Search results

  1. Siempre Hechos

    Kwanini wanafunzi wa shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho?

    Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
  2. Siempre Hechos

    Club Anthem zenye hisia kali zinapoimbwa Duniani

    Mimi bila kupepesa macho, mbali na ushabiki wangu kwa Madrid, bado nadiriki ku- rank hizi nyimbo kama ifuatavyo: 1. Hala Madrid 2. 3. . . . Embu tuendelee hapo.
  3. Siempre Hechos

    Na mimi naamini hivyo, na huu ndio ukweli.

    Kama hufikirii kufanya (kubuni) kitu ambacho kitatatua changamoto inayoikabili jamii, usitegemee kufanikiwa hasa katika swala la kipato ( fedha). Tegemea kupata kipato cha kujikimu tu na wala sio kipato cha kukufanya uwe na uwekezaji mkubwa! Hii ni tafakari yetu sote, kama kipatochako ni cha...
  4. Siempre Hechos

    KERO ZA WAENDESHA BODABODA

    Uendeshaji bodaboda i umerahisisha usafiri kwa kiasi falni na pia umeajiri vijana wengi na baadhi yao umewapunguzia ukali wa maisha na pia kuachana na vitendo vya uvunjifu wa sheria kama wizi (japo wapo wanaotumia fursa hii kuwa wezi wazuri). Lakini katika ajira yao hii kumekuwa na kero kadha wa...
  5. Siempre Hechos

    Prof. Lumumba (PLO) azuiwa kutua Zambia: Africa tuko Salama?

    Inasadikika hiki ndicho kilichofanya asiruhusiwe kuingia Zambia na kutakiwa kurudi kwao Kenya. Mwanasheria maarufu na nguri Mashariki mwa Afrika ambaye ametoa mihadhara mikubwa katika vyuo vikuu mbali mbali hapa Africa anaanza kupata upinzani kutoka kwa Waafrika wenzake, Je? Swali la kujiuliza...
  6. Siempre Hechos

    Mechi za kirafiki kabla ya Kombe la dunia

    Wana JF, habarini wakuu! Jana nilipata nafasi ya kuangalia mechi za kirafiki lakini mechi mbili zilinivutia sana, mechi kati ya German vs Brazil na pia Spain vs Argentina. Lakini kwa mtazamo wangu wa haraka haraka na uelewa wangu mdogo wa mpira, nimeona kama timu zilizofanaya vibaya katika...
  7. Siempre Hechos

    Usafiri wa basi kutoka Dar es Salaam hadi Lilongwe

    Wana JF habarini za jioni hii, poleni na hongereni kwa kazi. Naombeni msaada kwa anayefahamu ni gari gani (Basi) zinatoka Dar es Salaam kwenda Lilongwe-Malawi. Kuna ndugu yangu anataka kusafiri ila hajui ni gari zipi zinakwenda huko na gharama ni sh. ngapi. Anayefahamu tafadhali naomba...
  8. Siempre Hechos

    DAWASCO mnaposoma mita kwanini msituambie mita inasomaje siku hiyohiyo?

    Wana JF habari za muda huu, poleni na shughuli za ujenzi wa maisha yenu na Taifa kwa ujumla. Mimi mimekuwa na jambo ambalo linanishangaza kuhusu bili za maji za hawa DAWASCO. Zamani walikuwa wanajitahidi kutoa ankara za matumizi ya maji. Kwa maandishi ambapo ilikuwa rahisi kufatilia kuwa ni...
  9. Siempre Hechos

    Nafasi za masomo.

    Karibuni wote kwa nafasi za masomo ngazi ya Certificate na Diploma ya Takwimu. Katika CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA- DAR ES SALAAM- CHANGANYIKENI. Sifa za kujiunga. .Certificate - Angalau ufaulu wa D nne katika kidato cha Nne Yakiwemo masomo ya Hisabati na...
  10. Siempre Hechos

    Fadhila inapobadilika kuwa mtaji

    Habari wana JF. Nimevutiwa na mijadala mbalimbali ya wanajamii forum nami nimeamua nijiunge rasmi kuweza kujadiliana, badilishana mitazamo, kushilikishana uzoefu pamoja na kuoneshana na kufahamishana kuhusu fursa. Nimekuwa na kitu nikijiuliza kwa nini kuna baadhi ya watu unaweza kuwa umekwama...
Back
Top Bottom