Search results

  1. Sarafina1

    Msaada/ushauri

    Wakuu natumaini mu wazima, Natafuta mashine za kutengeneza vifuko vya plastik vile vinavyofungia ubuyu, barafu, ice cream home made etc kwa anaejua zinapatikana wapi dar na bei anisaidie tafadhali
  2. Sarafina1

    line ya tigo pesa na mpesa zinauzwa 0719004668

    chukua 200000 hiyo ya tigo pesa
  3. Sarafina1

    Msaada wa haraka kwnye ngozi yangu ya uso

    Inapatikana wapi hii mkuu?
  4. Sarafina1

    The Power of One night stand! I like it!

    Watu wanafiki sana, mnajifanya kumshangaa na kumbeza@Retired Sister mioyoni mnajisuta
  5. Sarafina1

    Msaada; Utosi wa mtoto kuchelewa kufunga

    The secretary usiwe na wasi wasi sio ugonjwa wa kwangu ana mwaka na miezi mitatu sasa haujafunga bado, ingawa alivyokua na miezi mitano hata mimi nilishangaa sana maana utosi ulikua unadunda mpaka naogopa, wakubwa waliniambia kwamba niliruka makaburi wakati mjamzito (huwa siamini local believes...
  6. Sarafina1

    Msaada mitumba

    Wakuu habari, Nataka nianze ujasiriamali, na ningependa kuuza nguo za mitumba za watoto. Sasa shida sijui mabel ya mitumba yanauzwa wapi dar/kariakoo na ningependa kuuza nguo first quality sio lonya. Naomba mnisaidie mahali naweza pata hiyo mitumba na ikiwezekana na bei
  7. Sarafina1

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Na hizo pesa ndio zilimpa jeuri ya kumbeba g jumla ilahali akijua ni mume wa mtu. Hata yeye jambawazi tu alikwapua mume wa mwenzie. Laana inamtafuna sasa
  8. Sarafina1

    Kulea kabinti ni mtihani mkubwa . . .

    haisaidii mkuu:nimekataa
  9. Sarafina1

    Kulea kabinti ni mtihani mkubwa . . .

    Nimeshtuka hapa utadhani mimi ndio mama wa huyo binti masikini, kabinti kangu kamezaliwa 2001 Mungu tuepushe nilianza kuzembea kusali sasa namrudia Mungu kwa kishindo maana hii ni hatari
  10. Sarafina1

    Nahitaji photocopy machine na printer coloured

    Habari zenu wana jf Nahitaji photocopy canon pamoja na printer coloured kwa ajili ya stationery
  11. Sarafina1

    Kusugua au kusigina meno wakati mtu yupo usingizini

    Hilo ni tatizo kubwa sana nilisikia, waambie wazee wanajua zaidi washirikishe wazazi ASAP
  12. Sarafina1

    Unene Unene Unene

    Situmii njia za kisasa za uzazi wa mpango ndugu yangu natumia kalenda tu
  13. Sarafina1

    Unene Unene Unene

    Habari zenu wapendwa, Natumaini wote mu wazima wa afya nawatakia heri ya mwaka mpya wote. Mwenzenu nina tatizo nina mtoto mdogo wa umri wa miezi kumi (10/12), tatizo toka nijifungue kila siku iendayo kwa Mungu nazidi kunenepa sio kwamba nakula sana la hasha mara nyingi jioni sili kabisa...
  14. Sarafina1

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    MziziMkavu ninanyonyesha je naruhusiwa kutumia hizo dawa?
  15. Sarafina1

    Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

    Pole mpatanishi nimeishi maisha mazuri tu utotoni baba yangu na mama yangu mpaka leo wanazeeka pamoja na wala sijwahi waona wakigombana kama unavyojua wazee wetu wa zamani walikua wanamalizia yao chumbani. Mtoto wangu ingawa baba yake alichukuliwa na nyumba ndogo nakwambia ana maisha mazuri...
  16. Sarafina1

    Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

    Kwa upande wangu ambao niko sawa kimtazamo na darlingtone nilibebewa mume na nyumba ndogo nikiwa na mtoto mmoja wala sina kazi. Nikapambana nikalea mwanangu na nakuhakikishia ana maisha mazuri kuliko wengi wanaoishi na baba na mama zao. Nyumba ndogo akiona anajifaidia baada ya muda huyo mume...
  17. Sarafina1

    Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

    Ndio maana nasema watu hawazungumzii maisha halisi, watoto wa mtaani wengi ni umaskini tu na unakuta huyo omba omba bado anaendelea kuzaa bila kujali hana mume wala hana kazi. Wazazi wangapi wameachana na watoto wanaishi maisha mazuri? Chanzo cha watoto kuwa wa mtaani si nyumba ndogo ni wazazi...
Back
Top Bottom