Search results

  1. nzumarijr

    Nipi tofauti kati ya Bachelor of science in Education na Bachelor of science with education

    Bachelor of science in education(Bed science) na Bachelor of science with education zote ni educational program Ila hiyo ya kwanza inakuwa na SoMo Moja la kufundishia eg.physics na hiyo nyingine ni masomo mawili ya kufundishia eg.mathemitics and geography..........!!!
  2. nzumarijr

    Trump has gone AWOL

    jamani tujue kabisa katika lugha ya kiingereza Kuna levels Kama; beginners,intermediate,experts na proficiency...... .....nadhani hadhira yake lengwa nihizo level za juu mbili
  3. nzumarijr

    Part 3: TISS bado safari ngumu

    mkimaliza kojoeni mkalale.............! tokeni nje ya mnayo yajua tuwaelekeze
  4. nzumarijr

    Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

    kwabahati mbaya duniani kote watu wenye akili timamu na uwezo mkubwa wa kifikra hawataki kuongoza.........kinyume chake pia nisahihi zaidi
  5. nzumarijr

    Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Giza laendelea kutanda,mapopoma wanashangilia tu,Kama Corona sio tishio basi tutoke kijijini turudi mjini,PERIOD!
  6. nzumarijr

    Mshahara wa Mwalimu

    +loan board mkuu
  7. nzumarijr

    Tabia Nane za watu wapole

    haya wajameni.......!!!
  8. nzumarijr

    Je, Afisa Cadet anaweza kumuoa Private?

    hairuhusiwi, na haiwezekani
  9. nzumarijr

    Dar: Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Uvinza mkoani Kigoma, Auawa Kinyerezi

    mnacho kishangilia na kukishadadia si muda mrefu mtakipata. work it hard, the consequence is upon you fool........
  10. nzumarijr

    Genius(intelligent) vs confident

    genious is a person who excell in practical skills......!!!! intelligent has to do with high mental processing...... confidence is about self esteam........
  11. nzumarijr

    Kwa wale Vijana wenzangu Wenye Mipango Ya Kujenga.

    naona mleta mada kaamua kuzungumza matusi hadhalani.
  12. nzumarijr

    School of thought

    tatizo lugha mkuu wengine tulienda kusomea ujinga in faizza foxy's voice.
  13. nzumarijr

    Fahamu Kisiwa chenye upungufu wa wanawake

    nawapa pole, yaani wanalilia matatizo......??? hahahahahahhh....!!
  14. nzumarijr

    Tiba za kichawi hazina tofauti na tiba za hospitalini

    kwahiyo mchawi nae anaweza tibu mtu akapona...........?? awali nilijua mchawi ni mtu mwalibifu na nimyongoni mwa maadui wakubwa
  15. nzumarijr

    Tiba za kichawi hazina tofauti na tiba za hospitalini

    thanks, vipi kuhusu neno ushirikina kama lilivyotumika hapo kwenye post yako...... mshirikina ni mtu wa aina gani...........???
Back
Top Bottom