE za DAR bei zake ziko buku 10 hadi 20, acheni kungopea watu, kama mnaishi kwa dada zenu msitake kuwaongopea watu.
  3. DINHO

    Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Yemen sio taifa DOGO, afu wana population ya mil 30+
  4. DINHO

    Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Israel hana uwezo, ni support kutoka US, UK, na UFARANSA yy mwenyewe hawezi hizo battle za waarabu ndio maana anasaidiwa kila kitu na US
  5. DINHO

    UTABIRI: Simba SC 1 -3 Yanga SC Kariakoo Derby, Novemba 5, 2023

    Imenichukua mwezi mmoja kufanya analysis juu ya hii game, nimeangalia game karibu 10 za kila timu na katika hizo karibu game 5 nilienda uwanjani kushuhudia tactics za timu zote mbili. Game ya 05/11 ni moja ya game ngumu kwa mwonekano wa nje, ila kwa namna nilivyoziangalia hizo timu zote, 75%...
  6. DINHO

    Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Hoja za kijinga kabisa hizi, wapalestina na Waisrael wanafanana sana tu, ni race moja. Kucheza mashindano ya Ulaya hata UTURUKI anashiriki mashindano ya Ulaya na hayupo Ulaya.
  7. DINHO

    Ukwasi unaopatikana kwenye Kampuni za kusafirisha mizigo

    Hizi hesabu sio halisi kabisa in terms of Profit, ndio kuna maokoto lkn sio kwa super profit kama hii aliyoitaja mleta uzi. Kwa namna yoyote ile Operation costs za hizi kampuni zinakuwa juu ingawa bado atapata faida.
  8. DINHO

    Kumbe ndio maana vita havitakwisha Mashariki ya Kati

    [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  9. DINHO

    Kumbe ndio maana vita havitakwisha Mashariki ya Kati

    Wewe ni MPUMBAVU. Kwahiyo Yesu unayemkumbatia wewe ni Mweusi mwenzako? Unahisi anakupenda au atakupenda hata akifufuka leo?
  10. DINHO

    Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Hiyo ndoa itaisha hapo hapo.
  11. DINHO

    Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Yaani akili yako inakuambia Mungu aliyekuumba wewe alishindwa namna ya kukuokoa akaamua ajibadili awe binadamu ili akuokoe? Yaani mungu alishindwa kubadilisha akili zako automatic ili uwe mwema? Mungu akaamua akae tumboni miezi 9, anye mavi kwenye chupi miaka 5 ili tu kukukomboa wewe? Una akili...
  12. DINHO

    Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Yesu ni nani mkuu? Kwako wewe Yesu ni Mungu au Nabii kama manabii wengine?
  13. DINHO

    Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Kati ya wanawake waislam 100 utaoweza kuwabadili dini kisa ndoa au mapenzi wanaweza kuwa 2 au wamezidi sana yaani sana ni 5 tu out of 100, na kati ya wanawake wakristo 100 utaoweza kuwabadili dini kisa ndoa au mapenzi wanaweza kuwa 60 na wamepungua sana yaani sana ni 50 out of 100. NB. Familia...
  14. DINHO

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Hujui Nguvu ya TISS wewe, tulia kwa Wazazi wako hapo.
  15. DINHO

    Madhara ya Nape kushindana na TEC yameanza kuonekana

    Wamakonde ukoo uko kwa baba na sio kwa mama. Wamwera ukoo uko kwa mama. Membe ni mmwera na sio Mmakonde. Nape ni Mmakonde wa Mtwara na sio Lindi. Wamakonde wanapatikana Both Mtwara and Lindi. Mtwara wamakonde wanapatikana zaidi wilaya 3, Mtwara, Tandahimba na Newala na Lindi wamakonde...
  16. DINHO

    Kuna timu nyingine ya Tanzania siku si nyingi nayo inaenda Kuungana na Azam FC kwa Kutolewa mapema CAFCL

    Ukiwa mpumbavu wewe mwenyewe hujijua na huhusi maumivu, ila ndugu zako ndio wanaoteseka na upumbavu wako. Mtoa mada ni mpuuzi.
  17. DINHO

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Nape ni kifupi cha neno Nnapelepe na hana uhusiano wowote na Tukuyu, ni mmakonde Pure tena kutoka Wilaya ya Tandahimba, Zamani eneo alilotokea ilikuwa wilaya ya Newala. Mzee Nnauye ni Mmakonde pure, na hayo majina yote ni Kimakonde tena cha Newala. Chuki kama hizi haziwezi kuleta nafuu yenu ya...
  18. DINHO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah mimi nimempa mazima, yaani wakati nabet nilikuwa na wasiwasi nae sana ila nikampa.
  19. DINHO

    Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

    Wewe ndio mpumbavu na huna ujualo, wewe ni Kima tu. Change ya ownership haina uhusiano na newly Formed Company. Hata hivyo kampuni ikiuzwa inabaki na TIN ileile, wateja walewale, wadaiwa walewale nk. Ukinunua Kampuni unanua na madeni yake, operesheni zake hubaki kama zilivyo. Tax exemption...
Back
Top Bottom