Ilikuwaje huyo dada apeleke barua nyumbani kwa mkufunzi tena usiku?na je,hao wanafunzi waliompiga wana uhakika gani kama kweli alitaka kumbaka?na je hawakuona njia nyingine ya kutumia zaidi ya kumpiga?hapo pana mushkhel kidogo?
Wengi huamini kuwa kuna dawa za mapenzi.na katika kufanya hivi wengine wamewasababishia wenzi wao matatizo vikiwemo vifo.mimi nawashauri wanawake wanaotumia ushirikina kwenye mapenzi waache mara moja.kama kuna matatizo kwenye ndoa zao wamuombe MWENYEZI MUNGU atawasidia.
Mke na mume ni Ndugu,na wanafanya mapenzi kwa kuwa udugu wao umeunganishwa na mapenzi.ni marafiki,tena mke ni mama yako kwa upande mwingine,na mume ni baba yako kwa upande mwingine.yaani unapaswa kumuheshim mumeo au mkeo km mzazi wako.na unapaswa kufurahi nae km rafiki yako,na ku du nae kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.