Search results

  1. Zuia Sayayi

    Aina gani ya friji ni nzuri?

    Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge, maana nmeona kampuni nyingi sana kwa sasa zikiwa zinauza hizi bidhaa. Mfano, jana nmetaka kununua...
  2. Zuia Sayayi

    FBI yafanikiwa kufungua (Unlock) na kutoa taarifa za kwenye simu iliyokuwa ikitumiwa na gaidi Syed Farook

    Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21), Hatimaye FBI yafanikiwa kuingia kwenye iPhone iliyokuwa ikitumiwa na Syed Farook aliyehusika na tukio la kuwamiminia risasi na...
  3. Zuia Sayayi

    PROJECT OFFICER (1 position )

    Magu Poverty Focus on Older People Rehabilitation Centre (MAPERECE) in collaboration with Amref Health Africa Tanzania is implementing Empowering Women with Obstetric Fistula Project in Mwanza Region. The project aims to deliver a fistula treatment, psychosocial support, and livelihoods...
  4. Zuia Sayayi

    Boti za Iran zakwama kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza. Iran yapinga vikali taarifa hizo

    Boti tatu zenye silaha zinazoaminika kuwa za Jeshi la Iran zimejaribu leo kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba bila mafanikio Shirika la Utangazaji la CNN limeripoti likiwanukuu maafisa wawili wa Marekani wakisema kuwa meli hiyo ya Uingereza ilikuwa ikiingia katika mlango...
  5. Zuia Sayayi

    MSAADA KWA ANAEJUA KAMPUNI NZURI YA KU HOST WEBSITE HAPA TANZANAI

    Habari zenu ndugu zangu? , nadhani kichwa chajieleza, Naombenj kjjulishwa Kamojni nzuri ya ku host website yangu, we na bei nzuri, Asante, Domain ninayo tayari, nachotaka ni kuhama tu,
  6. Zuia Sayayi

    Why does Russia support the Assad regime? What are Russia’s interests to fight in Syria and defend the Assad regime?

    Russia is defending Syria’s sovereignty and is trying to work for an end to the bitter civil war at the request of the government of Syria that is officially recognized by the United Nations. There are several reasons for active Russia’s involvement in Syria, here are few that are the most...
  7. Zuia Sayayi

    Msaada kuhusu HELSB na TCU

    Samahani wandugu kwa usunbufu Nataka postpon chuo, then nipage kaz ka 3 yrs, then nije niombe transfer Niko first year, hlf ni loan benefishary, nisomee huko ntakapokuwa vip itaeezekana?? Na loan yangu ikawa inanisubiri nienfeleze gurudum la usomaj
  8. Zuia Sayayi

    Nahitaji laptop used yenye core i7

    Kama ujumbe unavyojieleza naomben kwa alie dar anichek kwa namba 0752508163 tufanye biashara, RAM iwe ina range 6GB - 8GB
  9. Zuia Sayayi

    Nahitaji laptop used yenye core i7

    Kama ujumbe unavyojieleza naomben kwa alie dar anichek kwa namba 0752508163 tufanye biashara, RAM iwe ina range 6GB - 8GB
  10. Zuia Sayayi

    Msaada chuo kinachotoa degree ya information technology kwa Mwanza

    Hellow there, natafta chuo kinachotoa Degree ya IT au related field course, kwa mwanza Mwenye kujua anijuze tafadhari Naomba kuwasilisha
  11. Zuia Sayayi

    Msaada wa hiki kitabu cha "Within arm length"

    Jaman namba msaada kwa member yeyote anisaidie kitabu kinachoitwa "within arm length" Ninakitafta sana, Asanten
  12. Zuia Sayayi

    Msaada wa jinsi ta ku set intanet kwenye modem

    Habari za humu ndani ndugu zangu, Tafadhali naomba msaa wenu, nina modem ya UNIVESAL hiz ambazo zinauzwa bila service provider, kila niki connect haikubali, Naomba mwenye kujua miweke vitu gani kwenye setting za APN au namna yoyote ile ili i connect, maana naona mitandao ya nchi mbalimbali tu...
  13. Zuia Sayayi

    Habari njema kwa gamers, grand theft auto 5 (GTA) for PC, pakua hapa bure

    jaman kwa wale wote ambao ka ugonjwa ketu ni haya magem mazuri na makubwa, hili game ni zuri kiukweli nmeamua kushare nanyi BONYEZA HAPA kuli download #Sayay theCompu3rGUY
  14. Zuia Sayayi

    JINSI YA KUIFANYA BATTER YA LAPTOP IDUMU ZAIDI

    Ni tricks ndogo BOFYA HAPA
  15. Zuia Sayayi

    Fifa 2016 Pc Game Hapa

    Wale wenzangu wapenda ma Games kama mimi, Napenda kushare games hili Bonyeza HAPA kua
  16. Zuia Sayayi

    Application kwa ajili ya kuangalizia kama SIMU yako ni Original (samsung users only)

    Hii ni application kwa watumiaji wa samsung smartphone, ni mahususi kwa ajili ya kuangalizia kama simu yako ni original kwa maelezo zaidi na kui download Bonyeza HAPA
  17. Zuia Sayayi

    Whatsapp wametoa toleo jipya la kwa ajili ya Computer

    Jamani habari zenu wadau wa tec' forums whatsapp naona wameamua kutoa toleo ambalo litaweza kutumika baada ya kuwa installed kwenye computer zinazotumia windows au Mac Pc'S, sasa naona wanajitahidi kufanyia updates mara kwa mara ili kuboresha huduma zao kwa maelezo jinsi ya kuitumia na kui...
  18. Zuia Sayayi

    Msaada: Msaada kwa wataalamu wa Web design na Bloggers

    Kama heading inavyosema, Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba, Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER, Kama kuna mwenye utaalam juu ya hilo naombeni msaada on how to do this blog yenyewe ni hii hapa MapereceAsante sana kwa...
  19. Zuia Sayayi

    MSAADA TAFADHALI JAMANI KWA WATAALAM wa WEBDESIGN na BLOGGERs

    Kama heading inavyosema, Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba, Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER, Kama kuna mwenye utaalam juu ya hilo naombeni msaada on how to do this blog yenyewe ni hii hapa MapereceAsante sana kwa...
  20. Zuia Sayayi

    Msaada wa majina ya hizi fonts

    Habari za jioni wakuu wenzangu, Naomba msaada wenu wa kujua majina ya hizi fonts (A & B) Mara ya kwanza nilikua nazitumia katika designing zangu, sasa baada ya kufanya clean Instalation ya window yangu nkashangaa, project zangu nyingi FONTS zimebadirika, nkagundua nilisahau kuzi buckUP , na...
Back
Top Bottom