Search results

  1. Kokogonza

    Nauli za ndege Dar-Kigoma

    Wadau naomba kufahamu nauli za ndege Dar-Kigoma
  2. Kokogonza

    Msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad

    Habar wandug, naomba msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad-Voice mail anitumie mana nimeutafuta sana mtandaon cjaupata. najua JF ndio kila kitu Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
  3. Kokogonza

    Msaada

    Habarini wana jf,nina PC yangu aina Dell lkn kila ukiingiza flash inasoma shortcut, lkn hata nikifanikiwa kukopi file lolote toka kwenye flash na kuingiza kwenye pc bado linasoma shortcut, msaada wenu tafadhali kwa mwenye ujuzi
Back
Top Bottom