Search results

  1. mdeki

    DED -Kilindi tulipe pesa zetu za usimamizi wa mitihani ya Taifa 2015

    Kichwa cha habari chahusika, huyu mkurugenzi imepita miezi sasa hajatulipa pesa zetu tunamuomba waziri husika umuwajibishe maana tumemwandikia barua hataki kutupa haki yetu, ntarudi
  2. mdeki

    CHADEMA/UKAWA hatimaye kinaeleweka serikali za mitaa

    Wana JF jana na leo kampeni zimeanza maeneo mbalimbali ikiwemo mtaani kwetu na muitikio ni mkubwa sana. Watu wamehamasika kuleta mabadiliko kupitia upinzani kwa kua chama chakavu kimewatesa kwa miaka sasa na huu ufisadi wa escrow umekumbusha machungu mengi sana. Wengi wanasema wataiadhibu CCM...
  3. mdeki

    Muungano wa UKAWA-nje ni wa sungura na fisi

    Tumeshuhudia wanasiasa hasa wa vyama pinzani kuungana kudai kinachoitwa katiba ya wananchi, nionavyo mimi muungano huo ni wa kinafki kwakua kabla vyama husika vilishakashifiana na kuitana majina kibao ya kashfa kama vile ccmB n.k
  4. mdeki

    Ni ajabu hata kwenye kupiga kura hawakuwepo wanataka kupigiwa kura

    Nimeshangazwa sana na kitendo cha baadhi ya wapinzani kutokuwepo bungeni jana wakati wa siri na wazi,na wengine walikuwepo lakini walivyoitwa hawakupiga kura sasa mnataka 2015 mpigiwe kura je mshachukua chenu mapema?
  5. mdeki

    Ushauri: umefika muda wa kutoka kwenye keybord kwa makada wa vyama vyote

    Mimi kama mwananchi nawashauri wanasiasa hasa vijana tutoke kwenye mitandao, tuelekee vijijini tukatoe ushawishi wetu wa hoja tunazozitoa humu ili kuwafanya wananchi wawe na mwamko zaidi hasa vijijini.Tusijidanganye si watanzania wote wanafikiwa na magazeti,Facebook, jamii forum, nk
  6. mdeki

    TAHOSSA: chombo cha kitaaluma kilichoingiliwa na siasa

    Kwa miaka mingi sana chombo hiki kimekua msaada kwa mustakabali wa elimu nchini lakini matatizo mengi yametokana na siasa, wakuu wa shule wameachiwa mzigo wa kuendesha shule..... Ntarudi kikao ndo kinaaanza "Nchi ngumu hii"
  7. mdeki

    Kauli zinazokera nchini!!

    1:Tupo kwenye upembuzi yakinifu(majibu ya waziri bungeni). 2:kesi iko mahakamani nikizungumzia hapa nitaingilia uhuru wa mahakama. 3: wapigwe tuu maana tumechoka. 4:Jeshi la polisi linaendelea kumsaka mtuhumiwa...
  8. mdeki

    Kama serikali watapunguza kodi kwa 1% Je CWT wao watapunguza ngapi?

    Wakuu habari zenu, bila shaka mnajua kuwa serikali iliahidi kupunguza kodi kwa wafanyakazi, ingawa ni kidogo ningependa kujua CWT wao wanampango kama huo? Au ndio wanazidi kuwanyonya walimu?
  9. mdeki

    Ni wapi ntauza iriki yangu?

    Wadau nina iriki natafuta soko kwa anayehitaji "To know the enemy is half the victory"
  10. mdeki

    Kuna uhusiano wowote katika kula mbunye na unywaji wa kiroba?

    Jamaa kaniaga ofisini anaenda kula mbunye kaalikwa na demu, lakini si muda mrefu kapiga viroba kama vinne hivi
  11. mdeki

    Hivi kwanini CDM msiitishe maandamano nchi nzima?

    Jamani hii inakera sana marafiki zangu wengi wameumia katika tukio la jana kule Arusha, na watanzania wenzangu wote hasa wapenda haki nadhani imewauma sana, sasa ombi langu kwa chadema itisheni maandamano ya Amani ya kulaani hili tukio
  12. mdeki

    Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
  13. mdeki

    Nini kilimtoa kipanya clouds fm?

    Nimekuwa nikijiuliza sababu iliyomtoa msanii na mwanahabari mwenye kipaji cha aina yake pale radio ya watu bila kupata majibu yake. Je kuna mdau anayejua au yeye mwenyewe anawezakua humu ndani atujuze
  14. mdeki

    FA kubali yaishe muanze ukurasa mpya

    BAADA wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kushambulia msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Mwana F.A katika mitandao ya Tweeter na Facebook kuhusu bifu lake na msanii mwenzake Lady Jay Dee, msanii huyo amesalim amri na kuwaomba mashabiki wake msamaha. Mwana F.A...
  15. mdeki

    Mzee "small" mgonjwa

    Kupitia kipindi cha hotmix EATV watanzania tunaombwa kumsaidia huyu mzee. Tena anasema Jk ni rafiki yake walikuwa wote UVccm(siyo hii ya sasa) kwahiyo anaomba naye amtembelee
  16. mdeki

    Shukuru nae!!

    Eti anajitetea kwa matokeo kuwa mabaya kwa kusema" Mh.spika si shule na serikali pekee zilizofanya vibaya hata za watu binafsi zimefanya vibaya sana" kwahiyo huyu Mdharaulika anataka kutuambia kuwa hiyo ndiyo sababu inayomfanya asijiudhuru?
  17. mdeki

    CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

    Naomba kutoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA kupeleka vuguvugu la mabadiliko Zanzibar, CUF washajiishia huko maana watu hawajui hata mlengo wa chama , ni wakati wa kwenda kuzindua M4C sasa mpaka kieleweke Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  18. mdeki

    Asante JF,MMU members

    Ni kawaida kwa wadau mbalimbali humu kuomba msaada hasa wa kimausiano. Nasema asante sana wadau humu jamvini kwani maujuzi na mbinu mbalimbali(zilizonzuri)mnazoweka humu zimenisaidia kuimalisha mahusiano yangu na mwenzangu hasa zile tips8 we acha tu! Ingawa hatujuani lakini mmenisaidia sana...
  19. mdeki

    Je kuna kiwango maalumu cha damu kwa mwanaume?

    Wanajamvi salaaam kwenu. Nimekuwa katika wakati mgumu wa kujua kiwango cha damu mwilini je normal ni ngapi kwa mwanaume? Maana nilishakwenda hospitali moja ya binafsi baada ya kupima kiwango cha damu daktari wa kwanza akaniambia nina damu nyingi sana, lakini nilipoingia kwa daktari mwingine...
  20. mdeki

    Hebu cheki hapa!

    Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya ushuzi, utumbo utakuja kumtoka. Jamaa alicheka sana kusikia hilo. Siku moja mke alilazimika kuamka alfajiri awatengeze kuku...
Back
Top Bottom