Search results

  1. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Mwaka 1997 nilikuwa nafanya kibarua cha ujenzi ktk wilaya moja mkoani Mbeya Wakati naendelea na kazi siku moja alikuja ndugu yangu ambae awali tulikuwa tukiishi wote ilala mtaa wa bungoni kabla sijaenda mbeya kwa ajili ya kibarua. Baada ya kunisabahi alinieleza kuwa ana mpango wa kwenda south...
  2. Ipi dot com

    Wazo langu kwa madiwani Jiji la Mbeya

    Pamoja na kazi nzuri mnayoifanya nawashauri muangalie route za daladala kwa kusaidiana na sumatra. 1- Ongezeni routE kutoka forest mpya na zamani hospatali ya mkoa mpaka mjini kwa wakazi wa maeneo hayo hayo ni shida na gharama ni kubwa mno 2- Punguzeni msongamano barabara ya Zambia Iringa kwa...
  3. Ipi dot com

    Nahitaji noah

    Nahitaji noah haraka,ofa m 7 ni pm
  4. Ipi dot com

    window 8 msaada

    habari wana jamvi, nahitaji kununua pc,iwe na vigezo gani ili ikubali window 7 au 8? Natanguliza shukrani
  5. Ipi dot com

    Milioni mbili inahitajika

    Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka wa shilingi milioni mbili. Dhamana nyumba hapa dar,kwa anaeweza kunifahamisha wapi naweza pata tafadhari nawasilisha
  6. Ipi dot com

    Milioni mbili nahitaji

    Salaam wakuu, nahitaji sh milioni za mkopo wa haraka kwa dhamana ya nyumba hapa dar. Kwa mwenye kujua mahali ninapoweza kupata nitashukuru..nawasilisha
  7. Ipi dot com

    Kwa wasio na umeme

    Nauza betri N17O dry cell na tv flat sreen 15" na dvd zote zina mfumo wa dc na ac, kwa matumizi ya tv inatumia hadi siku nane kwa wastani wa masaa manne kwa siku.Nipo dar
  8. Ipi dot com

    Wakuu mpoo?

    Salaam ,Natafuta Transistors 2n 7000 kwa wingi nimetafuta hapa dar nimeshindwa kupata mwenye kujua tafadhari msaada jamani 0763150550
  9. Ipi dot com

    Good news wana JF: Pata viwanja vilivyopimwa

    Kwa ndugu zangu wana jf wote kwa wenye nia ya kujenga, Pata viwanja vilivyo pimwa maeneo ya Mwanagati square meter 500 kwa tsh 14m,square meter 1500 tsh 25m kuna maji na umeme vipo viwanja 8 tu Pia square meter614 tsh 15m umeme na maji vipo HAYA KAZI KWENU! wasiliana kwa 0763 150 550, 0769...
  10. Ipi dot com

    viwanja bei nafuu

    viwanja kuanzia tsh 1.5 vinapatikana maeneo ya kivule,kibeberu umbali wa km 8 toka Banana.Pia vipo vya kupimwa tafadhari piga 0763 150 550 mr Frank
  11. Ipi dot com

    Shule nzuri

    Habari zenu wakuu? Naomba msaada wa mwenye kufahamu hili, ukiondoa shule za serikali zinazofundisha watoto wakorofi je kuna shule (sekondari) inayo fanya hivyo angalau kujaribu?
  12. Ipi dot com

    Tsh m 5

    Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.
  13. Ipi dot com

    Kama ningekuwa Mh Pinda ningejiuzulu

    Salaam, kwa ufinyu wangu wa mawazo nadhani ulikuwa wakati muafaka wa mh pinda kukaa pembeni. Sasa tunapata picha halisi ya serikali ya jk na maswahiba wake. Sasa naelewa kwa nini magufuri alisema anatamani angekuwa mbunge wa kawaida tu.
  14. Ipi dot com

    Times FM mnafunika

    Kadri siku zinavyozidi kwenda binafsi naona kituo cha times fm kinakonga nyoyo zetu hasa wanapoongea ukweli kuhusu ubovu wa viongozi wetu.keep it up times fm
  15. Ipi dot com

    Mbunge kaugua ghafla

    Kuna mbunge mwanamke kaanguka gafla bungeni bado hajafahamika jina
  16. Ipi dot com

    Shamba linauzwa bei poa

    Lipo kisarawe kijiji cha kifuru station ekari 5 m 2 tu lipo kiharali kabisaa
  17. Ipi dot com

    Nauza shamba

    Shamba lina ukubwa wa ekari 5 lipo kifuru station wilaya ya ya kisarawe bei poa!
  18. Ipi dot com

    Msaada wa cable ya laptop

    Habari wana jf,ninahitaji power cable(adoptor) ya laptop aina ya dell output voltage 19.5!!
  19. Ipi dot com

    Msaada wa meno!!

    Salaam wana jf,mtoto wa miaka 8 meno yameotea kwa ndani wakati ya mbele yahatikisiki wala kuonyesha dalili ya kung'oka.nisaidieni uzoefu wenu
Back
Top Bottom