Search results

  1. Ipi dot com

    Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Hii picha ni ya wiki hii nina mtoto wa kidato cha kwanza kanilalamikia kukalishwa chini
  2. Ipi dot com

    Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Kamati wamekuwa wa kwanza kulifanya siasa jambo hili, Kisa tu eti WAMEKUTA PICHA ZA KOMBATI YA CHAMA CHA CDM Very shame!!
  3. Ipi dot com

    Dulla Mbabe kaimarika zaidi

    Na hela atapata
  4. Ipi dot com

    Nyuki kuingia ndani.

    Hapo mkuu kiroho kuna mambo mawili yapo mbele yako SHEREHE au MSIBA funga muombe mungu sana ,kama ni wa kawaida mshukuru Mungu. Yalinikuta mimi!! Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  5. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Nikweli mkuu Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  6. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Ongeza ruksa Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  7. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Ok Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  8. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Inaendelea... Mama mwenyeji alishtuka sana akauliza kulikoni ikabidi john amweleze kuwa hatujala tunaelekea siku ya tatu,ikabidi uji utayarishwe haraka na baadae chakula kamili sasa ubinaadamu ukarudi. Bado ndoto zetu zipo pale pale na mwenyeji wetu alikuwa akitupa moyo sana tulikaa wiki pale...
  9. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Inaendelea... Toka saa 8 usiku mpk asubuhi tulisimama maana tumelowa balaa, ilipofika asubuhi tukaona njia pekee ya kukauka ni kutembea mwendo mwingine kutoka nje ya mji ili muda tukianza kurudi mpaka tunafika mjini tutakuwa tumekauka. Kweli tulifanikiwa kwa kiasi japo mabegi yalikuwa bado,mida...
  10. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Tulikua pretoria sunnyside Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  11. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Inaendelea.... Yule polisi baada ya kuturushia kitambulisho na kutuambia you are under arrest tukaona sasa tumekwisha. Lakini binafsi moyoni mwangu nikajisemea potelea mbali maana tayari nipo SA sheria zao wanakurudisha kwenu, lakini tulindelea kubembeleza hapo kimombo kimeanza kupanda...
  12. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Leo inaendelea mkuu Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  13. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Bado inaendelea Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  14. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Tuendelee.. Kumbe ndani ya ile nyumba walikuwa na mjadala mrefu kuhusu mimi kwa hiyo aliponiona alitahayari na kurudi ndani kuwaeleza kuwa nipo nje. Alikuja mwenyeji na mke wake wakanihug nikashindwa kuelewa nini kinachoendelea baadae ndio tukapata kujua nini kilimtokea kila mmoja wetu na sasa...
  15. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Huwezi amini mkuu Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  16. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Sawa mkuu Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  17. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Yaani unahisi kama uko peponi vile Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  18. Ipi dot com

    Tujikumbushe wahenga

    Inaendelea... Hapo nipo ofisi za uhamiaji yule officer alienirudisha zimbabwe nipo kwake tena safari hii anataka show money,na mimi sina, akaniambia vinginevyo huingii Botswana nikachanganyikiwa safari hii ilikuwa zaidi nikawa najiuliza nitapata msaada wapi tena? Nikaamua kuwa kichaa zaidi...
Back
Top Bottom